Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Boss umetisha vibaya mno. Si kwa speed hii, najua umecomment na kulike kwanza ndio umeanza kusoma. Salute my man. Hahaaa
Interesting, watu tuliosoma finance hatushangai.Mentorship imeanza??
 
Hivi vitu nimevipiga chuo kwenye international finance. Na nimevipiga in details wakati nachukua CPA ila nilidhani kwa Tz we can't get involved in. Hii ni fursa kubwa. Ontario, please once again count me in.
 

Kiufupi ipo hiviii, ukizingatia forex ni uuzaji wa currency moja huku hapohapo unanunua currency nyenzake ilokuwa nayo katika pair, hii huwa linafanyika simultaneously katika hii biashara na ni automaticaly ipo hivyo. Pair inakuwa presented katika ratio. Base currency inakuwa juu( Numetator), counter currency inakiwa chini(Denominator), as hisabati za sehemu zilivyo, na jibu la hiyo ratio baada ya kugawanywa linakuwa presented katika desimali (mfano wake ni 1.0335). Sasa basi

Going long, ni kitendo cha wewe kununua base currency huku ukiuza counter currency ukisubiria base currency iimarike against counter currency. Base currency ikiimarika maana yake ile ratio itaongezeka say ifikie 1.0349(refer mfano). Hapo ndo wewe utakapouza base currency kutengeneza faida.

Na going short ni kitendo cha trader kununua counter currency(denominator) na kusubiria iimarike. Counter currency Ikiimarika/ipande value against base currency, tutgemee ratio value itapungua thamani(as per mfano wetu ni kwamba itafika say 1.0321). Na ikifikia hapo ndipo hapo wewe utakapouza counter currency uliyoinunua kutengeneza faida yako.

Hi ndo simple way of explaining it. Hope utaelewa katika hili
 
Mkuu kuna series inaitwa BILIONS, humo kuna Bilionea anitwa Bobby Axelrod. Sidhani kama unaweza kupata hii series huko Bongo. Tafuata hii series utajifunza mengi sana kuhusu trading......
Karata Kwanini isipatikane,Kwamba Pirate Bay hamna Tanzania na Bittorrent zimefungwa,Billions ipo sana hata kwa wauza CD wa mwenge ukimpa order 48hrs inakuja.
 
Naomba ufafanue kidogo mkuu, hii ni tofauti na forex au shares au stocks??

Hii ni tofauti kidogo ....Wanavyosema wenyewe na hata tulipowatembelea ofisini kwao Brazil mwezi March (walitualika kwenye 1 year Anniversary) walikuwa wanaongelea SPORTS TRADING tu.......as the CORE basis ya hii kitu......ingawa kuna maelezo yake yaliyoshiba lakini kwa ufupi ,tofauti yake ndiyo hiyo....Naomba anayetaka maelezo zaidi kuhusu hili aje PM... huu uzi ni wa mkuu ONTARIO mahsusi kwa ajili ya FOREX TRADING tusije tukapoteza maana.....thanx
 
Mkuu naomba uniweke kwenye orodha yako nimeipenda hii biashara
 
Kiongozi naomba uniweke kwenye List, Hayo ndio mambo yangu, Cant wait to get into it....
 

Boss naona hapa unatembea na mwendo wa "shor-term, high frequency, day trading" tactic.
 
Kiongozi. Tangu jana niko darasani najaribu kujifunza kuhusu forex via youtube.com. This thing is real. Mimi katika hisia maishani mwangu I think that is where I belong. Please, register me in your first 300 for training
 
Huu uzi nimeukubali si kitoto...
Nipo katika group flani la watsap linaitwa TZ Forex, watu wanapiga pesa si utani.
hilo group limejaa hatari, full ushauri; akileft mtu anajoin mtu, yaani halipungukiwi.
kaka unafanya vema sana kutuelimisha watanzania.

wapo wanaocheka kama ulivomcheka Mike ila time will tell na kicheko chao kitageuka kuwa mshangao wa butwaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…