Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sasa nimeelewa huenda sasa ivi dogo Sandile anatumia muda mwingi kutrain watu ili wakishaingia kwenye business ya trading sasa anakua anawauzia signals ambapo ni biashara nzuri tu mana ngozi nyeusi nyingi hazina mbongo za kufanya technical and fundamental analysis na hapo huenda mkuu wetu Antario nae kajifunza kitu kupitia hyo nae anataka kupractice hapa kwetu which is very good and its opportunity kwa ss wazee wakujiongeza tutajua kutrade na tutakua willing kununua signals kwakua inshortrun hatutakua na uwezo mkubwa wa kufanya analysis lakin kimya kimya tutakua tunajifua kumaster hizo makitu badae sasa na sie tutaungana nae kuuzie watu signals. Thanks mkuu we ilete tu hyo training tunaisubiri kwa hamu huku tukila orientation course kwa kuperuzi peruzi vitabu japo haya macourse yetu ya sayansi yanatupa shida kwel kuelewa mambo ila kwakua yalitujenga katika suala zima la kukaza msuli mpaka kieleweke tutaenda sawa tu na hawa wenzetu walosomea finance na economics.Nawaza tu kwa sauti huku nikikomaa na hichi kijitabu ambacho kinanifanya nione maluweluwe lakin taratiibu tunaelewa!!
 
Sorry mkuu....
Kabla sijakuuliza swali linalohusu huki ulichoandika hapa.
Naomba kwanza kujua hizo investment ulikuwa unazifanyia nchi gani? Ni Tanzania, Kenya, Uganda, SA, Japan, USA au wapi?
 
taratibu uzi unaanza kwenda mwendo wa kinyonga sasa kile kimue mue na papara zinaanza kupotea wengi humu wameshagundua hii kitu si nyepesi kama walivyodhani inaitaji muda kujifunza, utaalamu na bongo inayochemka si bongo lala....binafsi nilivyoipitia pitia nimeona hapa ili kumaster vizur hii course inabidi muda usiopungua miezi mitatu hadi sita uwe unajifunza hii kitu taratibu tena kila siku..elimu zaidi na practicals kwa demo ndio muhimu....anyway ngoja niishie hapo.
 
Umeongea kitu kizuri, lakini mdogo mdogo tutafika...
 
Naomba utupe ratiba Mkuu,semina za hii kitu zitaanza Lin, watu tukate tickets mapema
 
Hiyo ni kawaida...waliosoma uchumi watatuambia...kuna kitu kinaitwa sijui marginal nini ya kuconsume

Yan maana yake ukiwa na kiu unakunywa maji kwa papara wakati wa kumalizia unamalizia kizembe

Watu wametulia wanasubiria what next juu ya hiyo training

Hapa ni schedule ya ONTARIO tu ndo tunaisubiri...
 
tulia mzee ufahamishwe...forex trading sio lazima ufanye dili zako kwa kutumia pesa za tanzania...ndani ya soko la fedha kuna currency pairs tofauti na tena nyingi tu ambazo waweza kufanya trade zako kwa kuziuza au kuzinunua..mfano kuna USD/JPY,GBP/USD,AUD/CHF na nyingine nyingi..unapo fungua akaunti yako haya utayafahamu kwa undani..ila hamna yeyote anayelazimishwa kujiunga...ni uamuzi wako binafsi...

risk takers wenzangu,mwendo ni polepole...tutafika tu!!
 
Je hii issue ni fursa pia kwa tabaka la chini wenye ku afford mtaji wa $50 and less ??
 
Kuna watu wajuaji kwa kiwango cha STANDARD GAUGE wanajidai ku-diss sana juhudi za
ONTARIO katika hili.... Mi nazan tuwaombee washindwe na walegee.. wengine tushavurugwa hapa wacha masikhara bana, kama ni ku-loose wacha tu-loose tuu {though najua hakuna atakaye loose kizembe zembe}... hapa afe SIMBA afe MMASAI ili gemu mpaka mwisho wake ujulikane..Na kwa mtazamo wangu hapa hawa wanao diss washaona tunavyokwenda kuwa independent ki-mkwanja thats y wana tisha na kudiss, eeeeeheeeeee nilitaka kusahau.. kama ukijifanya kutukatisha tamaa uje na njia mbadala sio unamwaga povu alafu unaondoka kizembe zembe... tofauti na hapo....
NASEMA MMEChELEWA SANA MEN

By the way mkuu
ONTARIO nakukumbusha mimi mkulima mwenzio ntakaa siti namba mbili wakati wa training........

Gracias
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…