Umeua baba[emoji122]Kuna watu ni Kama vile roho zina wauma kuona kijana kawaza mbali. Tunajua wengi wenu mna muda mrefu kwenye FX lakini hamkuwahi kufikiria kuanzisha your own FX trading firm mkawa na training center pamoja na broker services. Kijana Hana muda mrefu kaiona fursa
Wivu wenu ni Kama wa Ali kiba kwa Diamond, Ali kiba alikuwa kwenye game kitambo lkn hakuwa na mtazamo wa kimataifa Kama Diamond
Ontario haibii mtu na ameweka wazi kila kitu hadi hizo risk. Target yake kubwa ni kusaidia vijana watoke kwa hicho kidogo walicho nacho sasa in the process lazima na yeye afaidike na sidhani Kama ni dhambi yeye kufaidika.
Binafsi nitajiunga na training akishaanza kutoza ada, hii ya bure watu 300 nawaachia nafasi wengine Wasio na uwezo wa kulipia fee. By the way sina mpango wa kufanya trade sooner Bali nataka kujifunza nijiongezee maarifa
Tuache maneno tuweke muziki, acheni watu wajifunze wajaribu wakishndwa basi lkn at least wajaribu.
Tumia oandatuanze na hw to create demo account
Ngondonyoni, naomba mawasiliano yako... nipate kuongea na wewe kwa kina!! namba yangu ni 0763980083Kwa ufahamu Wangu for ex ni biashara halali. Matapeli na wajanja pia wapo. Ndiyo maana kabla ya kuoperate forex kwenye platform fulani ya for ex inatakiwa ufanye utafiti wa kina, Kwanza zinatoka wapi pia terms zao za leverage.. Uepuke Kabisa for ex platforms za Cyprus au Russia. Wengi sana ni scammers. Mimi natumia for ex platform ya Uingereza (IG), pia USA kawaida ni wazuri.
Mmmmh kumbee!!Now nimeanza kuelewa mchezo ulivyo, kuna hawa traders wameanza kuwa maarufu hata Tanzania, D9 Clube na Amazontraders, nilikua najiuliza wanapata wapi pesa za kukulipa kwa haraka namna hiyo, i mean wanazungushaje hadi
kukulipa interest kubwa kwa namna hiyo.
So kumbe na wao wanafanya hii biashara ya FOREX, they take your money wanaenda kuitumukiza kwenye hii biashara (na kwa kuwa wana wataalamu wa kutosha) wanapiga hela, then wanakugawia ya kwako kidogo
(but am stand to be corrected)
Asante kwa kunifungua macho mkuu
Kaka, demo account si sawa na kujifunza kuendesha gari vs mtu anayesomea kuendesha gari. Namaanisha technically sio practical way ya kujifunza. Kwa jinsi nimesoma mpaka sasa, ukianza na demo utajua jinsi ya ku-open na close orders tu. Probability ya wewe ku-win trade ni ndogo sana. So cha msingi lazima ujue behind the scene kwa nini u-execute "Buy" au "Sell". Na ndio maana kusoma vitabu ni lazima. Kinyume na kusoma demo haina msaada.Naomba Msaada wa kufungua demo account nianze kucheza nayo huku nikiendelea kujifunza, Ontario, Complex and any other who knows how to do it please mnisaidie.
Kaka, demo account si sawa na kujifunza kuendesha gari vs mtu anayesomea kuendesha gari. Namaanisha technically sio practical way ya kujifunza. Kwa jinsi nimesoma mpaka sasa, ukianza na demo utajua jinsi ya ku-open na close orders tu. Probability ya wewe ku-win trade ni ndogo sana. So cha msingi lazima ujue behind the scene kwa nini u-execute "Buy" au "Sell". Na ndio maana kusoma vitabu ni lazima. Kinyume na kusoma demo haina msaada.
Mkuu ningependa uniwekee hiyo Link ya Website ya kampuni ya Forex.Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Kama hujakutana na mtu anaitwa the bold tafta thread zakeHatimaye nimeona andiko la ONTARIO baada ya kuona kaanzishiwa uzi ukiwa unamsifia kwa maandiko yake yenye kukosha sana katika anga za kusaka mpunga(pesa).
Sina mengi ya kusema, la kwanza ni kumshukuru Mungu, la pili ni kuwashukuru JF Founders wakiongozwa na Maxence Mello na mwisho ni kuwashukuru wote waliofanikisha JF kukua na kuimarika hatimaye ikatukutanisha na Watu wenye IQ zao kama ONTARIO na wengine katika nyanja mbalimbali.
We are all together!!