Mkuuu kekundu tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Babu povu tenaWe jamaa co bure nahisi, kwanza nikupe taarifa kwamba the bold hapendi kumpambanisha na wabandika nondo wengine humu cos anatambua wenye kipaji cha kufyatua mabandiko matamu ni wengi, hivi umeshindwa kuona utofauti wa kimaudhui kati ya nyuzi za the bold na ontario?, jamaa hapo juu ame express his/her concerns juu ya ontario cha ajabu ww unamtaja the bold, kulikoni mzee....... watu wanapigwa BAN humu kutokana na mawazo kama yako.
Ahahaa dah kwa mihemuko hii sijui kama baada ya training miez miwili badae kuna mtu atacomment humu kua anataka kuingia kwa forex trading. Mkuu kwa kukupunguzia tu mhemko jamaa alisema mambo yakiwa tayar atatuupdate humu so kama unaona kimya ujue mambo bado. So shika vitabu kula shule taraatiibu huku kila siku ukichungulia update na kuuliza ambapo hujaelewa humu time ikifika utajuzwa..TULIZA KIPAGO HIYO!!Shida ya Wabongo ni wabinafsi sana , utakuta kuna miwatu imeshaanza Training na wala haitoi feedback.
Biashara zote dunian zinasimama kwenye kanuni moja: 'supply and demand', weka akili yako hapo na utafakari what are supplying to fulfill the certain demand? Alichosema ONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho. Nikirudi kwenye kanuni ya 'supply and demand' kwa kuangalia biashara ya forex ninajiridhisha pasi na shaka kwamba ni NDOTO kufanikiwa kwa sasa hapa Tz with the trending political economies surrounded with people whose blogged minds are like yours.
The law of supply and demand is the theory explaining the interaction between the supply of a resource (forex in this case) and the demand for that resource. The law of supply and demand defines the effect the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, a low supply and a high demand increases price, and in contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price tends to fall.
Jamaa alichokiandika anakijua mwenyewe, katia na munyu utadhani ukweli vile.😀😀😀Kuna mtu mmoja aliwahi kuulizwa ukipewa hii nchi kipaumbele chako cha kwanza, cha pili na cha tatu ni kipi?
Majibu yake yalikuwa yakufurahisha lakini yanayohitaji tafakari ya kina;
1. ELIMU
2. ELIMU
3. ELIMU
mkuu achana na notes zotakuchanganya...Wakuu nipo darasani kuhusu hii kitu aliyoleta mkuu ONTARIO . Karibu darasani.
What is Forex Trading?
Forex trading as it relates to retail traders (like you and I) is the speculation on the price of one currency against another. For example, if you think the euro is going to rise against the U.S. dollar, you can buy the EURUSD currency pair low and then (hopefully) sell it at a higher price to make a profit. Of course, if you buy the euro against the dollar (EURUSD), and the U.S. dollar strengthens, you will then be in a losing position. So, it’s important to be aware of the risk involved in trading Forex, and not only the reward.
Wakuu nipo darasani kuhusu hii kitu aliyoleta mkuu ONTARIO . Karibu darasani.
What is Forex Trading?
Forex trading as it relates to retail traders (like you and I) is the speculation on the price of one currency against another. For example, if you think the euro is going to rise against the U.S. dollar, you can buy the EURUSD currency pair low and then (hopefully) sell it at a higher price to make a profit. Of course, if you buy the euro against the dollar (EURUSD), and the U.S. dollar strengthens, you will then be in a losing position. So, it’s important to be aware of the risk involved in trading Forex, and not only the reward.