Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kitu kimekua na mwamko mkubwa but hakuna feedback.. toka thread imewekwa nimeomba kua mtu kati ya hao waliopo but There is no Feedback hata kujua Wap ilipofikia ofisi.
 
Shida ya Wabongo ni wabinafsi sana , utakuta kuna miwatu imeshaanza Training na wala haitoi feedback.
 
We jamaa co bure nahisi, kwanza nikupe taarifa kwamba the bold hapendi kumpambanisha na wabandika nondo wengine humu cos anatambua wenye kipaji cha kufyatua mabandiko matamu ni wengi, hivi umeshindwa kuona utofauti wa kimaudhui kati ya nyuzi za the bold na ontario?, jamaa hapo juu ame express his/her concerns juu ya ontario cha ajabu ww unamtaja the bold, kulikoni mzee....... watu wanapigwa BAN humu kutokana na mawazo kama yako.
Babu povu tena
 
Shida ya Wabongo ni wabinafsi sana , utakuta kuna miwatu imeshaanza Training na wala haitoi feedback.
Ahahaa dah kwa mihemuko hii sijui kama baada ya training miez miwili badae kuna mtu atacomment humu kua anataka kuingia kwa forex trading. Mkuu kwa kukupunguzia tu mhemko jamaa alisema mambo yakiwa tayar atatuupdate humu so kama unaona kimya ujue mambo bado. So shika vitabu kula shule taraatiibu huku kila siku ukichungulia update na kuuliza ambapo hujaelewa humu time ikifika utajuzwa..TULIZA KIPAGO HIYO!!
 
Biashara zote dunian zinasimama kwenye kanuni moja: 'supply and demand', weka akili yako hapo na utafakari what are supplying to fulfill the certain demand? Alichosema ONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho. Nikirudi kwenye kanuni ya 'supply and demand' kwa kuangalia biashara ya forex ninajiridhisha pasi na shaka kwamba ni NDOTO kufanikiwa kwa sasa hapa Tz with the trending political economies surrounded with people whose blogged minds are like yours.

The law of supply and demand is the theory explaining the interaction between the supply of a resource (forex in this case) and the demand for that resource. The law of supply and demand defines the effect the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, a low supply and a high demand increases price, and in contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price tends to fall.

Kuna mtu mmoja aliwahi kuulizwa ukipewa hii nchi kipaumbele chako cha kwanza, cha pili na cha tatu ni kipi?

Majibu yake yalikuwa yakufurahisha lakini yanayohitaji tafakari ya kina;
1. ELIMU
2. ELIMU
3. ELIMU
 
Asante sana mkuu ONTARIO kwa makala nzuri sana. Ni kweli maisha ya bongo sasa hivi yametaiti sana kiasi cha kushindwa kutofautisha kati ya msomi na mchunga ng'ombe. Naomba sana nami tpaul niwe miongoni mwa hao watu 300 kutoka JF watakaopata fursa ya kujifunza hii kitu for free. Nimekuwa motivated kuliko kawaida na huu uzi wako. I salute you boss.
 
Kuna mtu mmoja aliwahi kuulizwa ukipewa hii nchi kipaumbele chako cha kwanza, cha pili na cha tatu ni kipi?

Majibu yake yalikuwa yakufurahisha lakini yanayohitaji tafakari ya kina;
1. ELIMU
2. ELIMU
3. ELIMU
Jamaa alichokiandika anakijua mwenyewe, katia na munyu utadhani ukweli vile.😀😀😀
 
bro mi naisubiri hii kwa hamu nimesha anza fanya uchunguzi kwenye net...ikianza tunaomba utujulishe mkuu
 
nipo india ila nina akaunti ya dola crdb, ninaweza kutumia mastercard yangu ya kawaida ili ni-withdraw hela hukuhuku ya kuanza kufanya forex trading? ONTARIO
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wakuu nipo darasani kuhusu hii kitu aliyoleta mkuu ONTARIO . Karibu darasani.

What is Forex Trading?

questions.jpg
Forex trading as it relates to retail traders (like you and I) is the speculation on the price of one currency against another. For example, if you think the euro is going to rise against the U.S. dollar, you can buy the EURUSD currency pair low and then (hopefully) sell it at a higher price to make a profit. Of course, if you buy the euro against the dollar (EURUSD), and the U.S. dollar strengthens, you will then be in a losing position. So, it’s important to be aware of the risk involved in trading Forex, and not only the reward.
 
mkuu achana na notes zotakuchanganya...
hii ni ngoma ya live, mechi euro/usd unachoangalia ball possession ikipungua pip 2 hapo unanunua usd kama mwelekeo unaonekana utaendelea namna hiyo, ball possession ikiwa kwa euro pip zitaongezeka unacheki na refa mshumaa kama katoa kadi nyeupe na asubuhi uliona nyota unanunua euro...

ngoma nyepesi. huku hawauzi mechi kivile.
 
Wakuu nipo darasani kuhusu hii kitu aliyoleta mkuu ONTARIO . Karibu darasani.

What is Forex Trading?

questions.jpg
Forex trading as it relates to retail traders (like you and I) is the speculation on the price of one currency against another. For example, if you think the euro is going to rise against the U.S. dollar, you can buy the EURUSD currency pair low and then (hopefully) sell it at a higher price to make a profit. Of course, if you buy the euro against the dollar (EURUSD), and the U.S. dollar strengthens, you will then be in a losing position. So, it’s important to be aware of the risk involved in trading Forex, and not only the reward.

So ni kama kamali flan au
 
Nimesoma post zote 1937,nilichobaini wengi hatujasoma Uzi wa ONTARIA ,hatajausoma VZR na kuuelewa,nashauri turudie kuusoma ili tupunguze maswali yasiyo ya Msingi ,aidha imebainika kuwa pia wengi wetu hatusomi comments za wengi,hali hii husababisha baadhi yetu kurudia kuuliza maswali yaliyoulizwa na wenzetu na yametolewa majibu- jamani tuache uvivu tusome.
 
wenzangu njooni mnipe nuru..
4aa6d53295ef3e0266933a908c3244a4.jpg
najua wengi kwa muda huu tumeshasoma kuwa katika kuingia soko la fedha waweza ukaamua haya:
1.go long,sote tunafahamu hapa unanunua currency pair na kwa kutegemea speculation uliyoifanya unajua lazima bei itapanda na hivyo utauza wakati huo na kufanya faida..

2.get/go short:hapa unauza kwa kubashiri bei itashuka kisha utanunua wakati huo hizi pairs kwa wingi..

nisichokielewa ni hiki,unapoamua ku "go long",ina maana utanunua na hivyo bei unayoichagua ni "buy"katika platform yako..lakini kwa kuzingatia maelezo,kuwa "unategemea bei itapanda" ili uuze kwa pesa nyingi,inakinzana na prices maana zinashuka...

vivivyo hivyo katika getting short..naomba msaada wenzangu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom