Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Kama prices zina Shuka maana yake speculation au analysis yako kwamba thamani ya base currency itapanda haikuwa sawa.

I stand to be corrected
 
Kama prices zina Shuka maana yake speculation au analysis yako kwamba thamani ya base currency itapanda haikuwa sawa.

I stand to be corrected
mkuu kwa kuzingatia readings zenye wamepeana...ama unachosema ni kuwa hufai kutegemea hizo readings?
 
Wakuu hiki kitabu "Currency trading for Dummies" kime corrupt,mwenye nacho akitupie tena hapa tukipakue.
 
Reactions: MC7
Long:Unanunua base currency kwa price ndogo expecting itapanda uuze.

Short:Sell base currency hadi price yake ishuke ndo ununue.
 
Long:Unanunua base currency kwa price ndogo expecting itapanda uuze.

Short:Sell base currency hadi price yake ishuke ndo ununue.

Mkuu in forex unafanya mambo mawili kwa mpigo. Unauza currency moja na huku ukiinunua currency nyingine automaticaly.

Sasa basi, chukulia hii pair ya US dollar na Swiss franc USD/CHF ina listing rate ya 1.6105. Hapo USD ni base na CHF ni counter currency. Kumbuka hiyo ni namba imetokana na ratio na kugawanywa namba ya juu USD dhidi ya namba ya chini CHF

Hivyo basi, going long maana yake ni kwamba unanunua base currency ambayo kwa case yetu ni USD na wakati huohuo unakuwa umeuza CHF automaticaly. Hiyo rate ikipanda kufika say 1.6110, maana yake ni kwamba USD imeimarika zaidi. Na kuimarika kwa USD dhidi ya CHF kunaipa purchasing power USD ambayo wewe kwa wakati huo unakuwa nayo katikakibubu chako

Na short ni kwamba unanunua counter currency huku ukisubiria rate ishuke na kufika say 1.6101. Ambapo ikiwa hivi maana yake counter currency inakuwa imeimarika zaidi. Same applies kama nilivyoeleza hapo juu.

Hope umeelewa.

Ama kwa maelezo mengine, kama mwanzo ulikuwa na CHF say 16, ukazitumia hizo CHF kununua USD, utapata say USD fulani say 10. Baadae USD ikaimarika dhidi ya CHF, ukifanya reverse trade ya kununua CHF tena, hizo USD 10 hazitokupa CHF 16 tena. Bali zitakupa CHF zaidi ya 16. Sasa hapo kujua exact ni kiasi gani cha CHF utapata, kunategemeana USD imeimarika kwa kiasi gani.
 

Attachments

Upo sahihi ila..Ki Tz umekaa kwa kutakatisha pesa. JARIBU UONE.
 
Mkuu ningeomba namba yako mimi nimekuelewa nahitaji elimu hata kwa kulipia whatsaap 0622112245
 
Mkuu, uko sawa kwa maelezo yako ya short na long. Ila kuna kitu wengi tuna ki-oversee. Ukienda short au long unafanya hivyo at exact that particular moment (or seconds). So kutokana na speculations zako unaweka order regardless trade zinaenda against you (or zinaenda inline with you)ila unaamini baada ya muda fulani zitakua in your favour. Nadhani ndio maana platforms zina chart za dakika 1, 15, 30, 6hrs, 24hrs na kuendelea. Hapo ndio linakuja suala la technical analysis.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…