A2G
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 283
- 829
wenzangu njooni mnipe nuru..najua wengi kwa muda huu tumeshasoma kuwa katika kuingia soko la fedha waweza ukaamua haya:![]()
1.go long,sote tunafahamu hapa unanunua currency pair na kwa kutegemea speculation uliyoifanya unajua lazima bei itapanda na hivyo utauza wakati huo na kufanya faida..
2.get/go short:hapa unauza kwa kubashiri bei itashuka kisha utanunua wakati huo hizi pairs kwa wingi..
nisichokielewa ni hiki,unapoamua ku "go long",ina maana utanunua na hivyo bei unayoichagua ni "buy"katika platform yako..lakini kwa kuzingatia maelezo,kuwa "unategemea bei itapanda" ili uuze kwa pesa nyingi,inakinzana na prices maana zinashuka...
vivivyo hivyo katika getting short..naomba msaada wenzangu
Kama prices zina Shuka maana yake speculation au analysis yako kwamba thamani ya base currency itapanda haikuwa sawa.
I stand to be corrected