Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,284
Trading forex?
Hakuna chapaa rahisi
Karibu 95% ya traders wadogo wanapoteza
Njia salama ya kupiga hela kwenye FX ni kufungua broking company. Unajilia tu commission
Utahitaji muda uelewe hii business. Labda zaidi ya two years if things go well.
Hakikisha unavyanzo vingine vya mapato kufidia losses. Ukiwa mgeni kwenye forex utapoteza tu.
Hakuna expert atakaye kufindisha "secret" kutengeneza mamilioni kwenye FX. Wangekuwa wanajua "secret" wangekaa kimya watengeneze billions
FX wakati mwingine ni kama gambling vile. Kuna manipulation sana
Government zina trade lakini wao wapo safe, wakipoteza wanawabana wananchi kwa kodi tu. Vipi wewe ukipoteza let say $2000 week chache za kwanza utarudi tena?
Unatakiwa uwe mfuatiliaji kwelikweli. Ukiwa mvivu na ulikimbia shule jiandae kuwanufasha wengine
Kwenye Fx ili ufaidike lazima mwingine apoteze. Na wanaopoteza ni traders wadogo (mara nyingi)
Mwisho
Yassssss man you can become millionaire trading forex. But you have to be very luck