Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Trading forex?

Hakuna chapaa rahisi

Karibu 95% ya traders wadogo wanapoteza

Njia salama ya kupiga hela kwenye FX ni kufungua broking company. Unajilia tu commission

Utahitaji muda uelewe hii business. Labda zaidi ya two years if things go well.

Hakikisha unavyanzo vingine vya mapato kufidia losses. Ukiwa mgeni kwenye forex utapoteza tu.

Hakuna expert atakaye kufindisha "secret" kutengeneza mamilioni kwenye FX. Wangekuwa wanajua "secret" wangekaa kimya watengeneze billions

FX wakati mwingine ni kama gambling vile. Kuna manipulation sana

Government zina trade lakini wao wapo safe, wakipoteza wanawabana wananchi kwa kodi tu. Vipi wewe ukipoteza let say $2000 week chache za kwanza utarudi tena?

Unatakiwa uwe mfuatiliaji kwelikweli. Ukiwa mvivu na ulikimbia shule jiandae kuwanufasha wengine

Kwenye Fx ili ufaidike lazima mwingine apoteze. Na wanaopoteza ni traders wadogo (mara nyingi)

Mwisho

Yassssss man you can become millionaire trading forex. But you have to be very luck
 
Pakia hapa https://secure.efxnow.com/forex2/eng/ct-dummies.pdf
7c7756ec9379f9eb68f5190a60cdc0bb.jpg
Mungu akubariki sana mkuu.
 
You are good boss. At least unafahamu major pair hata kwa kuziandiaka (GBP/USD) basi uko vzr. Meet you at class boss. Unafahamu hata fundamental analysis nk, naomba usikose kuja class nikimake a call kua tupo try.
Mkuu na mimi usiniache basi
 
Trading forex?

Hakuna chapaa rahisi

Karibu 95% ya traders wadogo wanapoteza

Njia salama ya kupiga hela kwenye FX ni kufungua broking company. Unajilia tu commission

Utahitaji muda uelewe hii business. Labda zaidi ya two years if things go well.

Hakikisha unavyanzo vingine vya mapato kufidia losses. Ukiwa mgeni kwenye forex utapoteza tu.

Hakuna expert atakaye kufindisha "secret" kutengeneza mamilioni kwenye FX. Wangekuwa wanajua "secret" wangekaa kimya watengeneze billions

FX wakati mwingine ni kama gambling vile. Kuna manipulation sana

Government zina trade lakini wao wapo safe, wakipoteza wanawabana wananchi kwa kodi tu. Vipi wewe ukipoteza let say $2000 week chache za kwanza utarudi tena?

Unatakiwa uwe mfuatiliaji kwelikweli. Ukiwa mvivu na ulikimbia shule jiandae kuwanufasha wengine

Kwenye Fx ili ufaidike lazima mwingine apoteze. Na wanaopoteza ni traders wadogo (mara nyingi)

Mwisho

Yassssss man you can become millionaire trading firex. But you have to be very luck

Hivi unakimbuka kuwa Z Anto, Bab Jr, Top C na wengine walianzisha muziki pamoja na Diamond?! Hii haimaanishi kama kuna mtu mwingine alifail basi kila mtu atafail.

Again nikusahihishe, forex si gambling - kama ingekuwa hivyo casino zote wangekua wanafanya forex. Forex is a technical thing, na hivyo unahitaji knowledge na skill ili uwe profitable trader.

Na mimi naamini knowledge can be transformed from one person to another. Mtu anaingia chuo hajui chochote lkn baada ya miaka kadhaa anatoka akiwa daktari tena anahamisha kiungo fulani, anakiweka kwenye sahani kisha anakirudisha.

Ni kweli kabisa, forex is not a get rick quick scheme, unahitaji ujitoe hasa katika kuacquire knowledge, unahitaji usome sana, uwe na uelewa na zaidi ya yote uwe na discipline kubwa mno na uweze kucontrol emotions zako.

Kuhusu kupoteza pesa:: Yes! Forex is not a 100% win-win business, na hakuna trader yoyote duniani atamake 100% winning trades, lazima losses utengeneze. Lkn tunachokiangalia ni ratio kati ya winning na losing trades. Kama tuseme kwa siku nimeingiza positions 10, 8 zikawa winning trades na 2 zikawa losing trades shida iko wapi. Pia dunia ya leo hadi unapoteza pesa yote basi wewe umeamua, taarifa zote zipo kiganjani mwako, umecalc SL na TP tena hata ukiamua unaweza ukaexecute pending order trades. Mtu ambae hajui nini anafanya ndie anaweza kuunguza account.
 
Is good business kwa walio serious hata katika biashara nyingine,,Kama hujawahi kufanya biashara au nimuoga wa kuanzisha biashara yoyote hata hii kwako itakuwa ngumu tu
 
Usitukatishe tamaa,tunafahamu kila biashara Ina risk zake,,Na hata siku moja huwezi kufanikiwa pasipo hata kujaribu,,Tutahudhuria mafunzo kwa siku hizi chache,tuta practice Na kuingia kwenye hiyo business kwa maelekezo Na quidence ya mentor wetu,,Kama mambo yatakwenda kinyume matarajio, tutatafuta biashara nyingine.
 
Mkuu asante sana kwa hili somo, naomba tu kuwashauri watu tuache mihemko. Tutafute material za kutosha tusome tuelewe sio tu kukurupuka kisa tumesikia pesa. Tutakuja kumlaumu ONTARIO kwa uzembe wetu wenyewe
Well said
 
Mkuu kwanini usitoe hayo material tu? Kwani ni lazima ugundishe mwenyewe, sisi wengine tushazoea kukomaa wenyewe si sekondari si chuo....
Bado siamini eti hizo ni nondo ngumu sana kuzielewa, labda kama una agenda nyingine tofauti na hii!!

Soma hivi vitabu, vimenisaidia sana miaka nenda rudi.
1. Naked Forex High Probability for trading without indicators.
2. Trading tools and tactics, reading the mind of the market
3. Forex on five hours a week by raghee horner, jeffrey allan
4. Master traders strategies for superior returns from todays top traders by fari hamzei, steve shobin.

Binafsi nakwambia anza na Hiko cha Naked Trading. Ukianza kukisoma hutakiacha. Kitakupa mwanga mzuri sana, hasa uanze na part three yenye chapter 12 hadi 16. Then uje part ya kwanza na ya pili.
 
Count me in Mkuu ONTARIO pamoja na umbali uliopo kati yetu...dunia kama kijiji hakuna kitakachoshindikana.
 
Pamoja na makala nzuri ya boss hapo, ila guys huu ni ushauri wa tajiri namba 3 duniani..
17-i-never-invest-in-anything-that-i-dont-understand-warren-buffett.jpg


Vijana wengi tunajaribu kila kitu kwa tamaa tu ya kupata utajiri wa haraka.. Haya mambo ya Forex mimi binafsi nayafanya tangia 2012 na wala siwezi kumshauri mtu ambaye hana uelewa kiduchu wa Finance afanye. It's very complicated unless uache kila kitu unachofanya na udedicate muda wako kwenye hizi Forex pekee.. Ni biashara nzuri sana lakini it has higher risk.. Wengi sana wanaibiwa na Brokers kwenye hizi biashara..
Mtu yeyote anaweza kufanya ila kuna basics inabidi azifahamu especially kwenye mambo ya international trade na economics. Just basic stuffs.
Over time mtu ana catch up. Ila anatakiwa afanye kwa moyo mmoja.
Sio easy money unayoweza pata over night.
 
Mkuu Ontario shukrani sana kwa kutujulisha juu ya biashara kubwa kama hii....Love is sharing,Ahsante sana kwa Uzi huu,naamini tutakuwa pamoja zaidi..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom