Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo tubadilike aisee...what wrong with him starting a brokerage???? Hivi nikikushawishi ununue gari kutoka Japan kwa vile mimi ni clearing & forwarding agent utaacha kuagiza kwa sababu utaninufaisha mimi kwa fee yako isiyozidi $200 ukaacha kuangalia unafuu na manufaa utakayopata kwa hilo gari?Ni vizuri ametukumbusha kuhusu Forex Trading ingawa baadhi yetu tulisha isikia bila kuchunguza zaidi. Lakini pia nimemuelewa kwamba Ontario lengo lake ni kuanzisha u broker ili atengeneze pesa kwa commission. Wabongo wanatakiwa wawe waangalifu amasivyo watapoteza pesa kwa pupa. Kwanza hiyo training atakayo toa ni bure au ndiyo njia ya kujipatia pesa?
Dude you are totally misinformed about FOREX, every thing you are trying to say here exposes your huge bankruptcy of online currency exchange knowledge. Maybe you have an agenda of dragging people toward your technological backwardness in this digital generation.My unbiased knowledge of forex leads me here: 1 TZS to SOS sijui hapo unaelewa nini wewe kanjanja?
NimekuchukuliaAsante mkuu. Naomba nafasi katika hao 300.
Asante rafiki angu..Nimekuchulia
Hahaha [emoji106]Asante rafiki angu..
Umefunga PM, nimewahi kuku-quote kwenye nyuzi mbili tofauti tutafutane il chengaKunitafuta wapi kaka?
Teh teh mbwembwe zote kule MMU kumbe kula kulala..pole sana!!Inawezekana nilijiunga JF ili nije nipate elimu maridhawa kama hii asante sana mkuu.... Ila nimejikuta natokwa na machozi baada ya wewe kutolea mfano wa kijana mwenye 26 years kugombea kipande cha nyama na mdogo wake... Ni kwel hata mimi nina 26 years lakin hadi leo nipo kwa wazaz naendelea kugombania remote ya tv na wadogo zangu
Naomba niweke kwenye hilo kundi la watu 300 nijifunze hii kitu ya fx trade
Read my response carefully
1• Foreign exchange trading ni speculative kwa maana hii siyo investment kwamba retail trader ategemee.
Hii ndiyo sababu inaonekana kama gambling. Yani uta speculate hadi unachoka. Not everybody can do this.
Na kwasababu market ina operate on margin basis basi Fx ni volatile market in the world.
Yaani kupigwa nje nje.
Watu wajue hili
Kifupi hii sababu yakuwa speculative in nature sio jambo lakuchukulia kwa urahisi tu. Hii ni mentally and psychologically demanding activity. Wengi hawawezi.
Na hapa ndipo hawa 95% wanapoteza kwa kutojua ukweli.
2• Ndiyo retail trader hana uwezo juu ya broker.
Broker anatoa offer ya deal kwa traders. Japo kukubali deal ni juu yako lakini broker ndiye anayefanya transaction kwa niaba yako. Very easy to manipulate. Everything there is speculative.
3• Jibu la pili lina jibu swali lako kwa kiasi fulani
Nikiongezea kidogo ni hivi
Broker anaitamani sana chapaa ya retail trader ambaye kwa lugha rahisi ni very misinformed and greedy.
Yaani anakuwa blinded akiona hizo trillions
Na hii inampa broker nafasi ku-exploit the weakness.
It's a mind game.
The billion dollar question is, if foreign exchange trade was easy at all would not it be wise decision for brokers to trade themselves and not relying on small commission earned from retail traders?
Let me know what you think.
I hope I have answered your questions