Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naomba unihesabu kwenye darasa lako la watu 300
 
Bonge la inshu, naomba unitag mkuu kila unapo-update.

Yaani kama lingeanzishwa watsup group kwa ajili ya ku-discuss hizo inshu ingekuwa poa sana.
 
Ni vizuri ametukumbusha kuhusu Forex Trading ingawa baadhi yetu tulisha isikia bila kuchunguza zaidi. Lakini pia nimemuelewa kwamba Ontario lengo lake ni kuanzisha u broker ili atengeneze pesa kwa commission. Wabongo wanatakiwa wawe waangalifu amasivyo watapoteza pesa kwa pupa. Kwanza hiyo training atakayo toa ni bure au ndiyo njia ya kujipatia pesa?
Wabongo tubadilike aisee...what wrong with him starting a brokerage???? Hivi nikikushawishi ununue gari kutoka Japan kwa vile mimi ni clearing & forwarding agent utaacha kuagiza kwa sababu utaninufaisha mimi kwa fee yako isiyozidi $200 ukaacha kuangalia unafuu na manufaa utakayopata kwa hilo gari?

Mimi nilidhani haya ndio mawazo yanahitajika karne hizi...mtu mmetajiwa FNB, mmetajiwa BoT, bado hamridhiki...Au mnasubiri aje ngozi nyeupe ndio muanze kushoboka? Acheni mambo yenu bana!
 
My unbiased knowledge of forex leads me here: 1 TZS to SOS sijui hapo unaelewa nini wewe kanjanja?
Dude you are totally misinformed about FOREX, every thing you are trying to say here exposes your huge bankruptcy of online currency exchange knowledge. Maybe you have an agenda of dragging people toward your technological backwardness in this digital generation.

Yaani hata yule aliyeku-quote mara ya kwanza hujamuelewa bado unakomaa tu kutuonyesha haiwezekani, nonsense.

Nikutoe tu hilo Giza uliliopo kwenye ufahamu wako, kiufupi ni kwamba traders wengi waliopo kwenye hii biashara wanacheza na uchumi wa US na UK tu basi wakienda zaidi ya hapo basi ni CANADA na JAPAN.

Kwahiyo kwa yoyote atakaeingia kwenye hii business hata kama yuko huko Kolomije atakuwa anachezea uchumi wa Marekani na Japan kwenye laptop yake, na kamwe hawezi kuugusa uchumi wa bongo kwa hiyo hapa uchumi ukiyumba usiyumbe yeye hamuhusu kabisa kwa sababu anacheza na dollars na euros au yen. Uchumi pekee ambao unaweza ukamuhusu kwa hapa Afrika na penyewe labda akiamua ni uchumi wa South Africa.

Sasa nashangaa wewe umenileta hiyo link inayohusu uchumi wa Tanzania na Somalia. Unachekesha kweli jamaa.
 
Inawezekana nilijiunga JF ili nije nipate elimu maridhawa kama hii asante sana mkuu.... Ila nimejikuta natokwa na machozi baada ya wewe kutolea mfano wa kijana mwenye 26 years kugombea kipande cha nyama na mdogo wake... Ni kwel hata mimi nina 26 years lakin hadi leo nipo kwa wazaz naendelea kugombania remote ya tv na wadogo zangu

Naomba niweke kwenye hilo kundi la watu 300 nijifunze hii kitu ya fx trade
 
Ebana ongeza na mm ktk list ,nishaanza darasa kwa kudownload materials ya hii kitu niko serious dollar 100-500 ya kuanzia as a demo iko imetulia tu haina kazi
 
Naomba unihesabu mkuu nimekuelewa kwenye hiyo orodha yako
 
Inawezekana nilijiunga JF ili nije nipate elimu maridhawa kama hii asante sana mkuu.... Ila nimejikuta natokwa na machozi baada ya wewe kutolea mfano wa kijana mwenye 26 years kugombea kipande cha nyama na mdogo wake... Ni kwel hata mimi nina 26 years lakin hadi leo nipo kwa wazaz naendelea kugombania remote ya tv na wadogo zangu

Naomba niweke kwenye hilo kundi la watu 300 nijifunze hii kitu ya fx trade
Teh teh mbwembwe zote kule MMU kumbe kula kulala..pole sana!!
 
Read my response carefully

1• Foreign exchange trading ni speculative kwa maana hii siyo investment kwamba retail trader ategemee.

Hii ndiyo sababu inaonekana kama gambling. Yani uta speculate hadi unachoka. Not everybody can do this.

Na kwasababu market ina operate on margin basis basi Fx ni volatile market in the world.

Yaani kupigwa nje nje.

Watu wajue hili

Kifupi hii sababu yakuwa speculative in nature sio jambo lakuchukulia kwa urahisi tu. Hii ni mentally and psychologically demanding activity. Wengi hawawezi.

Na hapa ndipo hawa 95% wanapoteza kwa kutojua ukweli.

2• Ndiyo retail trader hana uwezo juu ya broker.

Broker anatoa offer ya deal kwa traders. Japo kukubali deal ni juu yako lakini broker ndiye anayefanya transaction kwa niaba yako. Very easy to manipulate. Everything there is speculative.

3• Jibu la pili lina jibu swali lako kwa kiasi fulani

Nikiongezea kidogo ni hivi

Broker anaitamani sana chapaa ya retail trader ambaye kwa lugha rahisi ni very misinformed and greedy.

Yaani anakuwa blinded akiona hizo trillions

Na hii inampa broker nafasi ku-exploit the weakness.

It's a mind game.

The billion dollar question is, if foreign exchange trade was easy at all would not it be wise decision for brokers to trade themselves and not relying on small commission earned from retail traders?

Let me know what you think.

I hope I have answered your questions

Boss! Naomba nisiongee mengi, humu kuna traders wachache nimeona wamejitokeza, nao watatoa maoni yako lkn kwa nilivyokusoma yani unagoggle vitu ambavyo hata huna uhakika navyo. Kwanini nasema hivi?!

Unang'ang'ania kuwa forex ni speculative na retail trader hawezi kufanikiwa. Ni kama huelewi nini unamaanisha, as in naomba uniambie ni nini utafanya ambacho si speculative: stock, commodities, cyptocurrencies, indices, futurs, metals yani kila kitu ni speculative. Unajua maana ya technical analysis?! Unasema unaspeculate hadi unachoka? Nini sasa kazi ya market analysis. Biashara gani utafanya bila analysis. Hata ukifungua saloon ya kunyoa. Hahaa.

Kitu ambacho nimeshangaa unakisema ni kwamba volatility inadababisha trader apigwe. Yani sijui boss wng unamaanisha nini. Kwa sisi traders tunatamani muda wote volatility iwe juu ili kutrade bila market noise.

Napingana na wewe kwa fact kua broker anatoa deal... deal gani unaizungumza. Broker hakusaidii chochote wala hatrade kwa niaba yako, hio haipo. Broker anakupa 'spreads' yani tuseme bei za kuuza na kununua, wewe baada ya kufanya analysis zako ndio unaamua kuexecute trade. Ukiexecute trade kila kitu unakicontrol wewe hadi utakapoamua kuexit trade. Sasa broker anawezaje kumanipulate trades zako. Hakuna speculation anayoleta broker km unavyosema everything is speculative.

Unasema kua broker anatamani pesa yako. Hapa ndio nimeamini kua either wewe bado unajifunza ama unagoogle. Unajua aina mbalimbali za brokers?! Rudi kwenye post yangu then soma, nimegusia kidogo. Ama ingia Google then tafuta kitu ECN broker.

Kwanini broker hawatrade... unajua maana ya hedge fund? Unajua maana fund/account management? Zote hizo brokers wengi wanafanya. Brokers wanatrade vibaya mno, watu kama market markers muda wote wapo sokoni wanagonga nyundo, brokers wanatrade kuliko retail traders hizo commission ni 1 tu ya source yao - na unadhani kama brokers wasingekuopo sisi retail traders tungewezaje kutrade soko la kimataifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom