Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka, kama hutajali, naomba urudie kuelezea ni namna gani leverage inafanya kazi. Yes broker anakupa uwezo wewe retail trader kufanya trade kubwa, how? Je leverage ni just a mathematical ratio au ni real money? Na kama ni real money jamaa kauliza ikitokea umeunguza akaunti yako (assume unaenda negative), nini kinatokea?Swali la kwanza, leverage inakupa uwezo wewe mwenye account ndogo kufanya trade kubwa. Sio kwamba unakopeshwa hizo hela.
Swali la pili, lot size inategemea na portfolio yako. Ukiwa na portifolio ndogo unashauriwa kutumia lot size ndogo.
Mkuu rudi kwenye uzi soma tena, usipolewa soma tena na tena hadi uhakikishe umeelewa.
Hakuna sehemu nimesema nitafundisha, labda kama nimesema ni kwa bahati mbaya. Nilichokisema ni kua nimepata special trainers na mentors ambao ni waSA wao ndio watakuwa wapo darasani kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Wakati huo mimi nitakua zangu ofisini nimezungukwa na screens nashusha pips. Hapa naongea nina moderate trades, am already in DEEP BLUES.
Pia turudi kwenye post. Hivi haujaona nilipozungumza kua nimewahi kuchoma account - tena account kubwa. Nahisi niliandika bila kuzingatia uwezo wa watu wengine wa kuchambua mada. Pale basically nilimaanisha kama haujisomi na haupo competent unaweza kupoteza mil 20 in an eye blink. I couldn't say it better than that boss.
Zaidi ya yote naomba unipe MUDA. Time is the best judge.
Sijafungua bado account ni wengi wananipigia wengine wapo australia wengine greece wengine london, namba tofauti tofauti ndio maana nikawa nasitaHuyo ni call center. Broker gani huyo ulofungua account naye?
Rene Jr.
Nyie ndo wale mnaotaka mtu apange magari 20 nyumbani kwake ndo muwe inspired kuanza forex.
Sidhani kama kila mtu anaweka kwenye mitandao kila kitu anachofanya. What if kukodisha matrekta ni sehemu ya vitu anavyofanya? Amekuambia ameipata hii fursa mwaka jana. Isitoshe amesema ataongea na mentors wake waje Dsm kuwafundisha watu forex. Sio kila kitu afanye yeye.
Nadhani kama ungekuwa na mwanga kwenye forex ungeshaona how complex is it. Page zote zilizopita unatahadharishwa inatakiwa uifahamu vizuri forex kabla hujaifanya. Hiyo ni angalizo tosha. Unataka uambiwe nini zaidi?
Sasa kama currency inashuka thamani kuwa ukija kuziuza zitakuwa na thamani ndogo?
Chukua mf wa pair ya EUR/USD, unaspeculate USD ishuke so ukaamua kununua USD, hivi zikishashuka ziadi na ukaamua uziuze si hasara hiyo? maana zitakupa EURO pungufu ya hata zile za mwanzo.
Wabongo bana, sasa unapo quote liuzi lote hilo hujui unachosha wanaotumia simu??Na mimi usiniache
Na mimi usiniache
Kwa hapa mkuu umeeleweka na mm nimeelewa hivyo pia. Wasiwasi wangu ulikuwa kwa mdau anayesema kuwa going short ni kununua currency inayotaka kushukaMkuu USD ikishuka dhidi ya Euro kwenye hiyo pair thamani ya euro itakuwa kubwa hivyo hipati hasara. Rudi kwenye moja ya comment zangu nyuma nimeelezea kwa mfano rahisi zaidi. Hautopata hasara, utanunua USD kwa kuuza euro then ukiwa na dola zangu mkononi USD ikishuka zaidi utauza Dola zako ununue euro kwa rate ya mwisho ambayo USD ilishuka na sio rate ya awali
Hebu naomba tupe na mwanga wa binary options hii imekaaje? (samahani nipo nje kidogo ya mada)To some, risking 100$ is a hell of money but others are willing to risk up to 10,000$ and they find its very okay with that.
Wabongo tunapenda sana kuzungumza vitu tusivyovijua, ukisha google na kusoma website 2-3 unajiona unajua na kuchangia mada kama mjuzi. Hii yote ni wivu, tukidhani Antorio atapata sana kwa hizo ada. Hatuangalii manufaa ambayo yataweza kupatikana kwa hayo madarasa.Hebu tumwache pembeni kwanza Bushiri ambaye ana biashara zinazojulikana. Huyu dogo Sandile, ni kwanini anatumia muda wake mwingi na nguvu nyingi kufanya kazi ya "kufundisha" forex trading kuliko kufanya Forex trading? Yaani hata this guy in here na yeye anafuata nyayo hizohizo, amekuwa "mwalimu" wa Forex trading ambapo tulitegemea awe mfanyabiashara wa Forex Trading ambayo kama wanavoinadi ina pesa mbaya wangekuwa wanamake trilions wakati wametulia kwenye viti vyao kuliko kufukuzana na vimilioni kutwa kushinda wanaandika article! Hii biashara ni risky sana ndiyo maana hawako tayari kurisk pesa zao, ni rahisi zaidi kwao kupata pesa kwa kukufundisha wew kurisk pesa zako.
I could be wrong though, lakini kuweni makini na hizo "ada" mtazotozwa ili kuoneshwa namna ya kutengeneza pesa!
Ni muda ndiyo utakaotuambia.
Suala la risk kalizungumzia kwenye huu uzi mpaka akajitolea na mfano labda kama ukifanya skimmingSawa, hongera zao kwa kuwa na roho "nzuri".
Vipi kuhusu ONTARIO, naona ndiyo kwanza mchanga kwenye hii biashara, maana ni juzi tu alikuwa anakodisha trekta, amepata wapi uzoefu, na kwanini aanze kufundisha na siyo kutrade ili amake pesa kwanza, maana mwenzake Sandile ameshamake sana! Na kwanini hamzungumzii kabisa suala la risk katika biashara hii?
Mkuu hii si gambling this z real speculationKuna watu humu ndani waga wanaponda sana betting....ila hapa wanataka waingie hawajui kuwa hii ni gambling pia.