Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Huku ni kutishana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways, Mimi nadhani there will never be the right time to start real trade. Lazima kuwe na start point ambayo inakuwa defined na wewe mwenyewe confidence yako.

Hizi terminology zipo nyingi mnoo na huwezi kuzijua zote, kwahiyo cha msingi ni master the analysis of graph (to be specific candles) then ukiwa na confidence anza.

Kuna mmoja wa mentor nimempata anasema rafiki yake alienda sehemu kukutana na traders kufika pale wote wanazijua terminology zote Ila walivyo anza analysis and speculation Jamaa walikuwa watupa

Mimi sio mtaalamu hata kidogo na sijawahi fanya real trade Ila huu ni mtazamo wangu. Start when u have the confidence in yourself

Usipo chafuka utajifunzaje? Acha watu waunguze accounts hizo za $100 ndio njia ya kuja kuwa pro.

Cheers!!!
hahaa..nakubaliana nawe mkuu..ila kwa muda huu sidhani kuna yeyote aliye tayari kuanza live trading..but if anyone feels they're good to go its okey..though risk ni kubwa sana..kuna mzoefu fulani aliniambia kuwa yeye alianza tu live trading bila kuchapa exercises kwa demo akawa anaingia hasara za kutisha..with time akawa anajifunzafunza kutokana na makosa yake ila sidhani his method was right..
 
A MILLION DOLLAR BOOK BY astroFX RECOMMENDED BY Pro Fx trader ONTARIO.

Wadau niwapendao sana ninafuraha sana kitabu nimekisakanyua mtandaoni mpaka nimekipata bureeee kabisa tena soft copy.

Tangu saa moja hv sikuwa online nimerudi home saa sita hv usiku ikabidi nipitie uzi pendwa FOREX nikasoma tangu nilipoishia awali na kukuta kaka ONTARIO ameachia jina, cover page na table of content ikabidi nisakanye internet. hv saa 7 usiku huu ndo kitu kinatick hichoo. Nimeona nisifaidi peke yangu niwapandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.

Yaani natamani nisilale nilianzishe na kitabu hiki pendwa sana lakini akili imechoka nitaanza nikiamka mdogo mdogo nikiwa job.

Kitabu hiki kinafunguka kwa password

Password: forexwinners.net

WE ARE PROUD OF YOU ONTARIO.
Mkuu hakifunguki,naomba utume tena link
 
Huyo alijitoa muhanga sana naye [emoji23]. Ila wewe, nina uhakika mkianza real trade hamto choma account ni vile tu unaogopa risk na unasubiri upewe confidence na Ontario. Mwisho wa siku you will have to overcome that fear. Kama vp anza hata na $50 sababu the only way to get going is to start, hizi demo zisitufariji sana
 
A MILLION DOLLAR BOOK BY astroFX RECOMMENDED BY Pro Fx trader ONTARIO.

Wadau niwapendao sana ninafuraha sana kitabu nimekisakanyua mtandaoni mpaka nimekipata bureeee kabisa tena soft copy.

Tangu saa moja hv sikuwa online nimerudi home saa sita hv usiku ikabidi nipitie uzi pendwa FOREX nikasoma tangu nilipoishia awali na kukuta kaka ONTARIO ameachia jina, cover page na table of content ikabidi nisakanye internet. hv saa 7 usiku huu ndo kitu kinatick hichoo. Nimeona nisifaidi peke yangu niwapandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.

Yaani natamani nisilale nilianzishe na kitabu hiki pendwa sana lakini akili imechoka nitaanza nikiamka mdogo mdogo nikiwa job.

Kitabu hiki kinafunguka kwa password

Password: forexwinners.net

WE ARE PROUD OF YOU ONTARIO.
mbona kinaitisha password?..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom