Huku ni kutishana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways, Mimi nadhani there will never be the right time to start real trade. Lazima kuwe na start point ambayo inakuwa defined na wewe mwenyewe confidence yako.
Hizi terminology zipo nyingi mnoo na huwezi kuzijua zote, kwahiyo cha msingi ni master the analysis of graph (to be specific candles) then ukiwa na confidence anza.
Kuna mmoja wa mentor nimempata anasema rafiki yake alienda sehemu kukutana na traders kufika pale wote wanazijua terminology zote Ila walivyo anza analysis and speculation Jamaa walikuwa watupa
Mimi sio mtaalamu hata kidogo na sijawahi fanya real trade Ila huu ni mtazamo wangu. Start when u have the confidence in yourself
Usipo chafuka utajifunzaje? Acha watu waunguze accounts hizo za $100 ndio njia ya kuja kuwa pro.
Cheers!!!