Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ukiachilia mbali soko kufungwa....! from $500 to $108000 really....!!!
kweli mkuu demo unapewa dolla 10000. tangu j3 nimepigwa nikabakiwa na 500. juzi nilipiga mpaka kufikia 2000 nikawa nishausoma mchezo nikawa naweka position zaidi ya 3 kwa pamoja. hapo ndo nilipopanda fasta. na ukizingatia kadri nilivyokuwa napanda na dau pia nalipandisha mpaka nikafikia dau la dolla 1500. sasa piga mahesabu dollar 1000 natengeneza 1950 nikiweka position tatu had nne na nikala napata kiasi gani.
 
Kijana bado unatuokota sidhani kama inawezekana utrade within 1 day kwa hiyo demo uanze na mtaji huo wa $500 mpaka kufikia laki1... Ungeniambia walau umetengeneza dollar 1000-10000 walau ningekuelewa bado unatudanganya

the very first day i saw this thread i totally believed in it..honestly speaking,i saw some light in it..and i have been working so hard coz i believe this is the chance the Lord has made..not just me but most of us..this Gentleman,Ontario,is a true defination of kindness...not everyone will reveal their financial sources to everyone...but this young man has really proved them wrong...i believe in you Ontario...i believe that you are the instrument of change in our societies..and my Hope is that,WE SHALL ALL GET THERE..wasemao na waseme..kelele za chura hizooo...tutazidi kusonga mbele..Napenda kuuita mwendo wetu Mwendo wa vipara...hahaa...Ontario mkuu,tukaze buti ili kesho waliosimanga leo wavae majezi ya aibuu....let us work hard...everybody who got inspired by this..let us keep the pace..lets keep moving...siku ya siku watatushangaa tukiingia kwa ndege tukiongozwa na mkuu Bavaria kuelekea SA..hahaaa...

waache hao mkuu..lets concentrate on our main interests...
Am in bro together mpaka SA
Durban huku tunagonga glas na akina MLU [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kaka.. Inakuwaje unijibu swali ambalo hujaulizwa wewe alafu unaniita mnafiki wakati niliye muuliza swali ni mwingine?? Nimemuuliza swali huyo aliye sema kuwa kamuona ontario YouTube.. Sasa inakuwaje unitukane mm ndugu?? Unasema Ontario haja come out official izo picha alizo post ni mama yako ndio kazipost au makaliyo yako ndio yame shindwa kuelewa post kabla ya kunilipukia na kuniita mnafki ??

Kunahaja ghan yakujipendekeza kwa Ontario kuwa kama wewe ndio msemaji wake??

Achakujibu jambo ambalo huja lielewa kama mtu kashapost picha zake na baadhi humu tusha muona unataka acome out official kivip??
Mkuu Jojo,
Naomba unisamehe sana.
 
kweli mkuu demo unapewa dolla 10000. tangu j3 nimepigwa nikabakiwa na 500. juzi nilipiga mpaka kufikia 2000 nikawa nishausoma mchezo nikawa naweka position zaidi ya 3 kwa pamoja. hapo ndo nilipopanda fasta. na ukizingatia kadri nilivyokuwa napanda na dau pia nalipandisha mpaka nikafikia dau la dolla 1500. sasa piga mahesabu dollar 1000 natengeneza 1950 nikiweka position tatu had nne na nikala napata kiasi gani.
Pamoja bro.
 
Mkuu mbona kma umepaniki.. Inamaana kiswahili nikigumu kisihicho.. Kama hali ndio hii hiyo forex tutaelewa kweli.. Me sijaona mahali mdau amekuita "mnafiki". Ila amesema itakua ''unafiki." ebu tukuweni na busara wadau.. Tujifunze kusoma post kwa makini na sio kwakukurupua
Nimekuwa mdogo Mkuu...
 
Ujue maelezo yako tatizo hayapo straight unavyoongea ni kama umefanya vyote hivyo ndani ya siku 1 kumbe unaongelea wiki nzima
 
Mkuu mbona kma umepaniki.. Inamaana kiswahili nikigumu kisihicho.. Kama hali ndio hii hiyo forex tutaelewa kweli.. Me sijaona mahali mdau amekuita "mnafiki". Ila amesema itakua ''unafiki." ebu tukuweni na busara wadau.. Tujifunze kusoma post kwa makini na sio kwakukurupua
Nadhani na ww unamatatizo ya uelewa wa lugha pia.. Na nadhan logic na mantiki ya maana ya neno husika umezidandia kwa mbele.

Hivi hiyo sababu ya mtu kuitaka link ya mtu in relation to "Unafiki " inatoka wap?? Amepimaje excitement yangu ya kumjua Ontario at YouTube na neno "Unafiki" kwanini neno unafiki liwepo katika statement yake??
Wewe nawe nadhani una kiherehere cha kuto simamia ukweli kwenye jambo na kutaka kuonekana muherevu kwenye mambo ya watu.. Kaa kimnyaaa.. "Ukimya nao ni busara kuliko kuingilia mambo kwa kudhani unajua sana kumbe mbatata tu"
 
Ushauri!

Huwezi jenga nyumba kama hujasomea uhandisi!

Kaa jifunze basics...vitabu viko humu download anza kusoma! Ukianza kuwaza broker saivi ni sawa na kuchungulia kaburi ungali kijana!

Ila kama una basics you are good to go!

Karibu!

Lodrick Thomas

Ahsante kwa ushauri
Naendelea kupekua mtandao.
Can you please recommend the Best book to start with.
 
kwenye link ya forbes aliyotuma ukisoma utona wameunganisha na link ya moja kwa moja
Thanks Beast18.. You are a man of Kind.. Jibu lilikuwa simple sana kama hovyo tu... ila wameibuka wakuiita hitaji langu kuwa ni "unafiki"..

Be blessed bro
Good day
 
Mkuu market huwa inafungwa ijumaa mpaka j3 wewe mwenzetu Jana jumamosi ulikuwa una trade soko lipi hilo? Au Mimi ndio sielewi? [emoji848]
Ndio mana kupiga profit daah labda alikua ana bet aisee au may be amekosea siku[emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji23] [emoji23]
 
M

"Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's gonna be FREE! namaanisha 100% FREE" Lini inaanza mzee, i'm interested to join boss!
watu wengine mnaboa knyama an ful kututoa kwny mood tuu, ndo nn sasa unaquote uzi tena 2× achaga izo mbana bana
 
Lodrick Thomas

Ahsante kwa ushauri
Naendelea kupekua mtandao.
Can you please recommend the Best book to start with.

The first best book I recommend is this thread, soma yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho usiruke hata comment moja then ukimaliza njoo uulize kitabu gani kingine cha kusoma if it will still be a valid question to ask
 
kwenye link ya forbes aliyotuma ukisoma utaona wameunganisha na link ya moja kwa moja

Boss ingia YouTube search jina lake ambalo lipo kwenye hiyo link ya Forbes utapata video zote zinazo muhusu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom