Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
49d09783312acbe6a00ba25f5b46dd8a.jpg
154be18b2c4443e1468c4da2cb9ab81d.jpg
4ead2c1fc32f1c0d3bde5849248847b6.jpg
hey!!!.nini kinaendelea jamani...!..why is it that ID za watu zinabehave hivi?..
Mkuu au simu yako imeoverload jaribu kuistat upya app yako ya jamiiforum
 
Mission yangu ni kuwabadili vijana waachane na kubet wahamie kutrade forex.
Nna uhakika miaka mitatu ijayo kutakuwa na Traders Lounge nyingi sana hapa Tanzania.
Zikifika Lounge kama 500 ntaanza kuamini kama hii ndoto itafanikiwa..

Mikeka haifai. With mikeka unakuwa huna control na pesa yako. Always you ll be hopping for the best.
 
BAVARIA UMESEMA KWELI LAKINI TAMUA MFANO ULIKUWA UKO MATEMBEZINI UKADONDOSHA HELA NYINGI TU NA NYUMA YAKO KUNA MTU ALIKUWA ANAKUFUATA AKAZIKUTA ZILE HELA LAKINI CHA KUSHANGAZA HAKUZIOKOTA AKAPITA ZAKE,AKAJA MWINGINE AKAZIKUTA HUYU HAKUZIOKOTA ILA AKAKAA PEMBENI KUSUBIRIA ATAKAE ZIOKOTA,MARA AKAPITA MWINGINE AKAZIOKOTA NA KWENDA KUZIFANYIA KAZI,HUU UZI UNAPITIWA NA WATU WENGI KUNA WANAOTAKA ONTARIO ASIFANIKISHE AZMA YAKE YA KUTUSAIDIA,NA KUNA WANAO PONDA JITIHADA ZAKE,NA KUNA WALE AMBAO WAKO BEGA KWA BEGA NA YEYE.MUNGU AWABARIKI SANA NA TUMPE SAPOTI ZETU PALE TU ZITAKAPO HITAJIKA WANDUGU
 
nakubaliana nawe kaka...kweli kabisa..ila hebu tuangalie mfano huu hapa

tuchukulie ulitrade GBP/USD kabla ya rollovers

GBP ikawa na interest rate ya 3.48%
USD ikawa na interest rate ya 0.27%

interest rate differential=+3.21%

hapa,rollovers itakuongezea interest ya 3.21 kwenye profit yako maana ulikuwa LONG

kama ulikuwa SHORT,interest rate differential itakuwa -3.21 hivyo utakatwa kwenye returns zako..

nisichokielewa hapa ni hiki,

je,waweza kuingia loss wakati tayari ulikuwa unakula profits wakati soko likifunga?..

maana kama nilielewa vyema ni kuwa unapodecide kwenda long,ni kama umeweka pesa zako kwa bank(deposit).na hapo bila shaka utavuna interests..kama ukienda Short,ni kama umechukua loan na lazima utalipia interest zao..

hii ndiyo sababu nikasema kuwa kama ulikuwa unakula profits katika trade yako kisha soko likafungwa,utazidi kula profits wakati rollovers zikiapply.
kama ulkuwa kwa loss bado utazidi kula loss..

***mtazamo wako unakaribishwa ndugu yangu

Well kwa nilivyo elewa mimi (wajuzi watanirekebisha), hapa ni kuangalia uhusiano kati ya interest rates na forex. Kifupi ipo hivi
If the interest rate on the currency you bought is higher than the interest rate of the currency you sold, you will earn a positive roll. If the interest rate on the currency you bought is lower than the interest rate on the currency you sold, then you will pay rollover.

Kwahiyo it depends on your last position before the market was closed. If you went long then you will get profit (positive roll) if the interest of base currency is higher than that of the counter currency otherwise if the interest of base currency is lower then you will get loss (negative roll/pay rollover). The same applies if you were short, you just check which currency was bought and which was sold in your pair
 
Wazo zuri sana Bavaria. Na litakuwa wazo zuri sana kwa wale ambao tunapanga kuwa full time Traders.

Wale ambao mpo maofisini mnaweza pia kutoroka mje.

[emoji16]
Fulltime traders utakuwa unapiga hela hadi unaumwa..
Utakuwa unawaza jinsi gani ya kutumia..
Ukiunguza account wenzako watakukopesha 1000$ za kurudi kwenye business.
Hapo nje mmepaki BMW za kutosha..
Weekends mtakuwa mnawaza wapi mkapumzike.
Au 10% ya hela mtakayotengeneza ijumaa mnawapelekea yatima na wasiojiweza. Au mnatafuta siku mnaenda kula na watoto yatima sehemu au kwenda nyumba za kulea wazee kuwapa misaada.
Mnarudisha kiasi fulani cha fedha yenu kwenye jamii.

Kwahiyo Lounge ni platform nzuri sana..
Enzi zetu tunaanza forex tulikuwa tunajificha chumbani, tunafanya analysis wenyewe na loss tukipata hatujui tunapataje.
It was a true try and error method.
Ila mkiwa kwenye Lounge ukipata loss wenzako watakuelekeza wapi unapata loss.
 
Mikeka haifai. With mikeka unakuwa huna control na pesa yako. Always you ll be hopping for the best.
Betting unakuwa unapoteza hela nyingi ila kidogokidogo.
Unaweza kupoteza hata 1,000,000 ila ukapata 100,000. Loss ni kama 900,000.
Huwezi sikia maumivu yake kwasababu unaipoteza kwa 1,000.
Wengi hawaoni hilo..
 
Mkuu na wewe pia hauruhusu PM ee...??
 
And I quote "every thing should be put in light,I will not answer any PM" Said ONTARIO.

Duh! Mkuu hii ilikuwa comment yangu ya page ya ngapi sijui nyuma huko ndio unaileta sasa!! Watu wanaongelea lounge sasa embu tupe maoni yako

By the way nime acknowledge kuwa naelewa kwamba hajibu pm kwahiyo ile ilikuwa ombi maalumu na nilikuwa nasubiri akubali ndio pm itumwe. Anyways, unaonaje wazo la kuwa na lounge? [emoji2]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
BAVARIA UMESEMA KWELI LAKINI TAMUA MFANO ULIKUWA UKO MATEMBEZINI UKADONDOSHA HELA NYINGI TU NA NYUMA YAKO KUNA MTU ALIKUWA ANAKUFUATA AKAZIKUTA ZILE HELA LAKINI CHA KUSHANGAZA HAKUZIOKOTA AKAPITA ZAKE,AKAJA MWINGINE AKAZIKUTA HUYU HAKUZIOKOTA ILA AKAKAA PEMBENI KUSUBIRIA ATAKAE ZIOKOTA,MARA AKAPITA MWINGINE AKAZIOKOTA NA KWENDA KUZIFANYIA KAZI,HUU UZI UNAPITIWA NA WATU WENGI KUNA WANAOTAKA ONTARIO ASIFANIKISHE AZMA YAKE YA KUTUSAIDIA,NA KUNA WANAO PONDA JITIHADA ZAKE,NA KUNA WALE AMBAO WAKO BEGA KWA BEGA NA YEYE.MUNGU AWABARIKI SANA NA TUMPE SAPOTI ZETU PALE TU ZITAKAPO HITAJIKA WANDUGU
Tujiulize motivation ya mtu anayemkatisha tamaa Ontario ni nini?
Je, ni Network Marketing tuseme atapata wateja wa Ontario wajiunge chini yake?
Je, ni sifa anataka kama Ontario anazopewa hapa?
Watanzania tuna roho ya kimasikini na ya kishamba sana. Hatupendi tuone mtu anapiga hatua kwenda mbele.
Furaha yetu tuone mwenzetu amefeli ndo furaha inakuja.
Basi, kama huyo mtu anataka sifa, akaanzishe Traders Lounge yake.
 
Fulltime traders utakuwa unapiga hela hadi unaumwa..
Utakuwa unawaza jinsi gani ya kutumia..
Ukiunguza account wenzako watakukopesha 1000$ za kurudi kwenye business.
Hapo nje mmepaki BMW za kutosha..
Weekends mtakuwa mnawaza wapi mkapumzike.
Au 10% ya hela mtakayotengeneza ijumaa mnawapelekea yatima na wasiojiweza. Au mnatafuta siku mnaenda kula na watoto yatima sehemu au kwenda nyumba za kulea wazee kuwapa misaada.
Mnarudisha kiasi fulani cha fedha yenu kwenye jamii.

Kwahiyo Lounge ni platform nzuri sana..
Enzi zetu tunaanza forex tulikuwa tunajificha chumbani, tunafanya analysis wenyewe na loss tukipata hatujui tunapataje.
It was a true try and error method.
Ila mkiwa kwenye Lounge ukipata loss wenzako watakuelekeza wapi unapata loss.
i really like your idea of GIVING BACK TO THE SOCIETY.. hapa hata Mungu atatuzidishia success yetu katika hili jambo..
 
Trade like a Pro

Mimi nikifanya analysis situmii indicator yoyote (hua naziita takataka), kitu kikishakua laggish kwangu kinakua senseless automatically. So hua natumia price action. Yani nikisema price action namaanisha kuamgalia movement ya currencies nyuma na kuamini kua itabehave ivo hata baadae, ni sawa na kusema - kama mvua ilinyesha mwezi wa 2 na wa 3, basi hata mwakani itanyesha miezi hiyo hiyo.

1. Najaribu kuangalia behaviour ya EURUSD kwa wiki ijayo.

f3ec03cd66b6348a970505daf0fa7794.jpg

1 kwa 1 naona wazi kuna pattern ya head and shoulder - hii ni 1 ya pattern maarufu sana na ya kuaminika pia... kinachotokea ni hiki:-

Kwa chart yetu hii iliyoform ni head and shoulder TOP.
●Hatua ya kwanza ni kuform bega la kushoto. Price itapanda kutoka chini (neckline) hadi price ya juu, kisha itarudi tena kwenye neckline yetu. - kwenye chart yetu ya EURUSD hii imetokea.

●Hatua ya 2 ni kutengeneza kichwa, hapa price itapanda kutoka kweye neckline na kuzidi usawa wa bega la kushoto kisha itarudi tena chini na kugonga neckline yetu. ' kwenye chary yetu ya EUTUSD hii imetokea.

●Hatua ya 3 ni kutengeneza bega la kulia, hapa price itapanda tena na kufika level ya bega la kushoto, the irudi tena kwenye neckline.

●Hatua ya mwisho baada ya kutengeneza bega la kulia, price itashuka chini vby mno hadi kugonda support level ya huko chini.

Sasa kwa analysis yng naona hatua zote 3 za mwanzo zimeform, na forecast yangu ni kuwa price itashuka vibaya sana. Pia tukiangalia historical data, wakati price ilikua kwenye hiyo level automatically ili reverse na kuvunja hiyo support level na kushuka hadi chini kwenye support mpya ya 1.08568. Hiki ndicho nitaexpect kitokee wiki ijayo.

So EURUSD will be strong BEARISH so it's a good indication for a serious sell.
 
Yeah. I don't prefer ndo maana nimeifunga.
Kama una swali, uliza hapahapa. Hata nisipokujibu mimi, wengine watakusaidia kujibu.
Ok inawezekana labda limeshajadiliwa humu kwenye hii post maana, kwa kipindi nimekuwa tyt,

1. Naomba msaada wowote (vitabu, links, video, au resuorces zozote unazodhani zinaweza kunisaidia, kujua hii mambo)
2. Sijajua hili jambo limefikia wapi mpaka sasa (kama kuna utekelezaji wowote umeshafikiwa) as i told you nilikua busy sana na nahisi sitwaweza kurudi nyuma na kuanza kusoma post zote.

thank you in advance.
 
Hahaha. Ngoja watoto wa-graduate kwanza tuanze kutupia analysis humu.
Sidhani kama kuna mtu ameshafika huko kwa sasa.
 
Ok inawezekana labda limeshajadiliwa humu kwenye hii post maana, kwa kipindi nimekuwa tyt,

1. Naomba msaada wowote (vitabu, links, video, au resuorces zozote unazodhani zinaweza kunisaidia, kujua hii mambo)
2. Sijajua hili jambo limefikia wapi mpaka sasa (kama kuna utekelezaji wowote umeshafikiwa) as i told you nilikua busy sana na nahisi sitwaweza kurudi nyuma na kuanza kusoma post zote.

thank you in advance.

Copy to Mwl. RCT Complex

Ila nakushauri usome uzi wote huu. Utajifunza kitu.
 
Beautiful week ahead traders

Weekend imeisha tumeianza week nyingine. Nina matumaini hii itakua wiki ya mwisho kwangu kukamilisha kila kitu, then week ijayo we take off the ground. Pia naamini wengi wenu mnaendelea kujifunza na kuelewa msitu wa forex - hua tunasema '''Forex forest''' kwa kusoma vitabu.

Nina wazo 1 naomba tushauriane bosses :- Nina kitabu ambacho ningependa wote mkisome, yani hiki naeza sema ni A million dollar book, must read. Ukikisoma hiki unaondoa upupu wote kichwani - ukija class mimi na team yng ni kukupa tu strategy za kudownload pesa kutoka sokoni, na kisha tufanye live trade pa1, yani ukikisoma afu ukaja class ni km utakua unamsukuma mlevi.

Sasa shida ya hiki kitabu ni nilikinunua SA, na ni hardcopy - makumbuka nililipa Rand 650, km 105,000 TZS. Nimejaribu kila niliwezalo kupata soft copy yake lkn hakuna. Sasa ningependa nyinyi wote mkipate, maana strategy zilizopo humu ndani 80% ndizo mimi na team nzima tunazitumia.

Je tunafanyaje?! Mimi nilifikiria nimwagize kijana wangu m1 akichapishe, then tuangalie gharama itakua ngapi, kina page km 270 hivi, kisha dogo avipeleke steshenari fulani, wale watu wa Dar wataenda kukichukua from there.

=========================

Hua nina kawaida siku ya J3 kama leo silikurupukii soko hadi London session uanze - maana soko likitoka weekend hua lina hangover. sasa usiku wa leo nilikua ninakamua kitabu fulani kinaitwa How to profit in Gold, nilivyotaka kulala nokacheki soko kidogo (fx is an addiction), nikaona setup zimekubali, na fursa iko kwenye screen, nikaingia sokoni, nikalamba laki 3 za chap chap nikalala kwa amani
d74252be34d46d9d8b3b09744ef02ba0.jpg
Mkuu nitakipataje hii kitu, mimi niko mkoani..
najua naweza kupata matusi kutoka kwa watu wanaotumia smartphone kwa ku-quote huu uzi lakini poa tu.

i really need this thing mkuu..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Trade like a Pro

Najaribu pia kuangalia pair ya GBPJPY hapa nitatupia sakafu na paa, wenyewe wanaita floor and ceiling ama support and resistance.
3c4997e41214250ceb283a8e46739868.jpg

Nikichora hizo zones zangu, automatically zinanirudisha hadi Feb 2013 wakati price ilikua ktk hiyo zones. Price kwanza ikagusa paa, baadae ikaanza kushuka chini hadi ikagonga sakafu kisha ikapanda kwa mwendo wa kumsukuma mlevi.

Oct 2016 pia price ikarudi kwenye hiyo zone tena, ikatii support na resistance yangu, ikagonga paa, then ikashuka chini kwenye sakafu kisha ikapanda tena hadi kwenye paa. Na sasa imeshuka kwenye sakafu yangu... ninachokiona ni piga uwa galagaza lazima price ipande tena juu.

So hapa bila shaka GBPJPY itakua bullish so I expect to buy.

Mambo kama haya ndio tutahadithiana darasani wakuu.

Enjoy the week ahead beautiful people
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom