Hi there TRADERS.Natumai mnakwenda vizuri
Nakumbuka kama sio j.3 bas j.2 nilileta prediction ya GBPUSD Kwa kutumia FIBONACCI RETRACEMENT na nikatoa simple analysis kama beginner, tangu siku ile sijaacha kuitupia jicho nikawa naitazama tu jinsi inavyo behave. Huku nikiitazamia Carney Speech mida ya saa 15:30. Najua kuwa hii rally ni imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hiyo speech , but nilishaona muelekeo leo mapema baada ya price kuvuka temporary resistance.Kwahiyo nikachanganya signals
Price iliweka temporary support kwenye fibonacci 38.2% (E)na temporary resistance around fibo 23.6% (C).
Looks my prediction was right,price ilivo penetrate tu kwa nguvu hapo juu nika get long na tazama price inakoelekea. Towards our SWING HIGH(B) i.e Fibo 0.0% (D).
Tazama hiyo chart hapo chini (PRACTISE ACCOUNT, LEO SIJAANIKA MY REAL ACC BUT NITALETA MREJESHO), Wanaoelewa watajua nimetengeneza pesa ngapi leo, hata kama sitafikia target yangu (D), mpaka sasa nimekusanya pips za kutosha.
NB: TRADE WITH DISCIPLINE, MANAGE YOUR RISK.
ONCE AGAIN, SHOUT OUTS TO ONTARIO, GOD BLESS YOU BROTHER
SEE YOU LATTER ONCE TRADERS, MAY THE PIPS BE WITH YOU.