Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Oya jamn mim nasoma google bt bado sijapata kitabu pia nataman sna kujua nakuanza ila nmestalk then naona mnatiririka tuu duuh nan anishike mkono sielewi..aliyetayari jmn au hio class au kama kuna broker wa Kuni coach..
 
Oya jamn mim nasoma google bt bado sijapata kitabu pia nataman sna kujua nakuanza ila nmestalk then naona mnatiririka tuu duuh nan anishike mkono sielewi..aliyetayari jmn au hio class au kama kuna broker wa Kuni coach..
Mkuu punguza munkari soma comments taratibu mpaka tulipoishi utapata picha ya kila kitu.. Mambo bado mabishi sana.. Hizi mbwembwe za wadau zisikupe presha ukajiona umechelewa.. Mkuu ONTARIO ndio kwanza anamalizia malizia kuweka mambo sawa...
 
Aisee nlikua napiga demo wth 3000 usd deposit,, since juzi napiga faida tuu,, nimeingia confidence ya kufungua live lakn let me dont rush kwanza,, subiri nipige kitabu kidogo halaf mwez wa nane nianze live. Daaaah hizi hela za demo zimenipa midadi kweli le me stick to yhe basics
 

Attachments

  • Screenshot_20170628-112339.png
    Screenshot_20170628-112339.png
    25.2 KB · Views: 66
  • Screenshot_20170623-155322.png
    Screenshot_20170623-155322.png
    46.7 KB · Views: 69
Mkuu Ontario thanks for sharing, ni watu wachache sana wenye moyo kama wako. This is the new beginning for hard workers, napenda challenge za namna hii. Nipo kwenye Demo account though bado inanizingua naamini nitaiweza tu, kuna usemi huwa natumia sana unasema ' when things seems to be difficult, we'll practice it until it we'll be as our nature'. Unikumbuke nami katika darasa lako la mwanzo 300.
 
Off and on since 2007. Nilinyolewa vizuri sana kwenye financial crisis na ETFs nikawa ninaheshimu sana hizi habari, nikawa na concentrate kwenye real estate na 401(k). Nimeanza ku trade tena seriously mwaka huu.

Mostly binary options Forex on www.nadex.com.I am trying to get into www.forex.com but I need to familiarize myself with their interface.

Ukiwa na roho nyepesi unaweza kulia.

mkuu hii binary option inanihitaji nijue analysis kama ihitajikavyo kwenye kufanya forex?
nini ubora wa binary option ukilinganisha na forex!

samahani kama nitakuwa nje ya mada ila nimeona sasa kuna idadi ya kutosha ya wachangiaji wanaofanya hii binary option pamoja na forex.
 
Wakuu anaefahamu sana kuhusu siri za kupiga hela na Qnet network marketing anipe maujanja

Najua hapa ni fx na mm ni mdau naefatilia kimya kimya na naamini Mungu akipenda nitakuwa mmoja kati ya hao 300 maana hapa najipanga kuanza fx ila nataka kujua kuhs Qnet
 
Wakuu anaefahamu sana kuhusu siri za kupiga hela na Qnet network marketing anipe maujanja

Najua hapa ni fx na mm ni mdau naefatilia kimya kimya na naamini Mungu akipenda nitakuwa mmoja kati ya hao 300 maana hapa najipanga kuanza fx ila nataka kujua kuhs Qnet
Mkuu sio 300 tena saivi ni 150
 
Mimi sio fan wa indicators mfano ni hiyo Moving Average.
Pia, umekosea kuweka hizo trend lines za kuonesha reistance and support.
(Ongeza mazoezi zaidi kwenye ku-identify support and resistance na jinsi ya kuchora hizo lines)
Then, kuna kitu kinaitwa Fibonacci, kinakusaidia kuangalia retrenchment level ya hiyo trend. Whether ipo kwenye consolidation na next move itaelekea wapi.
Bavaria nafurahia sana kila unapomention Fibonacci, nimeona analysis zako zote na nilipoiona ya kwanza tu nikasema huyu jamaa anatumia system ninayoihusudu mimi.
Am hoping kuna trading software ambayo ina Fibonacci incoperated. Au unafanya manually? Really looking foward to hearing from you.
 
Mkuu punguza munkari soma comments taratibu mpaka tulipoishi utapata picha ya kila kitu.. Mambo bado mabishi sana.. Hizi mbwembwe za wadau zisikupe presha ukajiona umechelewa.. Mkuu ONTARIO ndio kwanza anamalizia malizia kuweka mambo sawa...
Poa sana kaka
 
Wadau nimeuuliza kama mafunzo ya watu 300 kama yamishafanyika au bado sijapata jibu lolote,kwa yoyote mwenye taarifa naomba anitarifu maana huyu ONTARIO naye nimemuuliza kupitia huu huu uzi lakini naona kimya
 
Hi there TRADERS.Natumai mnakwenda vizuri
Nakumbuka kama sio j.3 bas j.2 nilileta prediction ya GBPUSD Kwa kutumia FIBONACCI RETRACEMENT na nikatoa simple analysis kama beginner, tangu siku ile sijaacha kuitupia jicho nikawa naitazama tu jinsi inavyo behave. Huku nikiitazamia Carney Speech mida ya saa 15:30. Najua kuwa hii rally ni imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hiyo speech , but nilishaona muelekeo leo mapema baada ya price kuvuka temporary resistance.Kwahiyo nikachanganya signals
Price iliweka temporary support kwenye fibonacci 38.2% (E)na temporary resistance around fibo 23.6% (C).
Looks my prediction was right,price ilivo penetrate tu kwa nguvu hapo juu nika get long na tazama price inakoelekea. Towards our SWING HIGH(B) i.e Fibo 0.0% (D).
Tazama hiyo chart hapo chini (PRACTISE ACCOUNT, LEO SIJAANIKA MY REAL ACC BUT NITALETA MREJESHO), Wanaoelewa watajua nimetengeneza pesa ngapi leo, hata kama sitafikia target yangu (D), mpaka sasa nimekusanya pips za kutosha.
NB: TRADE WITH DISCIPLINE, MANAGE YOUR RISK.
ONCE AGAIN, SHOUT OUTS TO ONTARIO, GOD BLESS YOU BROTHER
SEE YOU LATTER ONCE TRADERS, MAY THE PIPS BE WITH YOU.
FIBO.jpg

GBPUSDDaily.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom