Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ningependa kumshukuru Mr Ontario kwa kuleta huu uzi humu JF ingawaje alileta tu uzi then hakutaka kujibu sms zetu pm na wala hakuweka njia ya kumpata yeye private lakini yote kwa yote ninamshukuru sana ninakiri bila huu uzi kuletwa humu sijui Forex ningeijulia wapi nimefanya network nyingi sana lakini kama mnavyojua watu wa network mafanikio kwenye network marketing yapo lakini ni ya kusubiria baada ya miaka kadhaa hivyo kwa siku za mwanzoni unajikuta una pretend like millionaire kumbe siri za uchumi wako anaeijua ni mifuko yako tu hivyo kupitia uzi huu wa Mr Ontario umenifumbua macho nikapiga chini kila kampuni niliyokuwapo hapo awali nikaanza kufuatilia hii issue kwa rafiki yangu ambae ni mkenya akaniambia kuwa anaifahamu na hivyo nikamuomba muongozo na akaniahidi kunipiga tafu katika kumanage account yangu ambayo ni real ili kwamba huku najifunza na huku niwe naendelea kugonga pesa hiyo alinipa kama golden chance Mana nilimlaumu kwanini hakuniambia hiki kitu before kumbe anakijua kina faida na kipindi hicho hicho na yeye alikuwa ni downliner kwenye kampuni fulani nikaona kama alikuwa ananichora akaniambia kuwa kipindi tunahangaika na network marketing hizo zingine huku yeye alikuwa anaendelea kujifunza Forex hivyo baada ya makubaliano yetu nikamtumia pesa kwa ajiri ya account management nikaendelea kutafuta ujuzi wa hii kitu mpaka nimekutana tena na waalimu wengine kutoka South Africa kijana niliyebahatika kukutana nae ni msouth lakini anaweza kuzungumza na kiswahili kama unavyojua south Africa kuna vyuo kibao vya Forex unachagua tu uende ukajifunzie wapi hivyo nikazungumza nae anaitwa Mr Brotha Ayo hivyo tupo kwenye mipango ya kuwashusha hawa jamaa kutoka South Africa waje bongo kufundisha hiki kitu unaweza kutembelea website yao hii

FOREX TRADING AS AN INVESTMENT OPTION| WORKSHOP|
Utasoma maelezo yote na unaweza kulipia kabisa ada yako hapo kwenye website yao kwa sababu kila kitu kimeelezwa humo kwenye hiyo link tena kwa lugha yetu mama ila ukiona huelewi basi wewe nitumie sms pm ili nikusaidie tatizo lako namba zangu za simu sitoweka hapa ila nitazitoa kwa mtu ambae ni serious ndo nitakupatia namba ili tuzidi kuwasiliana.asanteni sana wana jamvi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeanzisha uzi wako jamaa mzee ONTARIO aona unataka kumuover take siyo fair.
Wabongo tunapenda mteremko kweli nikilipa ukaingia mitini je?
 
Mkuu najua hutashindwa.

Nakihitaji hiki kitabu.

Pls do the needful.

The New Tycoons: Inside the Trillion Dollar Private Equity Industry That Owns Everything by Jason Kelly
upload_2017-7-27_9-17-19.png
 

Attachments

AF mimi napendekeza hii thread iondolewe aisee wengi wetu humu tumeshafahamu nahisi kabisa mabank yataweka umoja wao nakupinga hichi tunachofanya kwa serikali ili tuonekane tunakiuka hivyo kufanya tunapoteza hili dili maono yangu lakini

Watapinga dunia nzima? Fx haija anzia Tanzania.
 
Kwenye kiwango cha pesa nahisi kama umekosea kitu mkuu!!

Kama umetuma 850k wakakuwekea dola 320 ina maana wamefanya dola moja sawa na tsh 2650 kiasi ambacho ni kikubwa!! benki nyingine wanafanya 2303tsh ambapo kwa pesa yako ungepata dola 369!!

Cheki na benki yako vizuri na kama hivyo viwango viko sawa na ulivyoandika chukua hatua mapema!!

Alafu huyo broker ungewasilana nae kwa email akwambie kama anasupport visa card au la maana nimejaribu kuchek kwenye website yao naona kama wana support ku-deposit kwa visa which is cheap ukilinganisha na hiyo njia uliyotumia!!

Kukatwa elfu 58 kwa ku deposit tu hiyo ni cost kubwa kiasi mkuu!!

Otherwise, nikutakie kila la heri mkuu!!
Visa card ni cheaper and faster.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom