Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Una mawazo mazuri sana mkuu wangu, na niliwataja hao akina Soros (nashukuru umemuongeza na buffet maana nilimsahau) maana uliuliza kuna mtu anayefanya hii mambo na akafanikiwa!!? Nashukuru hapa tumeelewana mkuu!!

Pia wazo lako la 100,000 USD ni zuri lakini siamini kwamba ili uwe forex trader ni lazima uwe na pesa zote hizo otherwise brokers wasingeweka minimum amount mfano 100USD au 200USD!!

Hicho kiwango ulichotaja ni cha watu akina Soros na akina buffet, sisi ndio kwanza tunaanza so sizani kama kuna ubaya mtu ukianza tarabu, infact hata wewe hukuzaliwa alafu ukawa banker nooo ulianzia chini(possibly nursery) baada ya miaka ya training(s) ndio ukawa banker the same applies to forex my friend!! huwezi ukaanza na 100,000USD even if mtu angekua nazo!!

Good news ni kwamba you know something about forex, sizani kama itakua mbaya kama ukiendelea kutupa mawazo yako na challenges pia!! Naimani utatusaidia wengi!!

Once again, You're welcome!!
Usijichoshe Mkuu mwambie apambane na hali yake,kwani amelazimishwa kuja hapa? Kwani tutapoteza pesa zetu au zake? Kila mtu apambane na hali yake !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona watu wameanza kuwa wadogo hapa.

kuna fursa nyingine mtu unashindwa hata kuwaambia familia maana wanaweza kupoteza pesa nyingi na undugu ukaisha;

hii forex trading imeanza miaka ya 1920s - mbona ujiulizi maswali ya msingi......

kwanini sio kila mtu anayejua ni trilionea sasa hivi tangu 1920?

kwanini kwenye top 100 bilioneas duniani hakuna anaye trade forex kujikimu maishani/for living na wanaijua?

kwanini watu wenye akili zao wameajiriwa serikalini au kwenye makampuni hawana muda na FX;

kwanini kwenye jamii forum watu bado wanaulizia biashara ya kuku na hii thread ya FX iko hapa?

kwanini alianzisha huu uzi ameamua kuwapa hii elimu na angeweza kutengeneza pesa? kwasababu anawapenda?

ILANI: forex trading ni kama madawa ya kulevya, cocaine, heroine.. usipoangalia unaweza kuwa jambazi ili upate pesa ya kuweka kwenye forex trading account;
wewe ni zezeta unaubongo mgando, ni kitu gani kisicho na risk hapa duniani, kama watu wanafia mashimoni kutafuta madini, kuna kitu kinadhamani hapa duniani kama uhai, bongo lala na mbinafsi mkubwa unaongea usicho kijua
 
Hakuna kazi ngumu kama kutengeneza pesa online yaan umekaa tu unamake money Juzi nili make Tsh 250,000|=Kwa dakika 6 tu Sio forex ni kwa njia nayojua mm.Ila tatizo tamaa na kujiona ushapata uzoefu muda sio mrefu nilipoteza pesa hiyo.Anachoongea mkuu hapo juu msimpuuze online money ni ngumu Ku maintain hisia zako ni kazi kubwa sana ukizingatia hali za uchumi wa bongo.

Kweli kabisa mkuu!!

Nadhani vita ngumu ya kupigana sio wewe na mwenzako ila ni wewe na nafsi yako au kwa lugha ingine vita dhidi yako mwenyewe!!

Kuna siku nilipata faida, nikasema sio mbaya acha niingie kwa mara ya mwisho hahahaa kwani nilipoingia nilitoka salama?

Kuna kitu kinaitwa greedy na revenge trading!!! Ni vitu hatari sana!!
 
Hakuna kazi ngumu kama kutengeneza pesa online yaan umekaa tu unamake money Juzi nili make Tsh 250,000|=Kwa dakika 6 tu Sio forex ni kwa njia nayojua mm.Ila tatizo tamaa na kujiona ushapata uzoefu muda sio mrefu nilipoteza pesa hiyo.Anachoongea mkuu hapo juu msimpuuze online money ni ngumu Ku maintain hisia zako ni kazi kubwa sana ukizingatia hali za uchumi wa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu ulipigwa na sportpessa au meridian b.
 
Hakuna kazi ngumu kama kutengeneza pesa online yaan umekaa tu unamake money Juzi nili make Tsh 250,000|=Kwa dakika 6 tu Sio forex ni kwa njia nayojua mm.Ila tatizo tamaa na kujiona ushapata uzoefu muda sio mrefu nilipoteza pesa hiyo.Anachoongea mkuu hapo juu msimpuuze online money ni ngumu Ku maintain hisia zako ni kazi kubwa sana ukizingatia hali za uchumi wa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitushirikisha na hiyo njia sio mbaya.. au magendo boss ? [emoji23] [emoji23]

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kazi ngumu kama kutengeneza pesa online yaan umekaa tu unamake money Juzi nili make Tsh 250,000|=Kwa dakika 6 tu Sio forex ni kwa njia nayojua mm.Ila tatizo tamaa na kujiona ushapata uzoefu muda sio mrefu nilipoteza pesa hiyo.Anachoongea mkuu hapo juu msimpuuze online money ni ngumu Ku maintain hisia zako ni kazi kubwa sana ukizingatia hali za uchumi wa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Your loss experience should be a lesson to carry on! Never lose hope easily. Kupoteza hela katika utafutaji wa hela ni jambo la kawaida ndio maana hata kwenye vitabu vya fedha kuna kitu kinaitwa PROFIT & LOSS A/C. We always lose things in different ways.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inawezekana msife moyo, uvumulivu na nidhamu tu.
IMG_1746.PNG
 
Una mawazo mazuri sana mkuu wangu, na niliwataja hao akina Soros (nashukuru umemuongeza na buffet maana nilimsahau) maana uliuliza kuna mtu anayefanya hii mambo na akafanikiwa!!? Nashukuru hapa tumeelewana mkuu!!

Pia wazo lako la 100,000 USD ni zuri lakini siamini kwamba ili uwe forex trader ni lazima uwe na pesa zote hizo otherwise brokers wasingeweka minimum amount mfano 100USD au 200USD!!

Hicho kiwango ulichotaja ni cha watu akina Soros na akina buffet, sisi ndio kwanza tunaanza so sizani kama kuna ubaya mtu ukianza tarabu, infact hata wewe hukuzaliwa alafu ukawa banker nooo ulianzia chini(possibly nursery) baada ya miaka ya training(s) ndio ukawa banker the same applies to forex my friend!! huwezi ukaanza na 100,000USD even if mtu angekua nazo!!

Good news ni kwamba you know something about forex, sizani kama itakua mbaya kama ukiendelea kutupa mawazo yako na challenges pia!! Naimani utatusaidia wengi!!

Once again, You're welcome!!

Bado naona kuna watu wanachanganya, wakina Soros na Buffett na mtu yeyote amepata mafanikio kwenye world market SIO trader - hawa sio traders kabisa; mtu anayenunua position akaishikilia kwa miaka miwili mitatu sio trader huyo
ni investor; Buffett huwa anashauri watu wanunue share for 15 years;

trader kwenye banks, wananunua position kwa muda mfupi sana na account zao ndio US$2,000,000 mpaka $10Mil.

mimi naweza ku prove kwamba trader atapoteza pesa yote kwa muda mfupi, unless uwe na capital/mtaji mkubwa sana; kama watu hawaamini basi wajaribu.

Ukiona broker amekwambia weka USD $10, $100, $200 kimbia - hizo pesa ukiweka ni za kwake; mtu yeyote serious hawezi kuweka $100 alafu aka trade.. big banks wana target 26% pa ROI - sasa kwenye $100 - hiyo ni $26 - kuna mtu anaweza kuishi on
$26 ?

Kiwango nilichosema sio cha kina Buffett au Soros - mtu yeyote ambaye yuko serious, anaweza ku raise hiyo capital
akafanikiwa ila kama nilivyosema awali, tatizo ni shilingi. ni pesa ngapi za madafu zina thamani ya $100K

mimi personally, Forex sigusi - kumbuka kwenye Stock Market kuna instruments nyingi kama
1 hiyo forex,
2 shares,
3 indices,
4 commodities,
5 bonds -

tofauti na FX - hizo nyingine huwa ni slow na ndio sustainable, FX inakimbia sana na upotea hivyo hivyo haraka haraka;

mafanikio ya wengi yako kwenye government bonds. haya ni madeni ya serikali, na serikali zote long term deni linakuwa;

Hata investment banks wanafunga forex desks, sasa mtanzania anaweka/deposit $25 au $500 alafu anadhani atachomoka;
 
Habari iArmaniAdamson karibu tena!!

Kwanza kuna kipengele nilisahau kukujibu kwenye post yako ya kwanza... refer hii sehemu...

  1. Fungua USD 100,000 REAL account

  2. Weka pesa ya kutumia for 3 years bila kufanya kazi yoyote

  3. Fungua sio zaidi ya position 2 kwenye account – aim to make 25% per year ($25,000 pa)
Sasa niambie Wa TZ wangapi wanaweza HAYA? – hii biashara kwa TANZANIA, tatizo sio watu, tatizo ni Shilingi.

Mkuu, nadhani kwa biashara/investment uliyoiweka hapo ni poor kwa sababu gani...

Unasema uwekeze 100,000USD kwa mwaka upae faida ya 25,000USD?? labda sehem nyingine ila sio forex!! mara ya kwanza kabisa nilipoanza kutrade nilianza na dola 20usd it was very minimal amount lakin per day nilikua Napata faida si chini ya dola 15!! that is per day!! so how come uwe 100,000usd u-aim kupata 25,000usd per year??

To me that is not business!!!

trader kwenye banks, wananunua position kwa muda mfupi sana na account zao ndio US$2,000,000 mpaka $10Mil
Kumbe na benki nao wanafanya? sasa kwanini ulisema "waajiriwa" hawajihusishi na forex??
mimi naweza ku prove kwamba trader atapoteza pesa yote kwa muda mfupi, unless uwe na capital/mtaji mkubwa sana; kama watu hawaamini basi wajaribu.

Hata mimi binafsi naweza ku prove kwamba unaweza poteza pesa zako ndani ya muda mfupi!! Capita inaweza kua ya muhimu ila kupata hasara au kukosa kunategemea na mtu, skills(technical and fundamental), psychological state yake, kiasi gani unaweza kuhandle defeat?

Unaweza ukawa na capital kubwa lakin still ukapoteza mkuu wangu!!

Ukiona broker amekwambia weka USD $10, $100, $200 kimbia - hizo pesa ukiweka ni za kwake; mtu yeyote serious hawezi kuweka $100 alafu aka trade.. big banks wana target 26% pa ROI - sasa kwenye $100 - hiyo ni $26 - kuna mtu anaweza kuishi on
$26 ?
Nahisi kuna kitu unachanganya mkuu wangu, katika forex kuna main actors wengi ila lazima ujue kuna institutes, governments na kuna retail traders kama mimi possibly na wewe!!

Unao semea wewe ni hawa main actors kama banks na governments ila sio retail traders mkuu!!

Uwepo wa retail traders na ushindani uliopo (call it imperfect competition, you name it!) ndio unafanya brokers waandae mazingira kuweza ku accommodate mpaka small/retail traders!!

Alafu unajua hawa brokers wako regulated?
Kiwango nilichosema sio cha kina Buffett au Soros - mtu yeyote ambaye yuko serious, anaweza ku raise hiyo capital
akafanikiwa ila kama nilivyosema awali, tatizo ni shilingi. ni pesa ngapi za madafu zina thamani ya $100K
Ndio maana tukasema tunaanza taratibu mkuu, hata hao akina soros iliwachukua karibu miaka 20 kufika hapo, tena wengine walirithi!!!

tofauti na FX - hizo nyingine huwa ni slow na ndio sustainable, FX inakimbia sana na upotea hivyo hivyo haraka haraka;

Dear banker, do you know this theory..."Higher risk higher return"?

Personally nilikua mdau wa shares za makampuni ila huwezi linganisha shares na forex mkuu!!

Again ndio maana inashauriwa usome na kuelewa kabla hujaamua ku-trade simply because of the risks associated!!

Hata investment banks wanafunga forex desks, sasa mtanzania anaweka/deposit $25 au $500 alafu anadhani atachomoka;
Sasa hapa lazima tuelewane kitu kimoja, kuchomoka sio lazima uwe kama akina mengi kwa siku moja!!

Alafu ni bora mtu akatrade kwa hiyo 500usd akapata walau 50000tsh per day kuliko kukaa kungoja apate 100,000 usd ili awekeze kama unavyoshauri mkuu banker!!

Labda nikuache na swali, kabla ya forex nilikua siingizi hata mia kwa siku ila tangu nimejifunza forex atleast nikiingiza 40,000tsh per day au hata 20,000tsh per day kuna ubaya??

Mawazo yako ni mazuri ila kufanikiwa katika forex sio lazima uwe na 100,000usd, start small and build yourself!!

Kwa upande Fulani kuwa na capital kubwa ni nzuri ila SI lazima uwe na capital kubwa ndio uanze kutrade!!

Karibu mkuu!!

[/QUOTE]
 
Bado naona kuna watu wanachanganya, wakina Soros na Buffett na mtu yeyote amepata mafanikio kwenye world market SIO trader - hawa sio traders kabisa; mtu anayenunua position akaishikilia kwa miaka miwili mitatu sio trader huyo
ni investor; Buffett huwa anashauri watu wanunue share for 15 years;

trader kwenye banks, wananunua position kwa muda mfupi sana na account zao ndio US$2,000,000 mpaka $10Mil.

mimi naweza ku prove kwamba trader atapoteza pesa yote kwa muda mfupi, unless uwe na capital/mtaji mkubwa sana; kama watu hawaamini basi wajaribu.

Ukiona broker amekwambia weka USD $10, $100, $200 kimbia - hizo pesa ukiweka ni za kwake; mtu yeyote serious hawezi kuweka $100 alafu aka trade.. big banks wana target 26% pa ROI - sasa kwenye $100 - hiyo ni $26 - kuna mtu anaweza kuishi on
$26 ?

Kiwango nilichosema sio cha kina Buffett au Soros - mtu yeyote ambaye yuko serious, anaweza ku raise hiyo capital
akafanikiwa ila kama nilivyosema awali, tatizo ni shilingi. ni pesa ngapi za madafu zina thamani ya $100K

mimi personally, Forex sigusi - kumbuka kwenye Stock Market kuna instruments nyingi kama
1 hiyo forex,
2 shares,
3 indices,
4 commodities,
5 bonds -

tofauti na FX - hizo nyingine huwa ni slow na ndio sustainable, FX inakimbia sana na upotea hivyo hivyo haraka haraka;

mafanikio ya wengi yako kwenye government bonds. haya ni madeni ya serikali, na serikali zote long term deni linakuwa;

Hata investment banks wanafunga forex desks, sasa mtanzania anaweka/deposit $25 au $500 alafu anadhani atachomoka;

Mkuu mbona unatuchosha???kwa nn unarudia vtu ambavyo tayari tunavijua???? Kwani kuna mtu amekuambia kuwa kwenye forex hakuna kupoteza...au nikuulize kwenye hzo investments nyingine hakuna kupoteza..

Unajua nn mkuu kwa vile inaonekana wewe unazo sana na unatuonea huruma kuwa tutapoteza tudollar twetu 500 au 1000 twa mawazo kwenye forex....na wewe unasisitiza kiwango cha chini cha mtaji wa forex uwe 100k...basi fanya kitu kimoja.

Huu Uzi una likes chache tu kama 500+ hv...sasa m-pm kila aliyelike Uzi huu halafu weka naye utaratibu jinsi atakavyopokea hyo 100k Kutoka kwako ili aanze kutrade na mtaji unaotaka wewe maana naona una huruma sana na hzo dollari 500/1000 za mawazo ambao una uhakika 100% broker anaenda kuzilamba.

Ebu ona ilivyo hela ndogo sana kwako

528*100,000$ = 52,800,000$

Mkuu ni kama tudolla milioni hamsini na Mbili na laki nane tu mkuu....yaani hela ndogo sana hii kwako.

Fanya hvo basi mkuu nasubiria pm yako mkuu wangu yaani nitakushukurujeeee..
 
Huyu Armani huyu, nimesoma vzr sana conversation hapo juu, he purely knows about forex and maybe he is a trader.

Sasa kuna vitu vitatu au vinne:

Kwanza, maybe he learnt forex in the hard way, ambapo alipoanza tu akawa anadonate pesa kwenye market, yani yeye kila siku alikua anapoteza, kiufupi alikua hatambui nini anafanya sokoni, so kwa experience hiyo anahisi hakuna successful retail traders.

Pili, huyu jamaa anaweza kuwa lile kundi la watu wenye roho ya kwanini, ni sawa na wahindi. Hawa jamaa wameanza kutrade muda mrefu sn, lkn kamwe hawezi kutoa siri, anamfundisha mwanae na mtoto wa dada'ke kisha wanapiga pesa kimya kimya, ni wale watu wanapenda wa-accumulate utajiri mkubwa sana kisha watu wasio na kipato waanze kuwalamba miguu. Sasa akiona watu wanachomoka, he feels threatened kua hakuna mtu atakayekubali kumlamba miguu.

Tatu, kama ulisoma vzr ile screenshot ya bio yake iliyoletwa na Lodrick, utagundua jamaa anarun capital group na bond house, hivi ni vitu vinavyotenganishwa na trading kwa mstari mwembamba sana. Hivyo jamaa anafeel so insecured kwamba Ontario labda anaanzisha same thing na yeye atakua knocked out of the game. Boss my principle is that, I never compete with anyone, I only compete with my own goals and visions, that's the only way I dominate.

Hoja zake za kitoto toto hata newbie ambae kasoma chapter 1 ya Millionaire trader How everyday people are beating Wall street at it's own game anaweza kumwelewesha. Mzee baba km unatafuta trader aliye successful, wala usiende mbali - am here, sijamake millions in the market, lkn nilipoanza na nilipo sasa kuna utofauti mkubwa sana. Huwezi nilinganisha na banker wa bank yoyote mzee, mshahara wa mwezi wa manager wako naweza kuupata in a matter of minutes.

Back to our thread

Guys yani kiuhalisia ilibidi hii ngoma ianze hii wiki, yani jana J3. Nimeshapambana in all ways, lkn kuna vitu vipo nje ya uwezo wangu. Gharama ambazo nilipanga awali kwaajili ya hii project zimeongezeka karibu mara 3 ya gharama ambazo nishatumia hadi sasa, na bado mambo hayajakamilika.

Nikaamua niongeze pesa zingine zaidi ili nikamilishe na tuanze haraka iwezekanavyo lkn hapo ndipo hujuma ilipotokea. Nikachomoa $15,000 from my trading account, sasa hivi ni kama wiki ya 2 kuna sehemu wanazizuia bila sababu. Nilipokua nasema - hakuna bank itataka uijue forex, sikua naleta mzaha. Kila mara pesa ikitumwa inakataliwa na wenye madaraka yao, bila sababu ya kueleweka. They feel so insecured, mtu mwenyewe wanaepambana nae ana miaka 23 tu [emoji23].

Hii ndio feedback ninayopewa:
822190e57cf36987efed78f11cdd0938.jpg
nimeficha jina la bank servant

Picha ya kwanza inaonesha kabisa kua $14,800 imetoka kwenye account ya broker wangu, na imeelekezwa kuja kwa account yangu hapa Bongo. Yani transaction iko successful.
Picha ya pili inaonesha transaction imekua rejected by international blah blah, na hivyo wameshindwa kuallocate pesa kwa bank yangu, so wanairudisha kwa broker wangu.

Hujuma za ki3ènge kabisa aisee, tena mchana kweupe. But it will get sorted out. Watu tushatatafuna ng'ombe mzm iweje mkia tuushindwe.

Let's keep patience na tuendelee kusoma wazee baba. Sihitaji mwanafunzi kilaza, km unajijua ww ni kilaza bora uniombe ushauri kuhusu kufuga kuku (been there, done that)

===============================

Na kwa wale ambao muda wote mnanilaumu kua nachelewa, nimekua mzito nk nk. Najua ni kiasi gani napambana na hali yng, nimekutana na mambo mengi sn hapa kati, mengi haswa, siwezi nikawa nasema kila kitu hapa, but trust me I've stand to be strong, ningeweza kukaa ndani na kutrade kila siku niingize $500 (yantosha), lkn kwakua niliapa kufanya hili, lazima nihakikishe naifanya with massive success.

So km upo huko unaendelea kunilaumu, nakushauri fanya what u think is best for you, tafuta wale wakenya walesema wanakuja for training, nenda YouTube tazama videos, then fund your account. Kisha leta majibu. In FX we get paid for Patience!! Period.
 
Huyu Armani huyu, nimesoma vzr sana conversation hapo juu, he purely knows about forex and maybe he is a trader.

Sasa kuna vitu vitatu au vinne:

Kwanza, maybe he learnt forex in the hard way, ambapo alipoanza tu akawa anadonate pesa kwenye market, yani yeye kila siku alikua anapoteza, kiufupi alikua hatambui nini anafanya sokoni, so kwa experience hiyo anahisi hakuna successful retail traders.

Pili, huyu jamaa anaweza kuwa lile kundi la watu wenye roho ya kwanini, ni sawa na wahindi. Hawa jamaa wameanza kutrade muda mrefu sn, lkn kamwe hawezi kutoa siri, anamfundisha mwanae na mtoto wa dada'ke kisha wanapiga pesa kimya kimya, ni wale watu wanapenda wa-accumulate utajiri mkubwa sana kisha watu wasio na kipato waanze kuwalamba miguu. Sasa akiona watu wanachomoka, he feels threatened kua hakuna mtu atakayekubali kumlamba miguu.

Tatu, kama ulisoma vzr ile screenshot ya bio yake iliyoletwa na Lodrick, utagundua jamaa anarun capital group na bond house, hivi ni vitu vinavyotenganishwa na trading kwa mstari mwembamba sana. Hivyo jamaa anafeel so insecured kwamba Ontario labda anaanzisha same thing na yeye atakua knocked out of the game. Boss my principle is that, I never compete with anyone, I only compete with my own goals and visions, that's the only way I dominate.

Hoja zake za kitoto toto hata newbie ambae kasoma chapter 1 ya Millionaire trader How everyday people are beating Wall street at it's own game anaweza kumwelewesha. Mzee baba km unatafuta trader aliye successful, wala usiende mbali - am here, sijamake millions in the market, lkn nilipoanza na nilipo sasa kuna utofauti mkubwa sana. Huwezi nilinganisha na banker wa bank yoyote mzee, mshahara wa mwezi wa manager wako naweza kuupata in a matter of minutes.

Back to our thread

Guys yani kiuhalisia ilibidi hii ngoma ianze hii wiki, yani jana J3. Nimeshapambana in all ways, lkn kuna vitu vipo nje ya uwezo wangu. Gharama ambazo nilipanga awali kwaajili ya hii project zimeongezeka karibu mara 3 ya gharama ambazo nishatumia hadi sasa, na bado mambo hayajakamilika.

Nikaamua niongeze pesa zingine zaidi ili nikamilishe na tuanze haraka iwezekanavyo lkn hapo ndipo hujuma ilipotokea. Nikachomoa $15,000 from my trading account, sasa hivi ni kama wiki ya 2 kuna sehemu wanazizuia bila sababu. Nilipokua nasema - hakuna bank itataka uijue forex, sikua naleta mzaha. Kila mara pesa ikitumwa inakataliwa na wenye madaraka yao, bila sababu ya kueleweka. They feel so insecured, mtu mwenyewe wanaepambana nae ana miaka 23 tu [emoji23].

Hii ndio feedback ninayopewa:
822190e57cf36987efed78f11cdd0938.jpg
nimeficha jina la bank servant

Picha ya kwanza inaonesha kabisa kua $14,800 imetoka kwenye account ya broker wangu, na imeelekezwa kuja kwa account yangu hapa Bongo. Yani transaction iko successful.
Picha ya pili inaonesha transaction imekua rejected by international blah blah, na hivyo wameshindwa kuallocate pesa kwa bank yangu, so wanairudisha kwa broker wangu.

Hujuma za ki3ènge kabisa aisee, tena mchana kweupe. But it will get sorted out. Watu tushatatafuna ng'ombe mzm iweje mkia tuushindwe.

Let's keep patience na tuendelee kusoma wazee baba. Sihitaji mwanafunzi kilaza, km unajijua ww ni kilaza bora uniombe ushauri kuhusu kufuga kuku (been there, done that)
Asee!
 
Natanguliza samahani kwa kuquote comment ndefu kidogo ila sikuwa na jinsi wazee maana kuna mtu kanifika hapa...

Mkuu iArmaniAdamson njoo huku uongee na successful retail trader...kama sijakosea alianza na $700 baada ya kujua hii Biashara....akaipandisha hyo $700 mpaka akafika kama $12,000 hv...akazichoma Zote kwa usiku mmoja tu....akakaa chini akajiuliza alikosea Wapi mpaka akachoma Account... Akaanza tena...kama unavyoona mkuu anachomoa $15k kwa ajili ya kumalizia hii kitu kwa ajili ya watz wenzake na ameshachomoa nyingine nyingi tu.

Inawezekana zikawa ni hela ndogo kwako maana wewe unazo sana ila ni vijana wangapi wa kitanzania walishika 15k wakiwa na umri wa miaka 23????tena zao kama wao sio za urithi???nadhani watakuwa ni wachache sana.

Ukitaka story inoge zaidi ongea na ONTARIO akuelezee alikotoka na alipo kwa sasa...na ndo anachopigania kuwatoa watanzania walipo sasa na kuwapeleka sehemu thru' forex trading....wewe baki na wivu wako na utajiri wako na wanao...inawezekana hata ndugu zako ni fukara fukarika ila unaona fahari wanapokuja kwako kuomba omba kama alivosema mzee baba hapo juu.

OVA.
 
Huyu Armani huyu, nimesoma vzr sana conversation hapo juu, he purely knows about forex and maybe he is a trader.

Sasa kuna vitu vitatu au vinne:

Kwanza, maybe he learnt forex in the hard way, ambapo alipoanza tu akawa anadonate pesa kwenye market, yani yeye kila siku alikua anapoteza, kiufupi alikua hatambui nini anafanya sokoni, so kwa experience hiyo anahisi hakuna successful retail traders.

Pili, huyu jamaa anaweza kuwa lile kundi la watu wenye roho ya kwanini, ni sawa na wahindi. Hawa jamaa wameanza kutrade muda mrefu sn, lkn kamwe hawezi kutoa siri, anamfundisha mwanae na mtoto wa dada'ke kisha wanapiga pesa kimya kimya, ni wale watu wanapenda wa-accumulate utajiri mkubwa sana kisha watu wasio na kipato waanze kuwalamba miguu. Sasa akiona watu wanachomoka, he feels threatened kua hakuna mtu atakayekubali kumlamba miguu.

Tatu, kama ulisoma vzr ile screenshot ya bio yake iliyoletwa na Lodrick, utagundua jamaa anarun capital group na bond house, hivi ni vitu vinavyotenganishwa na trading kwa mstari mwembamba sana. Hivyo jamaa anafeel so insecured kwamba Ontario labda anaanzisha same thing na yeye atakua knocked out of the game. Boss my principle is that, I never compete with anyone, I only compete with my own goals and visions, that's the only way I dominate.

Hahahaaa, Boss you let jealous people more Jealous and hatred when they see withdrawal of those 14k bucks. By the way good job dude.
 
IMG_2712.jpg

Guys nisaidieni kitu kimoja.

Nimesoma nia ya kufunzwa FOREX. Pages ni zaidi ya 200 nimeshindwa kuanzia page 1 mpaka ya sasa maana ni ndefu sana.

Ninachoomba ni tarehe ya kuanza hayo mafunzo tu.

Any Idea pls....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom