Edenhome
Member
- Apr 5, 2017
- 48
- 75
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Skrill hawana card, hii ni online wallet, kazi kubwa ya skrill ni uwezo wa kutuma pesa zako kwa broker, au kufanya manunuzi au kuhamishia kwa acc yako either ya m pesa au acc yako ya bank mfano PAYONEER BANKAsante sana mkuu kwa elimu yako nzuri sana katika kusaidiana kupunguza makali ya makato yanatokana na ugumu wa benki zetu na utaratibu kwa ujumla wa nchi zetu na bara la africa kwa ujumla, Niendelee kutoa shukhrani kwa mkuu/ Mhenga Ontario kwa kazi aliyofanya mpaka sasa Tanzania Imeamka kupitia yeye Forex inaongelewa sasa wazi wazi na watu wameanza soma na kuwa na uelewa, God bless u Broo!
swali langu kwako Quigley: Nimeona Skrill wana limit ya transaction USD 1177.40 sasa sijui hiki kiasi naona kama ni ndogo sana kwa mtu mwenye malengo makubwa, au mimi sijaelewa please help
hio ni benki ya kimataifa,wanaelewa forex,sidhani km wanavikwazo.Habari wakuu, poleni sana kwa majukumu,,, msaada kidogo hapa ivi Barclay's nao wanazengwe juu ya forex,
Nikimaaanisha wana complication katika kuwithdraw mi hela toka forex?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu, poleni sana kwa majukumu,,, msaada kidogo hapa ivi Barclay's nao wanazengwe juu ya forex,
Nikimaaanisha wana complication katika kuwithdraw mi hela toka forex?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa tz bado kwa sasa labda siku za badae..samahani wakuu hivi hakuna sehemu unayoweza kudeposit kupitia mitandao yetu kama vile
m-pesa
tigo.-pesa?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] usipende upendeleo pambana kiumeAfdhali maana tumesubiru sana.ila ontario hakuna nafasi za upendeleo kwa kina dada?alafu darasa litachukua muda gani ikibidi tuombe likizo makazini.tumaomba utupatie maelekezo mapema....wako mwanafunzi mtiiifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bank yoyote iliyo chini au inaendeshwa kwa mujibu wa taratibu za BOT kuna shida kama sio leo ni keshohio ni benki ya kimataifa,wanaelewa forex,sidhani km wanavikwazo.
I hope many brokers hawana complication kuaccept transaction to and from online wallets kuanzia mwanzo kabisa.Bank yoyote iliyo chini au inaendeshwa kwa mujibu wa taratibu za BOT kuna shida kama sio leo ni kesho
Broker hawasumbuiI hope many brokers hawana complication kuaccept transaction to and from online wallets kuanzia mwanzo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilivyoelewa ni kama hiviI hope many brokers hawana complication kuaccept transaction to and from online wallets kuanzia mwanzo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
So km mwanzo nilianza na debit card ya benki nikaja kudeposit tena kupitia wallet nikitaka kudraw kwa wallet itwzkn?Broker hawasumbui
.lkn kumbuka njia unayotumia kuwatumia ndiyo utakayoitumia kitolea pesa
Kabanga nitakujiaSo km mwanzo nilianza na debit card ya benki nikaja kudeposit tena kupitia wallet nikitaka kudraw kwa wallet itwzkn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilivyoelewa ni kama hiviBroker hawasumbui
.lkn kumbuka njia unayotumia kuwatumia ndiyo utakayoitumia kitolea pesa
Mkuu nilivyoelewa ni kama hivi
Naenda kufungua acc barclays(nimesema barclays coz ndo bank iliyo karibu kwangu pia nipate urahisi wa proof of residency),then wanipe kadi/MasterCard inayo support online transaction
Then nafungua skrill account pamoja na payoneer acc
So for the first time on wards navuta hela from barclays to skrill then kwa broke r nikipiga faida Fx navuta mkwanja kwa broker to skrill then to payooner af straight away kwa ATM(ATM yoyote worldwide)?
Kama ndivyo,unaweza kuniambia kila mchakato unatumia muda gani yaan Barclay's to skrill to broker to skrill to payoneer ?
Sent using Jamii Forums mobile app
acha uongo5-14 days
What do you mean mkuu.... Hakuna mtu ataishi milele....we hauna maisha marefu
Boss hii itakuwa inafanana na blockchain wallet, ambayo unaweza tuma/pokea USD au bitcoin? au Skrill iko tofauti?Mkuu, Skrill hawana card, hii ni online wallet, kazi kubwa ya skrill ni uwezo wa kutuma pesa zako kwa broker, au kufanya manunuzi au kuhamishia kwa acc yako either ya m pesa au acc yako ya bank mfano PAYONEER BANK