Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Habari za mda huu wadau??

Nadhani wote tunajua kinachoendelea huko kwa wenzetu hasa kati ya N.Korea na Japan!! Jana N.Korea alivurumisha kombora juu ya anga la Japan na kutua kwenye bahari jiran kabisa na pwani ya japan!! Kwa kifupi kuna hali tetea huko mashariki ya mbali!!

Anyways, kama ukiangalia baada ya N.Korea kutangaza kurusha kombora, Yen ilianza kupanda nabaada ya kurusha kombora Yen ikapanda maradufu, nadhani USDJPY ilitoka 109 mpaka 108 within very short period of time!! kilichonishangaza kwanini Yen ipande badala ya kushuka hasa ukizingatia Japan ndio ilikua kwenye hali ya kushambuliwa??

Katika pita pita zangu kwenye huu uzi na kwenye sites nyingine, Yen inajulikana kama "Safe haven" na mara nyingi inakua kimbilio la wawekezaji kipindi cha machafuko! Baada ya kugundua hili sikushangaa what happened yesterday!!

EURUSD ime-hit 1.2 na bado inaelekea north!!

Mpaka sasa naona dola ya Marekani inafanya vibaya. Nangoja reaction ya USA, China na Urusi kuhusu tukio la jana....
Nilijiuliza sana sana kwanini ipande. Hii pair ya usdjpy imenitenda. Anyway sehemu ua kujifunza zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijiuliza sana sana kwanini ipande. Hii pair ya usdjpy imenitenda. Anyway sehemu ua kujifunza zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kesi kama hii sio vizuri uingie mzima mzima sokoni, penda kutumia pending order...

Wengi wanajua nchi fulani ikivamiwa au ikiwa kwenye machafuko basi shilingi yake inashuka, that is NOT always true mkuu! Pole sana, wengine tulisha tendwa na akina mario draghi na euro yake kipindi hicho hahahaa!!

Kama juzi ungepitia nyuzi humu wala yasingekukuta maana kuna mdau aliielezea hii... pitia hii...

9ad351d249d441eb57f4f7688216bef6.jpg

Kwa ushauri tu, google "why Yen is known as safe haven"...
 
Kwa hii Dhahabu inavyopanda, aisee yaani walioweka positions nyingi sasa hivi wanacheka. maana ndani ya lisaa naona kuna pips za kutosha zimepanda.
 
Kwa kesi kama hii sio vizuri uingie mzima mzima sokoni, penda kutumia pending order...

Wengi wanajua nchi fulani ikivamiwa au ikiwa kwenye machafuko basi shilingi yake inashuka, that is NOT always true mkuu! Pole sana, wengine tulisha tendwa na akina mario draghi na euro yake kipindi hicho hahahaa!!

Kama juzi ungepitia nyuzi humu wala yasingekukuta maana kuna mdau aliielezea hii... pitia hii...

View attachment 577353

Kwa ushauri tu, google "why Yen is known as safe haven"...
ata swiss ni safe haven

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerudi kuangalia katika mitego yangu nitegeshe wapi saa hizi.

$1030 faida kwa siku hazijanitosha bado nataka kurudi live niangalie pair ipi inatoa.

Hawa watoto walio na utapiamlo wa elimu wasiojua tofauti ya "time zone" na "time travel" ni makosa ya wazazi wao na serikali zao kukosa elimu, kwa hiyo siwezi kujivika kazi ya ualimu wakati kuna maelfu ya USD yananingoja kuzipiga hapa.
hhahahahaa unafiki sio mzuri, hii imenichekesha
 
ata swiss ni safe haven

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee nilikiwa napiga stori mbili tatu na muhasibu mbobezi mmoja hivi akawa ananieleza namna tax free countries kama Dubai, shelisheli,, Panama, isle of Man and the like jinsi zinavyosumbua na zinavyofanikisha ukwepaji wa kodi wa makampuni. Aisee ni noma. Yaani ukisikiliza unaona kabisa naibiwa na hapo hapo huwezi kumkamata mwizi wako ingawa unamuona huyu hapa heheeeheh.
 
Heheeeheeh, Dah, Ndo nimepata muda wa kuwasha PC saa hizi, Duh huu mchuano wa time zones ulikuwa mkali kweli. Nadhani wa kujifunza wameshajifunza na wa kuelewa wameelewa.
Me pia kuna jambo kubwa nmejifunza kutoka kwenye huu mpambano. Hongera kwa Al Watan na Dan Pol, mjadala ulikuwa wa maana sana ni vile tu uchaguzi wa matumizi ya lugha ulikuwa na ukakasi kidogo. Unless nawasihi msameheane, tuzidi kusonga mbele. Tumejifunza kitu cha msingi sana juu ya time zones!!! heko kwenu
 
Nimerudi kuangalia katika mitego yangu nitegeshe wapi saa hizi.

$1030 faida kwa siku hazijanitosha bado nataka kurudi live niangalie pair ipi inatoa.

Hawa watoto walio na utapiamlo wa elimu wasiojua tofauti ya "time zone" na "time travel" ni makosa ya wazazi wao na serikali zao kukosa elimu, kwa hiyo siwezi kujivika kazi ya ualimu wakati kuna maelfu ya USD yananingoja kuzipiga hapa.
We jamaa huna lolote unalojua unatapa tapa tu.

Nimesoma vizur posts zako.

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Aisee nilikiwa napiga stori mbili tatu na muhasibu mbobezi mmoja hivi akawa ananieleza namna tax free countries kama Dubai, shelisheli,, Panama, isle of Man and the like jinsi zinavyosumbua na zinavyofanikisha ukwepaji wa kodi wa makampuni. Aisee ni noma. Yaani ukisikiliza unaona kabisa naibiwa na hapo hapo huwezi kumkamata mwizi wako ingawa unamuona huyu hapa heheeeheh.
So ina maana hata ukipata broker anaetokea huko anakua sio mzuri au,, just asking lakn.
 
Asante, sina lolote ninalojua, natapatapatu.

Umefurahi na roho yako sasa?

Mzee Complex Gold inasemaje leo? Mi sina ninachojua, natapatapa tu.

Boss leo Gold imetembea toka 1317 na point zake mpaka around 1325 na point zake.
 
So ina maana hata ukipata broker anaetokea huko anakua sio mzuri au,, just asking lakn.

No, hii haihusiani na uaminifu wa broker. Ilikuwa ni katika stori mbili tatu ya namna ya kuangalia dunia inaendeshwaje na namna wafanyabiashara wanavyojitahidi kukwepa kodi kihalali.

Refer deal ya Neymar toka Barca kwenda PSG namna ilivyochezwa. Ile dili Neymar alilipwa pesa (around 300M USD) na serikali ya Qatar kwa ajili ya kuitangaza Qatar kuelekea 2022, na pesa hiyo pamoja na deal hilo vingesainiwa Qatar ambapo ni Tax heaven, so kusingekuwa na income Tax.

Huku makubaliano baina ya Qatar na Neymar ni kwamba once akishalipwa anunue mkataba wake na Barca, akishanunua mkataba wake na Barca (ulkuwa unagharimu around 222M USD), then anakuwa mchezaji huru, baada ya hapo anaenda PSG kiulaini akiwa na balance ya USD 70M+ kama ujira wake.
 
$1030 faida kwa siku hazijanitosha bado nataka kurudi live niangalie pair ipi inatoa.

Hawa watoto walio na utapiamlo wa elimu wasiojua tofauti ya "time zone" na "time travel" ni makosa ya wazazi wao na serikali zao kukosa elimu, kwa hiyo siwezi kujivika kazi ya ualimu wakati kuna maelfu ya USD yananingoja kuzipiga hapa.

Mimi binafsi naamini uko vzuri, na ni kweli kwamb nlitamani kama ungekuwa personal mentor wangu.

Lakini kwa kauli hz za vijembe kwa WAZAZI na serikali, sitaki kuamini kuwa una uwezo wa kumuelimisha mtu akaelewa.

Danpol aliulizwa kuhusu ishu hz akasema yameisha, lakn wewe unarudi na kauli zilezile....

Just imagine kama tabia yako angekuwa nayo ontario, kila akirudi kwa uzi wake kutupa maneno ya kejeli na matusi tunaouliza maswali ya kijinga kama RSI...

unadhani ni wangapi wangevumilia? Unadhani wangapi wangebaki? Binafsi, ningeacha...

Wewe unaweza, muelimishe asiyeweza ili kesho asikuulize tena bro!

Kwanini mahali ambapo wengine twadhani tutapata mafanikio nyie mwatumia mianya hyo kututukania wazazi wetu? Huu ndo ustaarabu kweli?

Al watan, kama wewe tayari unaweza mambo haya, tuache wajinga wajinga tujikongoje wenyewe...

Ni bora niwe na kampani ya wajinga wanaoniheshimu, kuliko genious anayenidharau na kunitusi.

Sio poa, bro! Unatukatisha tamaa...

Kama Ontario angekuwa wewe, haki wengi tungekuwa tuko tu gizani...

Ukitaka kuntusi, ni sawa kwa upande wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom