RSI (Relative strength index) ni mojawapo ya oscillators zinamuwezesha trader kujua hali ya soko ipoje kwa wakati huo. Kama tunavyojua katika soko kuna wanunuzi na wauzaji, hivyo inakusaidia kujua kama bidhaa husika (kwa case yetu bidhaa ni currency pair) imenunuliwa sana ama imeuzwa sana. Ukiangalia katika RSI graph utaona kuna leevel mbili 30% na 70%. Hii maana yake kaama graph iiwa chini ya 30% maana yake pair hiyo imeuzwa sana (oversold state) hivyo uangalie possible buying opportunities, na viceversa ikiwa juu ya 70 maana yake ipo katika overbought state.