Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.
Nimenyoosha mikono sifanyi tena sclaping.
Aisee kikubwa ni kuhakikisha hurudii kosa kama ushalijua maana wengine tunagundua kosa katika situation flani lakini baadae unajikuta unarudia kosa lilelile mpaka mwenyewe unajishangaa umerudiaje kitu ambacho ulisema hutarudia!!

Tunahitaji displine ya hali ya juu kwenye hii game.
 
Me mwenyewe nilijiuliza kwanini JPY ipande wakati yenyewe ndo ipo kwenye matatizo.. ila kidogo hapo umenifungua.

Sitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.
Nimenyoosha mikono sifanyi tena sclaping.
Scalping ni nzuri ila kwa mtazamo wangu inaweza kuwa risky!! why...

Huwezi pata muda wa kutosha kufanya analysis ndani ya dakika moja au tano! yan inakua kama unafwata graph inavyoshuka na kupanda, sometimes unaweza dhan inashuka kumbe ikapanda ukabaki na hasara!!

Na scalping huwezi pata muda wa kuweka SL unless uwe na time kubwa tofauti na hizi za M1, pia sio nzuri kutumia panapokua na major issues kama hii ya jana!!!
 
RSI (Relative strength index) ni mojawapo ya oscillators zinamuwezesha trader kujua hali ya soko ipoje kwa wakati huo. Kama tunavyojua katika soko kuna wanunuzi na wauzaji, hivyo inakusaidia kujua kama bidhaa husika (kwa case yetu bidhaa ni currency pair) imenunuliwa sana ama imeuzwa sana. Ukiangalia katika RSI graph utaona kuna leevel mbili 30% na 70%. Hii maana yake kaama graph iiwa chini ya 30% maana yake pair hiyo imeuzwa sana (oversold state) hivyo uangalie possible buying opportunities, na viceversa ikiwa juu ya 70 maana yake ipo katika overbought state.

Anhaaa.... Sasa nimejua... Manake, roughly, RSI ikiwa 70% ni muda mzuri wa kusell, na ikishuka mpka kugusa au kupitiliza 30% ndo kujipanga kubuy? Si ndio?
Relative strength Index ,
Inatumika kuangalia overbought and oversold.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anhaaa.... Sasa nimejua... Manake, roughly, RSI ikiwa 70% ni muda mzuri wa kusell, na ikishuka mpka kugusa au kupitiliza 30% ndo kujipanga kubuy? Si ndio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukicombine na strategies nyingine.
RSI alone is not the best way.
Kwa mfano ijumaa EurUsd ilihit 70 na ikaaminisha itatokea downtrend lakini kutokana na news EurUsd mpaka leo inauptrend na inapaa mpaka RSI 80's.
 
Sitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.
Nimenyoosha mikono sifanyi tena sclaping.
We watumia broker gani? Mi nko na demo ya instaforex, natumia mobile app yao na MT4, lakn bado nataman kupata broker mzur zaidi... Zaman ckupenda MT4 mana nliona ngumu hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anhaaa.... Sasa nimejua... Manake, roughly, RSI ikiwa 70% ni muda mzuri wa kusell, na ikishuka mpka kugusa au kupitiliza 30% ndo kujipanga kubuy? Si ndio?

Sent using Jamii Forums mobile app
ila kama ulivyoelezwa hapo juu,usiingie tu kwenye sell position kisa soko lipo overbought bila kuhusisha analysis zingine.kifupi,RSI itumie tu kama confirmation baada ya kufanya analysis zingine.
 
ila kama ulivyoelezwa hapo juu,usiingie tu kwenye sell position kisa soko lipo overbought bila kuhusisha analysis zingine.kifupi,RSI itumie tu kama confirmation baada ya kufanya analysis zingine.
sio kwamba candlestick ndio zilipaswa zikupe confirmation n nn kinafuata??

Anyway, Sema jambo lenyewe halina formula maalumu, ila RSI mwanzon ilinipa tabu sana kuamua nn cha kufanya... yenyewe kama yenyewe haitoshi
 
Ukicombine na strategies nyingine.
RSI alone is not the best way.
Kwa mfano ijumaa EurUsd ilihit 70 na ikaaminisha itatokea downtrend lakini kutokana na news EurUsd mpaka leo inauptrend na inapaa mpaka RSI 80's.
Usipende ku trade kwa kutumia indicators peke yake!
 
sio kwamba candlestick ndio zilipaswa zikupe confirmation n nn kinafuata??

Anyway, Sema jambo lenyewe halina formula maalumu, ila RSI mwanzon ilinipa tabu sana kuamua nn cha kufanya... yenyewe kama yenyewe haitoshi
hii inategemea na strategy yako ila ni added advantage kama ukiwa na more than one confirmation factors..kuna indicators kibao ila kwa vile sio rahisi kuzisoma na kuzielewa zote,unachofanya ni kuchagua unazozielewa wewe..cha msingi uweze kuzitumia.wanapoiita forex forest ni kwa sababu kuna mambo mengi sana sana ya kujifunza kwenye forex ila kwa kuanzia ni vyema uwe na strategy yako kisha ukaifanyia kazi to be perfect on it.
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
ila ni vizuri ukamaster candlestick patterns ukajua formation gani inamaanisha nini na hivyo utegemee nini..a strategy is a combination of various factors, to come up with a complete formulae,ukizingatia hivyo vipengee mbalimbali kisha ukaziunga pamoja utakuwa always a step ahead,kuliko mtu anayetegemea one or two factors
 
Na kama gold ikipanda maana yake USD itashuka,

Kilichotokea jana baada ya japan kutishiwa yen ilipanda na dola ikashuka which means thamani ya gold ilipaa baada ya watu kui-dump dolla na kununua gold na yen ili wasipoteze thaman za investment zao!! hapa ndio utajua kwanini USA wanakomaa kumlinda mjapani!
 
ila kama ulivyoelezwa hapo juu,usiingie tu kwenye sell position kisa soko lipo overbought bila kuhusisha analysis zingine.kifupi,RSI itumie tu kama confirmation baada ya kufanya analysis zingine.

Dah, leo nimejifunza kitu kikubwa sana

Ukicombine na strategies nyingine.
RSI alone is not the best way.
Kwa mfano ijumaa EurUsd ilihit 70 na ikaaminisha itatokea downtrend lakini kutokana na news EurUsd mpaka leo inauptrend na inapaa mpaka RSI 80's.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umeuona leo kwa mara ya kwanza???

Mkuu, pitia taratibu mdogo mdogo, kuna mambo mengi mno yamejadiliwa ikiwa n pamoja na vitabu unavyopaswa kusoma

Ila tu kwa kifupi, Training bado haijaanza na utaratibu bado haujatolewa.. Uzinduzi utafanyika tar 1/9/2017...
Cha kwanza hapa, resource kubwa ya kuweka hapa ni time, niweze kuistudy kwa ufasaha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom