Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha
Msaada wandugu:
1. Buy stop.
2. Buy limit.
3. Buy stop limit.
I know kuna za sell pia, lakn hzo ztakuwa ni oposite zake
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Buy stop - hii ni pending order ambayo unanunua above the market at a specific price wakati unapoanalyise mkt na kupredict kwamba price itaendelea kupanda kwa uelekeo huo huo. Mfano kama bei ya EURUSD ni 1.18910 na you feel that itaendelea kupanda unaweza amua kuwa utanunua bei ikifika say 1.18970 kwa matarajio kuwa ikifika hapo itaendelea kupanda zaidi.Msaada wandugu:
1. Buy stop.
2. Buy limit.
3. Buy stop limit.
I know kuna za sell pia, lakn hzo ztakuwa ni oposite zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanx mana hapa nachanganya madude hatari...1. Buy stop - hii ni pending order ambayo unanunua above the market at a specific price wakati unapoanalyise mkt na kupredict kwamba price itaendelea kupanda kwa uelekeo huo huo. Mfano kama bei ya EURUSD ni 1.18910 na you feel that itaendelea kupanda unaweza amua kuwa utanunua bei ikifika say 1.18970 kwa matarajio kuwa ikifika hapo itaendelea kupanda zaidi.
2. Buy limit - hii ni pending order ambapo unanunua below the mkt at a specific price wakati unapoona kwamba currency pair itareverse uelekeo na kushuka below the prevailing price and then rise again after hitting your buy limit price order. Mfano EURUSD kwa sasa iko kwenye 1.18910 na unategemea bei itashuka hadi 1.18850 na kupanda tena. So you put your buy limit order at 1.18850
3. Buy stop limit - hii ni pending order sawa na buy stop order ( you buy above the prevailing mkt price with mategemeo kuwa price will continue moving above). tofauti yake na buy stop order ni kwamba position will be triggered at the set specific price ONLY. Hii order huzuia kutokea kwa SLIPPAGE (order kuwa filled at price slightly different from the price you set as your buy stop limit) na kunauwezekano wakati market inamove fast hasa during news releases your buy stop limit order haitokuwa filled at all.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umedadavua vizuri sana unajua wengine tunasoma vitabu sometimes translation inakua tofauti, naomba mkuu unidadavulie na kitu inaitwa "stop loss order' na "trailling stop orders" na mifano yake1. Buy stop - hii ni pending order ambayo unanunua above the market at a specific price wakati unapoanalyise mkt na kupredict kwamba price itaendelea kupanda kwa uelekeo huo huo. Mfano kama bei ya EURUSD ni 1.18910 na you feel that itaendelea kupanda unaweza amua kuwa utanunua bei ikifika say 1.18970 kwa matarajio kuwa ikifika hapo itaendelea kupanda zaidi.
2. Buy limit - hii ni pending order ambapo unanunua below the mkt at a specific price wakati unapoona kwamba currency pair itareverse uelekeo na kushuka below the prevailing price and then rise again after hitting your buy limit price order. Mfano EURUSD kwa sasa iko kwenye 1.18910 na unategemea bei itashuka hadi 1.18850 na kupanda tena. So you put your buy limit order at 1.18850
3. Buy stop limit - hii ni pending order sawa na buy stop order ( you buy above the prevailing mkt price with mategemeo kuwa price will continue moving above). tofauti yake na buy stop order ni kwamba position will be triggered at the set specific price ONLY. Hii order huzuia kutokea kwa SLIPPAGE (order kuwa filled at price slightly different from the price you set as your buy stop limit) na kunauwezekano wakati market inamove fast hasa during news releases your buy stop limit order haitokuwa filled at all.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Stop Loss Order - Hii ni order unayoweka ili position ijifunge yenyewe kama mkt price ikifika level fulani. Hii husaidia kuzuia kulose mtaji wako endapo bei itakwenda kinyume cha matarajio yako Mfano. Una Buy position ya NZDCHF iliyofunguliwa at 0.68880. Unaweka stop loss order below 0.68880, say at 0.68740 ili position ijifunge yenyewe endapo mtk irabehave against you.mkuu umedadavua vizuri sana unajua wengine tunasoma vitabu sometimes translation inakua tofauti, naomba mkuu unidadavulie na kitu inaitwa "stop loss order' na "trailling stop orders" na mifano yake
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ahsante sana!!1. Stop Loss Order - Hii ni order unayoweka ili position ijifunge yenyewe kama mkt price ikifika level fulani. Hii husaidia kuzuia kulose mtaji wako endapo bei itakwenda kinyume cha matarajio yako Mfano. Una Buy position ya NZDCHF iliyofunguliwa at 0.68880. Unaweka stop loss order below 0.68880, say at 0.68740 ili position ijifunge yenyewe endapo mtk irabehave against you.
2. Trailing stop order - Hii ni aina ya stop loss order ambayo husogea automatically kadiri mkt price inavyovadilika.
Mfano umeuza (short) NZDCAD at 0.89700 na umeset a trailing stop ya 10 pips. Maana yake wakati unauza NZDCAD kwa price ya 0.89700 stop loss order yako ilikuwa 10 pips above 0.89700 at 0.89800. Hivyo, kama mkt price itashuka 10 pips hadi 0.89600, pia trailing stop yako itashuka 10 pips from 0.89800 hadi 0.89700 (hapo unakuwa umebreakeven if price reverse up to 0.89700). Na kama mkt price itashuka tena 10 Pips from 0.89600 to 0.89500 your trailing stop will also move 10 Pips from 0.89700 to 0.89600 (hapo utakuwa sasa umeshaweka kibindoni 10 Pips profit). Na kama ikitokea soko likareverse na price ikaanza kupanda say from existing price of 0.89500 upward, your trailing stop will stay at 0.89600 ONLY na ikipanda ikafikia hiyo 0.89600 price then position will be closed
Sent using Jamii Forums mobile app
Stop loss: amount unayoweka ambayo kama market itaenda tofaut ikifika hapo inaclose position, mf unabuy, bei ya market ni 1.8524 ili kupata faida bei yatakiwa kupanda, so unaweka stop loss chn ya hapo, say 1.8514. Kama bei itakuwa inapungua, ikifika 1.8514 itaclose position hvyo kukuepusha kupata hasara.mkuu umedadavua vizuri sana unajua wengine tunasoma vitabu sometimes translation inakua tofauti, naomba mkuu unidadavulie na kitu inaitwa "stop loss order' na "trailling stop orders" na mifano yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Just as a reminder, even if ukimpata huyo broker jua kwamba trailling SL inafanya kazi on client side na sio broker side kama ilivyo normal SL! usije ukategeshe trailling SL alafu ukazima pc ukaenda kulala haitafanya kazi! Ukitumi trailling make sure ume set pia normal SL!!
Ah... Ndivyo inakuwaga? Hafu kama uko free naomba msaada kdg..Just as a reminder, even if ukimpata huyo broker jua kwamba trailling SL inafanya kazi on client side na sio broker side kama ilivyo normal SL! usije ukategeshe trailling SL alafu ukazima pc ukaenda kulala haitafanya kazi! Ukitumi trailling make sure ume set pia normal SL!!
mkuu kwa sisi tunaotumia tunaweza fanya trading? kwa mfano mimi natumia mt4 kwa android ila naona kama vitu vinapungua kama trailing stop loss nk, au sijui labda ya kuweka?Just as a reminder, even if ukimpata huyo broker jua kwamba trailling SL inafanya kazi on client side na sio broker side kama ilivyo normal SL! usije ukategeshe trailling SL alafu ukazima pc ukaenda kulala haitafanya kazi! Ukitumi trailling make sure ume set pia normal SL!!
Wengi wenye trailing stop loss wanatumia trading platform zao wenyewe. Co MT4 au MT5.mkuu kwa sisi tunaotumia tunaweza fanya trading? kwa mfano mimi natumia mt4 kwa android ila naona kama vitu vinapungua kama trailing stop loss nk, au sijui labda ya kuweka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama nimeelewa mada yako. Ila nnachojua hamna individual trader/broker anayemiliki trading platform. Infact tunaposema platform tunamaanisha applications kama MT4 na MT5 pia iko ingine inaitwa zulu trader japo sio common kama mt4 na mt5!Wengi wenye trailing stop loss wanatumia trading platform zao wenyewe. Co MT4 au MT5.
Sent using Jamii Forums mobile app