Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu tafadhali fanya utafiti kabla hujajibu kwa haraka. Bigina hawezi kumudu mapigo ya xm.
Niamini kaka...wana spread kubwa hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tafadhali fanya utafiti kabla hujajibu kwa haraka. Bigina hawezi kumudu mapigo ya xm.
Sasa sisi beginner broker yupi mzuri? Embu tushauli mkuuMkuu tafadhali fanya utafiti kabla hujajibu kwa haraka. Bigina hawezi kumudu mapigo ya xm.
Niamini kaka...wana spread kubwa hatari
Mojawapo ni jp market but anachelewa kuverify docs
Mkuu kwenye vitabu hawawezi kuambia broker kwamba huyu ni mzuri,labda watakupa conditions tu,harafu kila broka anachangamoto zake,,ambae Mimi naweza muona mzuri mwingine asione kwamba no mzurikwa wale manaoulizia kwamba eti ni broker gani mzuri. kwan kuna ubaya gani mkisoma vitabu na makaelewa na mkaamua kutumia criteria zilizoandikwa kwenye vitabu katika kuchagua mabroker? au unaweza hata ukagoogle qualities za good forex broker ni kipande kifupi sana ambacho unaweza ukasoma na ukaelewa vizuri
Anachelewa max kwa mda gani?Mojawapo ni jp market but anachelewa kuverify docs
Harafu mkuu nimejaribu kufuatilia comments naona upo vizuri sana,msisite kutusaidia jamani,Mojawapo ni jp market but anachelewa kuverify docs
Inategemea but mimi zaidi ya 2 weeks na wengine hawakujibiwa kabisa.
Usijal mkuu ntakuja mkuu tuyajenge tusaidiane wa huko Rock CityUkishapata hiyo training uje utupe shule na sisi wenzako wa rock city
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hapo utakuwa unajaribu bahati tu..ni kama gambling hivi manake utakuwa unategemea chochote kitachotokea kitokeeHabarini. Kwa trend iliyo katika consolidation, je naweza weka pending order zote 4 kwa matarajio kwamba moja wapo ya hzo order itakuwa executed?
Nyingne upande wa resistance, nyngne upande wa support.
4 pending orders: buy limit, buy stop, sell limit, sell stop.
<> semper fi <>
Tatizo kichwa kinauma, lah!!mkuu hapo utakuwa unajaribu bahati tu..ni kama gambling hivi manake utakuwa unategemea chochote kitachotokea kitokee
Hii kitu niya ukweli Mimi ndo nimeanza real account yangu Leo check hapa nimeanza mdogomdogo tu kitaelewekaNimevutiwa sana na Hii kitu lakini alivyomleta huyu nabii umenichanganya zaidi, Kuna thread upo humu ndani ukimjadili Prophet Bushiri na namna anavyodanganya watu. Japo kweli huyu Bwana ni Tajiri sana, Ikiona Binadamu anamiliki Ndege yake Binafsi ujue kweli ni tajiri