Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hivi na katka hao watu 300 watakao bahatika kipata special offer, watahitajika kutoa hiyo 65000/=, Au pesa hyo ni kwa wale wasio bahatika kwenye 300?
Ufafanuzi kodogo wakuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unatamani kuanza na hauna mtaji, instaforex wanatoa real trading akaunt yenye bonus ya $1000. Ni kama demo, lakini ambayo ukipata faida utaweza kuwithdraw pesa yako na kuitumia.

No deposit bonus, ukijisajili tafadhali ipe muda wa kuprocess $1000 kwa ajili ya akaunt yako, kuna mwngne kauliza kuwa hajaona kitu kwa akaunti yake.

Start trading with amazing $3500 STARTUP no deposit bonus

<> semper fi <>
Jamani wale mlo sign up mbona hamtupi mrejesho? Au mambo yamekuwa magumu?

<> semper fi <>
 
Mkuu, swala la elimu juu ya kitu fulani ni swala pana sana, na kuna njia nyingi mno za kupata elimu yenyewe, njia kuu mbili zilizo zoeleka ni ELIMU kwa maana ya kusoma na nyingne ni real life experience

Eneo la kwanza ambalo ni elimu umesha lipitia yaani kusoma, njia ya pili sasa na ambayo ndio ya muhimu kuliko vyoote ni real life experience naona umeizuia kabisa kwako, huitaki kabisa..

Ni kwanini nasema haya
Ukiangalia trade zako, mara nyingi kama sio zote umekua MVIZIAJI, hau trade kulingana na elimu uliyo pata na pia hautaki kulipa fursa soko likufunze yaani likupe real life experience ya forex ilivyo, unakosea sana mkuu,

Ukiendelea kuvia once trade ziki turn blue unaamua ku close position kwa hakika utakua hakuna unachofanya, pili, hakuna elimu wala experience ya soko unayopata, liache soko lipumue, fanya analysis yako vizuri, ingia sokon ukiwa na sababu ni kwanini nimeamua ku trade hivi, kua na target yako unataka ku archive nini kwenye hiyo trade, ukiweza hifadhi hata screenshot before and after trade, endapo soko likienda vizuri ama vibaya rudi kwenye analysis uongeze ujuzi ama upate funzo n kwann nilioa A ikatokea O... usivizie vizie hvyo mkuu

ipo siku utapiga hasara ya maana.. at the same time unakuta ukirudi kwenye kumbukumbu una winning trade karibu 50 mfululizo... hasara moja tu inakomba kila kitu, wakati ungetembea na risk vs reward ratio nzuri hiyo hasara wala isingekutikisa, Risk vs reward ratio ni vitu ambavyo hupaswi vitenga, pitia pita Astroforex

Mengine nikupongeze, you are doing good, ila tu acha kunyelea nyemela, lete hata screenshot hapa yenye Faid ndefu ndefu kidgo sio 1.09 kwa position moja...
scalpers wote ni waviziaji mkuu cha muhimu ni kumake profit........na kulisoma soko la forex ni ngumu haliko constant lina panda na kushuka kila sekunde!...........
 
Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's gonna be FREE! namaanisha 100% FREE. Watu 300 wa mwanzo nitakaoanza nao hii safari nitatoa learning materials, trainings, mentorship, na 3 months guidance for free. I am blessed to bless others - Don't misquote me.

Kwanini nafanya free?! Bado forex haijulikani TZ, na ni ngumu sana kubadili mind set ya watanzania wengi - ambao mara nyingi hua hawapendi kujifunza. So, natoa hii kitu for free kwa watu wa mwanzo, ili wapige pesa na wabadili financial status zao. Then hawa watu watakua ambassadors wangu, namaanisha hawa ndio watatutangaza pande zote za TZ. Watu wakimake consistent profits, wakaelewa how it works basi kama watu hawa si wachoyo wa mafanikio wataenda kuwashtua wenzao - ndugu, jamaa na marafiki. Hapo tutaanza na reasonable fees mpk tutakapoona ni muda sasa wa sisi nasi kula jasho letu, ndio tutaanza kuweka bei za faida...

#Free100%
 
Anza na mie

<> semper fi <>
 
Hakika launching ilikuwa nzuri haswa.

Wale haters karibuni. Kuonesha kuwa registration fee si kitu, tuliohudhuria launch tayari tushatumia takriban elfu 30 katika breakfast tuu. So yule aliyekuwa anapiga hesabu kuwa ontario atapata milion 19 jumla toka katika elfu 65 zetu, afanye kupunguza hayo makadirio. Hahaaahaaaha.
 
Attachments

Wow mmetuwakilisha nasubiri batch ingine for nw napambana na vitabu
 
Pambana, hopeful tutakutana katika corridors siku moja. Ngoja sisi tukakomae na trainning Baada ya kukomaa na vitabu kwa muda sasa.
mkuu msisahau kuleta maujuzi mtakayoyachota huko hapa jukwaani..
 
Hakika launching ilikuwa nzuri haswa.

Wale haters karibuni. Kuonesha kuwa registration fee si kitu, tuliohudhuria launch tayari tushatumia takriban elfu 30 katika breakfast tuu. So yule aliyekuwa anapiga hesabu kuwa ontario atapata milion 19 jumla toka katika elfu 65 zetu, afanye kupunguza hayo makadirio. Hahaaahaaaha.

Inaonekana ilifana sana big up...

wp_20170909_10_32_09_pro-jpg.584766

wp_20170909_10_33_00_pro-jpg.584765
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom