Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mbona mods awasemi sababu za kufuta na kurudisha threads?????
Nini kinaendelea?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

 
Mods wametoa boko leo[emoji23]

All men are self made [emoji123]
 
Forex Tutorials for Beginners: Pitia hapa kujifunza

Forex Tutorials for Beginners: Pitia hapa kujifunza

=========• UPDATE •==========

Nimebahatika kupata hii link ya group Maarufu kwaajili ya materials na Books kuhusu Forex Trading so nikaona si mbaya kushare nanyi tena ingawa hapo awali kuna baadhi ya wachangiaji walijitokeza kunishambulia kwa maneno makali wakidhani kwamba kila mtu anaeleta uzi au mada yoyote humu JF kuhusu Forex trading basi anamuonea wivu au Kumpinga ndugu Ontario wakati kiukweli si hivyo bali tunajaribu kusaidiana ili kuhakikisha sisi sote tunasonga mbele.

Hili ni group la TELEGRAM so ili kujiunga inabidi kwanza upakue App ya telegram kwa wale ambao watakuwa hawana.

FOREX LIBRARY

Traders Library

0213f03fb7e2766199824abe819ac8b9.jpg
 
ANGALIZO!

Don't ever put your Hard earned Money at risk unless uwe na elimu (ufahamu) wa kutosha na experience kuhusu Forex trading, Please Please kama unajiona bado hujapata mwanga kuhusu Forex trading Hakikisha unahudhuria pindi kwa mkuu Ontario au kujifunza mwenyewe kupitia books and videos kama hutopata wasaa kuliko kuweka pesa yako rehani kwa Mhemko wa kutafuta pesa ya rahisi ni bora ukaitoe tu sadaka kanisani au msikitini maana FOREX IS NOT A GET RICH QUICK SCHEME and it is not for Everyone Msije mkamlaumu ontario kwamba amewaingiza Mkenge tafadhali.

Mungu Awabariki wote!
 
Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's gonna be FREE! namaanisha 100% FREE. Watu 300 wa mwanzo nitakaoanza nao hii safari nitatoa learning materials, trainings, mentorship, na 3 months guidance for free. I am blessed to bless others - Don't misquote me.

Blessed to bless others! Very good. Where were you before?

Sasa Hivi wote tulio baki tunataka ya kulipia. Umechelewa sana Mkuu! Lbd kwa kuanzisha uzi wako mwingine utawapata.
 
Hapa ndo ninapokumbukaga slogan ya mzee wa upako a.k.a Mzee wa jibapa. Ana slogan yake inayosema "watashindanaaaa, lakini hawatashinda" ndo naona kinachoelekea kutokea.
 
Mi bado nko na demo ya instaforex. Ukiacha MT4 wana custom app yao. Kama ndo wafungua live account, wanakupa non-withdrawable no deposit bonus ya $1000.

Ukitaka akaunt hapa:
Start trading with amazing $3500 STARTUP no deposit bonus

App yao hapa:
InstaForex – Програми Android у Google Play

Swali linakuja:
We watumia broker gani?

Ila hasa, namkubali etoro.

<> semper fi <>
Bado ndo naendelea demo!! Hii biashara inahitaji muda kuistudy,kusoma vitabu,kuuzulia semina nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi bado nko na demo ya instaforex. Ukiacha MT4 wana custom app yao. Kama ndo wafungua live account, wanakupa non-withdrawable no deposit bonus ya $1000.

Ukitaka akaunt hapa:
Start trading with amazing $3500 STARTUP no deposit bonus

App yao hapa:
InstaForex – Програми Android у Google Play

Swali linakuja:
We watumia broker gani?

Ila hasa, namkubali etoro.

<> semper fi <>
Hawa jamaa wahuni sana...

Ukisha tengeneza profit hawa kuruhusu ku withdraw had ufanye deposit min usd 100 alaf hawana review nzur

All men are self made [emoji123]
 
Hawa jamaa wahuni sana...

Ukisha tengeneza profit hawa kuruhusu ku withdraw had ufanye deposit min usd 100 alaf hawana review nzur

All men are self made [emoji123]
Kama n hvyo, wacha ntumie $1000 kujifunzia, then ntamsaka broker mwngne

Sent using Moto G4 Plus
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom