Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
sasa hivi currency zina chukua nafasi yake... zina polomoka kwa kasi sana... baada ya kupanda hapo jana... taadhari... una weza choma a/c, una takiwa umakini sana... tena sana... na kama utakuwa na salio la kubaatisha...
 
Currency zimeanza fujo tena.... hazi tulii dakika una pata profit dakika una weza unguza akaunti.......... mzigo ni moto
 
zina paa na kushuka kwa fujo... una weza jilaumu... kukosa hizi flow za sasa mzigo una tembea hatari tupu yani ni shida....
 
Shukrani kwako ONTARIO kwa maarifa haya juu ya FX

Asubuhi ya leo nimegonga Take home ya mshahara wa mtu ngazi ya TGTS E

Napumzika kwa sasa hadi Eur Session/ NewYork Session
View attachment 683889
Shukrani kwako ONTARIO kwa maarifa haya juu ya FX

Asubuhi ya leo nimegonga Take home ya mshahara wa mtu ngazi ya TGTS E

Napumzika kwa sasa hadi Eur Session/ NewYork Session
View attachment 683889
hahaaa life is not fair mbele ya screen unadanload
 
Duuu hiii kitu noma sana,sasa mi bashite simo,nilikuwa naitaman,sasa hapa tatizo ubashite,ebu tusaidie na sisi mabashite,
 
Wakuu kama kawaida asubuh hii nimevuta hela ya mboga chap kwa Mpesa...kama unataka nawewe kudeposit na ku toa kwa mpesa basi tumia broker huyu
https://secure.templerfx.com/login?rid=106853


3045f5affc52e50dd667f46c71c7d1ff.jpg
1a87d8afea32e26a5a0c4026a63a2d0b.jpg


https://secure.templerfx.com/login?rid=106853
mkuu hebu nielekeze hiyo mpesa ya dola inakuwaje ni ya kenya?
 
Nkichek balance 9$ af nkichek lot ulotumia hakika Mungu alikua na ww mana ingeyumba tu kidogo ukikua unakusanya majivu yako

By the way ni broker gani unatumia kama hutojali lkn mkuu

Mkuu nifunze namna ya kutambua leverage used kwenye hiyo screenshot ya dala 9.
 
Hzo indicator mara nyingi kwenye large time frames ndio zinawork vizuri but usihangaike sana huku. Just know ur zones mzeee
Nadhani unaposema zones nshahisi ww ni naked trader,km niko sahihi chief huu ni ushauri wangu(km ww ni newbie lkn,km ni pro nisamehe)indicators ni muhimu sn,zinakupa urahisi huumizi kichwa kuliko naked trading.
 
Nataka kuniunga na hii forex,

Ila sijui A, E wala U kuhusu hivi vitu,

Ila nkishaskiaga investing issues navutiwa sana,

Usiniambie kuhusu risk, trading/investing is a risk taking.

Naomba kujua kidogo kuhusu mambo ya forex, na overview kidogo kuhusu zile BITCOIN, NURUCOIN E. T. C


ASANTENI.
 
market structure is the key and patience is my middle name let download papers
Screenshot_2018-02-02-18-19-56.png
 
Tickmill ananizungusha sana kuverify account yangu anahitaji document mpya ya adress tofauti n ile ya bank statement nlokwisha kuapload and also wananihitaji ni verify address kwa email most of the time. Wameomba cheti cha kuzaliwa nimewapa till now bado hawajajibu.

Je? [emoji27] wataniverify au ndo usumbufu afu mwisho wa day am not allowed to trade
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom