Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kutoboa forex kuna siri nzito unatakiwa ujue, na traders wengi waliofanikiwa uwa hawatoi kizembe zembe ,mfano kuna uhuni mkubwa sana unafanywa na meta trader app kusoma sana mavitabu na articles sio solution ,inahitaji Ku hustle sana kujua njia za kutoboa forex
Toboa izo njia mkuu.
 
Iwapo unatumia PC, weka hii indicator
View attachment 865871

1. Extract zip folder
2. Copy .ex4 file
3. Liweke hapa kwenye MT4: FILE > Open Data Folder > MQL4 > Indicator > Paste hapo, Restart Mt4 na angalia kwenye Navigator pannel utaweza kuiona hiyo ind, Then drag na iangushie kweny chart yako.

BTW - GBPUSD - H4
- Tayari imepoteza momentum, Buyers ni wachche sana.
- Soon later SELLERS will take over

Kila lakheri Ndugu katika FX
matumizi yake mkuu, kwenye trading chart
 
Jmani msaada wenu!! nimefungua demo account nilikuwa natrade vizuri tu lakini kuanzia jana nikitaka kuclose na kuopen trade inagoma pia hata chart haionyeshe price movement kuwa wanaocontrol market ni seller au buyer? nashindwa kujua nifanyeje
 
Fungua demo account kwa broker mwingine. Sababu BAADHI ya broker hutoa muda wa mwezi mmoja kutumia demo kwenye servers zao.
 
Kaka nimekumbuka Leo si market imefungwa that's why siwez kuopen trade mpya na kuclose existing trade ilitakiwa niclose Jana au hi principal kwenye demo account haipo??
 
Upo sahihi. Sasa nimekuelewa vyema
Subiri market ifunguliwe.
 
Kutoboa forex kuna siri nzito unatakiwa ujue, na traders wengi waliofanikiwa uwa hawatoi kizembe zembe ,mfano kuna uhuni mkubwa sana unafanywa na meta trader app kusoma sana mavitabu na articles sio solution ,inahitaji Ku hustle sana kujua njia za kutoboa forex
Mkuu weka hapa tufaidike wote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom