Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Inatajirishaje?jamani
Kwanza inakutaka utulie na usome kwa walau miezi 5, then utumie demo/cent kwa kama miezi tatu, hapo ndo unaweza trade na real money.

Hakuna shorticuts, ukitaka uende fasta katika kujifunza, itabidi utafte watu watakao kufundisha, ambao nao itabidi uwalipe kwa time wanayoitumia kukufundisha.

Kama waona miezi kama 9 hv ya kujiandaa ni mingi, inabd uache, ucheck mambo mengine...

Kumbuka, hata baada ya hyo miezi 9 bado unaweza pata hasara ucjue ni nini kimetokea!

Kumbuka pia, haipo mahali ambapo utatajirika ndani ya siku 5 au 10, itakuchukua muda mrefu sana kuweza kuwa na uwezo wa kutrade bila hasara...

Wataka kusoma? Mcheck Mwl RCT humu humu...
 
Forex ni real lakini wanaoizunguka wengi ni matapeli.....kuna jamaa wa South Africa (Andile)nilimpa ai manage akaunti yangu ya USD 1000....kwanza akaipandisha hadi USD 1500 , then USD 1700, nikawa naona mambo si ndiyo haya,nikaingiwa na tamaa...nikasema (nitatoa (USD 1000) ikifika USD 2000....baada ya muda kidogo kuchungulia naona imefika USD 1200,900,700,400....nikamuuliza vipi mbona hivyo,akasema nisiwe na wasiwasi ..baadaye USD 150....ikagonga zero...jamaa akapotea kimya....lakini nikimwangalia kwenye Instagram anajisifu kutenegeneza mahela sana through Forex.....na kila siku anaendesha semina/madarasa kwa malipo si ya kitoto na anasema utajiri wake ni kutokana na kufanya forex...bado najiiuliza bila majibu....
Pia kuna mwingine mkenya naye nikampa akaunti yangu ya kuimanage....nikadeposit USD 2000 tukakubaliana tunagawana 50% each na kwamba ni mkataba endelevu.....in four days akatengeza faida ya USD 4000 (ofcourse mara ya kwanza ilikuwa faida USD 1500 na mara ya pili USD 2500) kila niki withdraw namtumia 50% yake.....nikasema haya ndiyo mambo ya Forex si mchezo.....hapo ikawa imebaki ile USD 2000 ya mtaji .....duh wiki ya pili ikaporomoka yote ikabaki USD 8....macho yakanitoka...na akapotea pia....ofcourse huyu alirudisha hela yangu lakini yeye atakuwa amepata zaidi yangu nahisi ule mtaji ameelewana na broker au kitu kama hicho.....kwa hiyo hawa wote wanatabia zinazofanana kiaina fulani...na mimi niliwatumia wao sababu nilikuwa nimesoma Forex lakini nilikuwa bado kabisa kutrade live account na kuna vijihela vilinitembelea....
 
We ni mwanaume acha mambo ya kike...
Kama jambo limekushinda vunga acha wanaoliweza wakomae....si kila unachokiona ni sahihi kwa kila mtu..
hata shuleni si kila mtu aliweza kufaulu Physics...so kama ulifeli somo fulani usitake kuiaminisha dunia kuwa hilo somo halifai....hapo jua kichwa chako ni nazi ndiyo maana ukashindwa...ndivyo ilivyo forex, ikikusginda kaa kimya kuna wenzako wanadownload pesa..

Watu mnakuwa wachungu. Utazani nini sijui.

Hoja haijibiwi kwa hoja ila kwa matusi kejeli Na nk. Ukiona hivyo kuna walakini. Si bure.

Nilikuwa najaribu tu kutahadharisha juu ya hili liscam business. Eti true ECN broker kianzio $1000

Time will tell
 
It's time wanaokuja na kuipondea forex, au wanaofanya forex, iwe ni kuwakaushia tu.. Forex inatupa stress za kutosha, achana na hao wanaotaka kutuongezea stress.

Bahati mbaya au nzuri, tunajua tunachopata na/au tunacholoose... It's my money I use it the way I want...

Kama nkiamua kuichezea kamari humu nkapigwa, ni pesa yangu, its like wao, mbona wakienda bar wakanunua bia hata kreti, kwa pesa zao hatuwafuatilii...

They just have to think kwamba, badala ya bia au beach, tumechagua MT4.

Kila mtu afanye analoona ni sahihi kwake... Asiwepo wa kumfuatilia, au kumteka[emoji1][emoji1], mwenzake.

Keep Calm and Analyse Your Charts.

We don't have to insult them to let them know what's going on. Just let them be. Maybe one day they'll know what's going on....

Uzuri WA jf Haya Maneno yatakuwepo hapa miaka 10 ijayo. Idumu jf
 
Kama forex ingekuwa inalipa kiasi hiki mnachokesha mnatuambia masikioni kwetu why nyie mnaojiita maguru na mapro kwenye FOREX kila siku mnaanzisha magroup ya kutoza watu pesa?
Mara group ya signals
Mara sijui vitabu kila kukicha
Tumestuka now nyie ni wapigaji kama wapigaji wengine

Ndo utashangaa mkuu. Badala ya kusoma machart Na kutrade inakuwa full kufungua magrupu? Wao kutrade hakulipi? Inalipa kuuza signal Na kufungua magrupu?

Binafsi kitambo nimeifanyia extensive research hii business, kwa kadri nilivyoweza. Ni utapeli kwa kwenda mbele, kuanzia Na huyo XM wao.
Biashara yenyew ni halali lakin imejngiliwa Na matapeli Na huna pa kuwashtaki wengi wao , ukiachilia mbali wachache kama kina lcg etc waliosajiliwa Barbara kutoka baadhi ya nchi ziitwazo zenye Strong financial regulations. Na wao pia kama kina oanda wamejaa rafu vilevile Na wamewah shtakiwa.

Ukitaka kufuatilia zaid nenda Google online forex scam. Halafu fuatilia. Kuna habari kedekede za mabroker na michezo yao ya kuunguza akaunti za watu. Habari zinaweza kuwa zinafutwa pia.

Kimsingi mabroker wamefungua hiyo shughuli ili wapate hela. Ikila kwako ndo faida kwao. Take care
 
Maneno hayavunji mfupa.I'm beginner and I will never go back
"Forex is not for everyone"
 
Ndo utashangaa mkuu. Badala ya kusoma machart Na kutrade inakuwa full kufungua magrupu? Wao kutrade hakulipi? Inalipa kuuza signal Na kufungua magrupu?

Binafsi kitambo nimeifanyia extensive research hii business, kwa kadri nilivyoweza. Ni utapeli kwa kwenda mbele, kuanzia Na huyo XM wao.
Biashara yenyew ni halali lakin imejngiliwa Na matapeli Na huna pa kuwashtaki wengi wao , ukiachilia mbali wachache kama kina lcg etc waliosajiliwa Barbara kutoka baadhi ya nchi ziitwazo zenye Strong financial regulations. Na wao pia kama kina oanda wamejaa rafu vilevile Na wamewah shtakiwa.

Ukitaka kufuatilia zaid nenda Google online forex scam. Halafu fuatilia. Kuna habari kedekede za mabroker na michezo yao ya kuunguza akaunti za watu. Habari zinaweza kuwa zinafutwa pia.

Kimsingi mabroker wamefungua hiyo shughuli ili wapate hela. Ikila kwako ndo faida kwao. Take care
Yote unayosema kuhusu mabroker ni kweli, lakini ukumbuke, hata wanaouza maduka hufunga kwa sbb ya kupata hasara, hata mkulima anaweza kulima na kupanda, lakini mvua isinyeshe...

Trust me, HAKUNA biashara yoyote isiyo na Risk. Kitu cha msingi ni kutambua risk iliyopo na kujaribu kuiminimize.

Ishu ya kuunguza akaunt, trust me, co ishu ya broker, ni ishu ya trader, ni vile hatutaki kuwa ACCOUNTABLE kwa makosa yetu, twamsingizia broker, in turn, tunaendelea kufanya makosa yaleyale, na akaunt zinaendelea kuungua...

Mambo haya ya accountability hautayajua, kama haujasoma vitabu vya Trading Psychology, na kwa bahati mbaya, wengi huwa hatuvisomi kabisa.
 
Kitanzania kila jambo ni utapeli no wonder hatuendelei..only few with positive mind will prosper
 
Kama forex ingekuwa inalipa kiasi hiki mnachokesha mnatuambia masikioni kwetu why nyie mnaojiita maguru na mapro kwenye FOREX kila siku mnaanzisha magroup ya kutoza watu pesa?
Mara group ya signals
Mara sijui vitabu kila kukicha
Tumestuka now nyie ni wapigaji kama wapigaji wengine
Ukinitajia watu watatu WALIOKULAZIMISHA utoe pesa ili wakuweke kwa group lao la signal ntakubaliana nawe kwamba kuna watu "WANA MPANGO" na pesa yako...

La ukishindwa, itabidi uwe unajipanga kabla ya kutoa accusations zisizo na ukweli wowote...
 
Inakuwaje hii mbona kuna tofauti kati ya mabroker wawili, maelezo kidogo wakubwa.
FB_IMG_15404530582947347.jpg
FB_IMG_15404530460822504.jpg
 
Yote unayosema kuhusu mabroker ni kweli, lakini ukumbuke, hata wanaouza maduka hufunga kwa sbb ya kupata hasara, hata mkulima anaweza kulima na kupanda, lakini mvua isinyeshe...

Trust me, HAKUNA biashara yoyote isiyo na Risk. Kitu cha msingi ni kutambua risk iliyopo na kujaribu kuiminimize.

Ishu ya kuunguza akaunt, trust me, co ishu ya broker, ni ishu ya trader, ni vile hatutaki kuwa ACCOUNTABLE kwa makosa yetu, twamsingizia broker, in turn, tunaendelea kufanya makosa yaleyale, na akaunt zinaendelea kuungua...

Mambo haya ya accountability hautayajua, kama haujasoma vitabu vya Trading Psychology, na kwa bahati mbaya, wengi huwa hatuvisomi kabisa.
Msingi wa forex trading ni trading psychology kuanzia ulipojua hii fursa na unavyotrade. Kila kitu tunachokifanya kwenye forex trading kuna saikolojia iliyopo nyuma yake. Sasa kama saikolojia yako kuhusu hili soko haijakaa vizuri (emotions- fear, greed, overconfidence) utapata tabu sana. Trader wote wanaoshindwa kutoboa katika hili soko asilimia kubwa ni kwa sababu ya poor psychology tangu walioiifahamu hili soko.
 
WHY NOT USE - THE CENT?

Kwa ambao tumeweka real money on the line, nina uhakika tunajua zile feelings inapotokea tunakatazama ka akaunt ketu ndo kanaelekea kuungua... Wahuni wanasemaga "BADAMU BANAMWAGIKA"...

Kuna kila hisia unazipata... Unatamani uvunje simu, uzime data, urudishe muda nyuma hafu usifungue hzo position, unatamani broker akuonee huruma, mana kamtaji ulikopa... And on extreme situations, unatamani uikamate candle uishushe, kama ulisell, au uipandishe kama ulibuy....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Trust me, you are not alone. Hisia kama hz kila mtu anazipata, na zinakuwa mbaya zaidi kama hatuna uelewa hata kidogo wa trading psychology...

Lakini, unaweza kujiandaa, kuzishinda hisia hz kama tu utajiandaa mapema, kabla ya kuanza kutrade na real account.

Brokers waliweka demo accounts ili watu wajifunzie kutrade, lakini it doesnt make sense kutumia demo kwa muda mrefu then kwenda direct kwa real akaunt, why?

Katika market kuna watabe wanaitwa Market Makers, hawa wapo ili ukiloose wapige hela(huu ndo ukweli mchungu), lakini, what if ukaloose $20000 kwa demo? Wanapata sh ngapi? Hawapati hata shilingi. Ila ukiloose $2 kwa real wanapata $2, na kama kuna traders 100 walioloose $2 ..... You do the maths...

Hii ndiyo inayotupa ugumu unapotumia demo na kuhamia real, mazingira yanabadilika kabisa... Kuna kutanua spreads, kuna fakeouts, kuna wicks kwa Stop hunt na mengine mengi "mazuri"[emoji1] ambayo huyapati kwa demo...

Njia pekee ya kucheza na mazingira ya real account, pasipo kurisk kiasi kikubwa cha pesa ni kutumia cent accounts...

Hizi ni akaunt zinazotumia real money na hawa jamaa wanachezaga nazo kama kawaida.

Kuna broker wengi wanao offer cent accounts, ninaowafahamu ni FBS - FBS - online broker on the Forex market na Templer - https://templerfx.com

Kwa templer ( https://templerfx.com) deposit ya 1$ inasoma 100 kwa akaunt ya MT4 na $1 ni 2295 tu.

Kama wewe ni Newbie kabisa, badala ya kuanza na demo, anza na cent account... Ili uweze kuzizoea emotions utakazokutana nazo wakati utakapoenda real standard account, kwa sababu humo utatia mpunga na ukakosea analysis, utaona kabisa kabuku tatu kanavyoteketea...

Usisahau, kusoma Trading Psychology Books...

All the best!View attachment Why Emotions.pdf
 
All the best!View attachment 910758
ushauri mzuri sana mkuu, hasa linapokuja suala la trading psychology!
 
Hello , I'am Chris i'am the writer of the candlestick trading bible ebook , i sent you a message to remove , but it is still here .i don't want to report it to google because you have google ads on your forum. so please you don't have a right to give it away. and please remove it .Thank you
icho kitabu kipo kwa free telegram nimesoma hakina jipya mule ila ye anakiuza 45$
 
Yaani kuna watu wengine kama wewe mmejaa u-k kichwani mpaka mnatia kichefuchefu. Kama wewe haya mambo hayapandi au imani yako haikuruhusu kaa pembeni na utulie usitake kujifanya much know kuliko hata watu usiowajua. Kama kweli una uchungu na hela za watz zinazopotea kila siku nenda kaishauri serikali ifungie tatu mzuka, biko, sportpesa na wengine kama hao maana huko ndiyo mamilioni ka siyo mabilion ya hela za walalahoi wengi zinapotelea. Hiyo michezo ni PURE GAMBLING (hakuna cha indicator wala nini labda kidogo sport betting angalau unaweza kufanya ka analysis za team). Kama kampuni moja kwa 7 days inaweza kutengeneza kuanzia 500M mpaka 1B tzs au hata zaidi na washindi wachache tu (max 5) kwa kila kampuni kwa pamoja wanapata 50,0000 au chini ya hapo ni nani amepoteza hela nyingi kama siyo walalahoi, mimi siamini kwamba kwenye forex hapa tz retail traders wanaweza kupoteza kiasi kama hicho kwa wiki moja tu, (That is ridiculous!).
that true retail trader wa tz hatupotezi kiasi kikubwa hivo cha hela maana deposit zetu maximum 1500usd hand earn money rest tunazopoteza ni zile tunazotoa ktk makert na kuzirudisha umoumo watasikia mtu kachoma 5000usd wakazani ndo alizodiposit no asilimia kubwa ni za market yake unaweza kuta ni 250usd tu ktk izo 5000usd
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom