Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Hii biashara aitabiki hata kidogo. Ni mwendo wa -$ tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mambo ya kununua signal boss just develop your skills, kama una shida na signal watu wapo wanaotoa za bure unaweza kutumia hizo wakati unaendelea kujinoaTraders nauliza hawa mentors wanaotoa signals mfano dola 100 kwa afu wanakwambia more than 300 pips.. Uwa zinalipa kweli kwamba after 1 month una faida yako nzuri? Au chenga tu
Binafsi sishauri kununua signal, kitu ambacho walau nami nakifanya ni investment, yaani unapata mtu anakufanyia account management, wakati wewe ukiendelea kujinoa taratibu...Traders nauliza hawa mentors wanaotoa signals mfano dola 100 kwa afu wanakwambia more than 300 pips.. Uwa zinalipa kweli kwamba after 1 month una faida yako nzuri? Au chenga tu
We jamaa ulipoteleaga wapiAchana na mambo ya kununua signal boss just develop your skills, kama una shida na signal watu wapo wanaotoa za bure unaweza kutumia hizo wakati unaendelea kujinoa
Nipo mkuu sema nilikuwa tu sina bando ndio maana hukuwa unanionaWe jamaa ulipoteleaga wapi
Nilikuona haupoNipo mkuu sema nilikuwa tu sina bando ndio maana hukuwa unaniona
Haha asante mentaNilikuona haupo
[emoji1][emoji1]
Karibu tena boss...
Umenirudisha nyuma thrii yiaz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu cha kwanza ni ELIMU, ELIMU, ELIMU kuhusu forex:
Ndipo maswala mengine yanafuata.
Broo forex uki imaster ni tamu sana, usikate tamaa mapema na usiwe na tamaa ya kupata fedha haraka. Usione fulani anapiga hela nzuri kwenye fx na wewe ukadhani kwamba utapiga hivyo hivyo fasta bila kupiga msuli wa kutosha. Ugumu wa jambo upo kichwani na wala si kwenye jambo lenyewe. It is more psychological. Kama saikolojia yako inaona fx ni ngumu na kweli itakuwa ngumu hasa lakini kama utaiona kwamba fx inawezekena kuisoma na kupiga profit za ajabu ajabu pia inawezekana.hii biashara ngumu sanaa
😀😁 sawa mkuuBinafsi sishauri kununua signal, kitu ambacho walau nami nakifanya ni investment, yaani unapata mtu anakufanyia account management, wakati wewe ukiendelea kujinoa taratibu...
Signals hazitokupa muda wa kujifunza,
Account Management itakuwa inakupa pesa ya kufund akaunt yako kila ukiilipua![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu ni A na BMwenye uelewa na haya maswala ya Forex, unakaribishwa kuchangia tafadhali. [emoji4]
[emoji1] [emoji1] shukrani mkuu kwa ushauri wako piaNi njia sahihi lakini sio kwa kila kijana ukumbuke kuwa hakuna kazi ambayo Kila mtu ataweza kuifanya ata kama anaipenda kiwango gani.
Forex inahitaji knowledge na mtaji pia ina hasara kubwa kuliko biashara yeyote ile na faida yake pia ni kubwa utamu wa forex pesa zake ni tamu kama za kuokota vile tatizo ni namna ya kufikia hizo levo za kufaidika nayo kama hauko tayari kupoteza pesa usifanye biashara ya forex utalia na kusaga meno.
wenye mawazo ya utajiri wa usiku mmoja nenda shambani ukalime huu ndio ushauri wangu kwa newbies.