MBAPPE
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 303
- 344
upo nje ya topic zungumzia ujumbe jamaa alioleta sio porojo za marekani wanakaa akina naniKwa nini ulisema “So kitu kama mzungu haijui doesn't means hakiexist.”???
Mzungu ndo standard of proof au??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo nje ya topic zungumzia ujumbe jamaa alioleta sio porojo za marekani wanakaa akina naniKwa nini ulisema “So kitu kama mzungu haijui doesn't means hakiexist.”???
Mzungu ndo standard of proof au??
upo nje ya topic zungumzia ujumbe jamaa alioleta sio porojo za marekani wanakaa akina nani
KUWAITI DINARMkuu hii KWD ni sarafu ya nchi gani? Tujuze mkuu.
Kweli kabisa. Tatizo ni kwamba watu wanawaongepea watu wanaotaka kuingia kwenye Forex kuwa ni kuvuna hela , Si kweli hata kidogo. Kama huna uvumilivu na kujifunza Forex haikufai. Ni bora ufanye mambo mengine. Kuna muda soko linakuwa hovyo. Kama mwezi uliopita issue ya Brexit imechafua sana hali ya GBP. So kama unakuwa sio mvumilivu na kuelewa tabia za soko lazima uumie.Forex haters taratiiiibu wanaanza kukubali uhalisia .
Kwamba walichokiamini awali sio chenyewe .
Forex sio easy wazee nasema tena sio easy hakuna easy money huku aisee .
Yataka moyo kuipata hela hela huku
Kama huna skillz ,patience and commitment kaa huko huko usije jaribu ukaja kuichafua .
"Forex is not for everyone ASAP"
IT TAKES TIME TO MAKE MONEY CONSISTENT PROFIT IN FOREX
"BE AWARE FOREX IS A HIGHLY RISK BUSINESS"
SWALI LA KUJIULIZA"JE,wewe ni Risk Taker"
Hiyo hela achana nayo MzeeMkuu hii KWD ni sarafu ya nchi gani? Tujuze mkuu.
Ili ujue Americans wengi wanafanya Forex nakuomba uwe unatazama TV channel ya Bloomberg. Huko ni Forex , indices, shares, commodities, stocks 24/7 in 364.Okay, sawa.
Sio wote, Baadhiwote
Je ni broker yupi unapendekeza mwenye hii KWD kama Account currency?Ni Pesa ya Kuwait Mkuu.
Fungua account ya KWD uone baada ya mwezi
Kwa kumtumia vyema google hakika utaweza jua kila kitu unachotaka kujua, JaribuKuna watu wanajidai kila kitu wanajua😂😂😂
Fanya hii tafakariAdvantage zake ni zipi?
Huu mfano naona haujakaa sawa... let say mmoja ana 100KWD na mwingine ana 100USD.... Mkabuy EURUSD inaenda 200pips... tofauti ya profit itakuwaje hapa???Fanya hii tafakari
- [a] Mwenye US $1 na
- Mwenye KWD 1
Wote wabadili zije kwenye TZS je yupi atakuwa na fedha nyingi kati ya hao A na B
Hakuna tofauti , Iko sawa sababu ya PIP value ya EURUSDtofauti ya profit itakuwaje hapa???
Kuna broker anaitwa exness ndio broker aneongoza kuwa na currency nyingi zaidi. Mcheki huyo mtuJe ni broker yupi unapendekeza mwenye hii KWD kama Account currency?
Kama hakuna utofauti kwenye kumake profit sioni kama inamatter sana unless kama currency moja inaporomoka value with respect to other currencyHakuna tofauti , Iko sawa sababu ya PIP value ya EURUSD
Tofauti iko kwenye ku_withraw profit
- Chukulia wote mnatoa faida ya 100
Mwenye USD 100 - Atapokea fedha ya TZS isiyozidi TZS 240,000
Wakati yule wa KWD atapokea fedha katika TZS mara tatu ya yule wa USD, Sababu 1kwd = 3 usd , Hii ndio faida pekee
never ever...Kwa kumtumia vyema google hakika utaweza jua kila kitu unachotaka kujua, Jaribu
Acha ubishi wewe..Kama hakuna utofauti kwenye kumake profit sioni kama inamatter sana unless kama currency moja inaporomoka value with respect to other currency
Pia kuna ishu ya makato kwenye exchange..
Hapo simply ni kwamba mfano watu wawili mnaaccount kwa broker mmoja mwingine account ya £ na mwingine ya $... kama mnatrade gbpusd lazima kuwe na slightly different in profit when in comes to exchange