Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwa nini ulisema “So kitu kama mzungu haijui doesn't means hakiexist.”???

Mzungu ndo standard of proof au??
upo nje ya topic zungumzia ujumbe jamaa alioleta sio porojo za marekani wanakaa akina nani
 
Forex haters taratiiiibu wanaanza kukubali uhalisia .

Kwamba walichokiamini awali sio chenyewe .

Forex sio easy wazee nasema tena sio easy hakuna easy money huku aisee .

Yataka moyo kuipata hela hela huku

Kama huna skillz ,patience and commitment kaa huko huko usije jaribu ukaja kuichafua .

"Forex is not for everyone ASAP"

IT TAKES TIME TO MAKE MONEY CONSISTENT PROFIT IN FOREX

"BE AWARE FOREX IS A HIGHLY RISK BUSINESS"

SWALI LA KUJIULIZA"JE,wewe ni Risk Taker"
 
Kweli kabisa. Tatizo ni kwamba watu wanawaongepea watu wanaotaka kuingia kwenye Forex kuwa ni kuvuna hela , Si kweli hata kidogo. Kama huna uvumilivu na kujifunza Forex haikufai. Ni bora ufanye mambo mengine. Kuna muda soko linakuwa hovyo. Kama mwezi uliopita issue ya Brexit imechafua sana hali ya GBP. So kama unakuwa sio mvumilivu na kuelewa tabia za soko lazima uumie.

Kama ilivyo si wote tunaweza kuwa wakulima, wavuvi, wauza nguo, madereva n.k basi pia Forex kama biashara nyingine haiwezi Fanya na kila MTU. Tatizo ni pale watu wanaambiwa kila mtu anadhani anaweza fanya forex.Inawezekana kila MTU akafanya ila yabidi ujitahidi uwe sehemu ya hao.

Changamoto kubwa tuliyonayo watanzania ni kutokutafuta habari au taarifa. Tunapenda Gossips kuliko taarifa za kweli. Asilimia zaidi ya 70 ya taarifa za Forex ni gossips kuliko uhalisia. Watu hawasomi vitabu vya Forex ila wabaambiwa watadownload mamilion na wanakulubali. Hakuna kitabu cha Forex nimesoma kinasema Forex ni kupakua Pesa kirahisi lakini hapa nyumbani watu wanalishwa matango. Hii yote ni kwasababu hatutafuti maarifa virabuni. Kuna maelfu ya vitabu vya Forex mitandaoni tusomeni tuingie katika biashara with our own interpersonal decisions.

Big and well trusted Forex brokerage firm kabla ya kujiunga huwa wanakupa WARNING kuwa Forex ni risk na kutokana na high volatility yake unaweza kupoteza mamilion ya hela kama huna Good Risk Management , Lakini yote haya newbie wa Tanzania haambiwi mwisho wa siku anazama kichwa kichwa na hela ya ada anapigwa anasema Forex ni kama tatu mzuka au kubeti.

TUTAFUTE MAARIFA. Learn More Than You Trade.
 
Okay, sawa.
Ili ujue Americans wengi wanafanya Forex nakuomba uwe unatazama TV channel ya Bloomberg. Huko ni Forex , indices, shares, commodities, stocks 24/7 in 364.

Nakuomba tu uitafute hiyo channel sitaki kuongea mengi. Kwa wenye Dstv ni Chanel namba 411.
 
1544366861747.png

Ungana nami kwenye hii channel ili tuukamilishe mwaka vizuri, Link: DayTradersTZ [ Fungua hii link baada ya ku_install Telegram kwenye simu yako/ PC]
 
Mnaopendekeza KWD tradig account over USD account. Advantage zake ni zipi?
 
Fanya hii tafakari
- [a] Mwenye US $1 na
- Mwenye KWD 1

Wote wabadili zije kwenye TZS je yupi atakuwa na fedha nyingi kati ya hao A na B
Huu mfano naona haujakaa sawa... let say mmoja ana 100KWD na mwingine ana 100USD.... Mkabuy EURUSD inaenda 200pips... tofauti ya profit itakuwaje hapa???
 
tofauti ya profit itakuwaje hapa???
Hakuna tofauti , Iko sawa sababu ya PIP value ya EURUSD

Tofauti iko kwenye ku_withraw profit
- Chukulia wote mnatoa faida ya 100
Mwenye USD 100 - Atapokea fedha ya TZS isiyozidi TZS 240,000
Wakati yule wa KWD atapokea fedha katika TZS mara tatu ya yule wa USD, Sababu 1kwd = 3 usd , Hii ndio faida pekee
 
Kama hakuna utofauti kwenye kumake profit sioni kama inamatter sana unless kama currency moja inaporomoka value with respect to other currency

Pia kuna ishu ya makato kwenye exchange..

Hapo simply ni kwamba mfano watu wawili mnaaccount kwa broker mmoja mwingine account ya £ na mwingine ya $... kama mnatrade gbpusd lazima kuwe na slightly different in profit when in comes to exchange
 
Acha ubishi wewe..

Dola 1= Tsh 2300
1KWD = Tsh 7000

Kama mpaka hapo hujaona tofauti sina lingine la kusema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom