anderson mbonika
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 112
- 56
Sasa ndug me niko mwanza ndo maana ninesema kwa aliyeoko mwanza.Unaposema awe Mwanza utakwama jamaa yangu. Maendeleo hayana ukanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndug me niko mwanza ndo maana ninesema kwa aliyeoko mwanza.Unaposema awe Mwanza utakwama jamaa yangu. Maendeleo hayana ukanda.
Mkuu siyo lazima kuonana physical na huyo mkufunzi unayemtaka, jaribu kujoin magroup ya telegram upate hata basic ya forexSasa ndug me niko mwanza ndo maana ninesema kwa aliyeoko mwanza.
Hayupo humu bossNimekuwa interested sana na hii kitu na ningependa kujifunza zaidi
Nashkru sna mr kwa kunishauri wazo jemaMkuu siyo lazima kuonana physical na huyo mkufunzi unayemtaka, jaribu kujoin magroup ya telegram upate hata basic ya forex
Umeezaje kupata demo yenye balance kama hiyo ?? maana me naona ni kuanzia 3000$[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]View attachment 972435
Pengine aliamua kuipunguza ili iendane na uhalisia ambao yeye anaweza kufund real (Ni mtazamo tu lakini)Umeezaje kupata demo yenye balance kama hiyo ?? maana me naona ni kuanzia 3000$
Templer unachagua kiasi unachotaka hata 1$Umeezaje kupata demo yenye balance kama hiyo ?? maana me naona ni kuanzia 3000$
Wewe unamtumia Nani mkuu?Broker mbovu huyo, nyie angalieni urahisi wa deposit tu ila huyu jamaa hafai hata 10% kwa upande wangu
Fungulia kwa broker unaemtumia mfano kama Templar au broker yyte yule ww ndo unaeamua kiwango unachokitaka kweny demo unayoitakaUmeezaje kupata demo yenye balance kama hiyo ?? maana me naona ni kuanzia 3000$
Anapiga kimya kimya kaona waTz wanafik sana mnang'ata na kupulizahvi ontario mwenyewe yupo bado kwenye hizi shughuli?
kama kuna ambae hana akaunti ya forex na hajui aanzie wapi au hana kitambulisho cha kumuwezesha kufungua akaunt njoo private nikupe deal
Anapiga kimya kimya wapi wakati ametafuta wasauzi wengine wanafanya mentorship sema bongo sasa hivi mtu akishajua kuchora trendline tayari keshakuwa mentor kwa hiyo kafunikwaAnapiga kimya kimya kaona waTz wanafik sana mnang'ata na kupuliza
Hahaha a hahhhaaaa. Kweli bhn kila mtu ni pro ckuiz hahaAnapiga kimya kimya wapi wakati ametafuta wasauzi wengine wanafanya mentorship sema bongo sasa hivi mtu akishajua kuchora trendline tayari keshakuwa mentor kwa hiyo kafunikwa
Hahaha a hahhhaaaa. Kweli bhn kila mtu ni pro ckuiz hahaAnapiga kimya kimya wapi wakati ametafuta wasauzi wengine wanafanya mentorship sema bongo sasa hivi mtu akishajua kuchora trendline tayari keshakuwa mentor kwa hiyo kafunikwa
Ashukuriwe Ontario kwa kutuonesha fursaAnapiga kimya kimya kaona waTz wanafik sana mnang'ata na kupuliza