Wasalam ladies and Gents!
.
Just a bit background of me, my name is
Musa Ndambo.
.
Kwanini nimeamua kuanzisha Thread hii?
.
Ninaamini katika kushirikiana na wengine, kwa kidogo nitakachokuwa nikiandika hapa kinaweza kuwa chenye manufaa na kuleta mabadiliko angalau kwa mtu mmoja.
.
Hilo ndilo jambo la kutia faraja kubwa kwangu!!!
.
Pia, nimeamua kuanzisha uzi huu ili niweze kujiwabisha mwenyewe. Hali hii itapelekea ufanisi katika kutimiza malengo yangu ya kuwa Independent Forex Trader.
.
Hamasa ya kuanzisha uzi huu nimeitoa kwa wenzetu wanzungu, hapa niliangalia zaidi Forex Community za Ulaya.
Hizo ni baadhi tu ya Community za wenzetu, and of course they are doing great. Lakini waliwekeza jitihada kubwa kuweza kufikia walipo leo.
.
Nitakua nikiandika???
.
Sitakuwa specific sana katika hili, ila nitajaribu kufanya yafuatayo
- Kutuma Trading Analysis
- Kutuma matokeo ya Analysis za wiki
- Kupokea na kujibu baadhi ya maswali nitakayokuwa nikiulizwa
How I will structure this Thread?
.
Nitakuwa nikipost kila siku Trade nilizoingia, kwanini niliingia katika trade, pamoja na matokeo ya trade hizo.
Trading Pairs?
.
Nitatrade Pair yoyote ambayo imekidhi vigezo vya Strategy yangu.
Trading Time Frame???
.
I am not specific, japokuwa trade zangu nyingi zitakuwa executed katika 4H TF.
.
Trading Strategy????
.
Hahahah,
.
Should I really have to say it?
.
Ndiyo, Strategy yangu itakuwa based o market Patterns, Clean chat with Horizontal lines pamoja na Trendlines [I Trade Naked Charts].
.
Bila shaka mijadala katika uzi huu inatakuwa chanya, japo hatuwezi kuzuia wengine kuwa na mitazamo tufauti nasi.
P.S
Sijui kila kitu kuhusu Forex. Binafsi namfatilia sana
James Altucher, mwandishi wa the best selling book Choose Yourself. Kuna siku aliandika juu ya PLUS-EQUAL-MINUS theory.
.
Theory hii inaeleza safari ya kujifunza na kufikia katika kilele cha mafanikio, mwandishi anadai ili kuweza kufikia malengo ni lazima ujifunze kutoka kwa waliokuzidi [PLUS], as to myself najifunza kutoka kwa
Irek Piekarski. Ni lazima ushirikiane na watu wa daraja lako [EQUAL]. Lazima uhakikishe unamfundisha mwengine kile kidogo ulichojifunza kutoka kwa waliokuzidi [MINUS].
.
M.N.