FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Mkuu nikusaidie tu kidogo
Forex is owned by Over the Counter Financial Markets zilizo decentralised globally
Masoko yake yapo Sydney-Australia,London-Uingereza,Tokyo-Japan na New York Marekani na yanaweza kufikiwa na taasisi hadi individuals duniani kote kupitia mifumo iliyowekwa na internet connectivity

Jambo la msingi ambalo nadhani limekuchanganya ni jina.
Wateja wote wa kuuza ama kununua forex currencies hufanya hivyo kupitia kwa licenced & approved brokers kufanya kazi hiyo kwenye Financial Markets

Wengi majina yao yatahusisha neno Forex, Markets au abbreviations kama FX nk
Ni kama kama kampuni za uwakala wa forodha nchini nyingi zitakuwa na majina yanayofanana kama IMPEX,Import Export,Freight au Clearing & Forwarding

Na mteja yupo na hiari kutumia dalali yeyote kulifikia soko
Huyo FXFM uliyemtaja ni Broker pia wa Forex aliyepo London na nafikiri kuna hadi timu za EPL anafanya udhamini lakini sijawahi kusikia ana activities zozote Tanzania

Kwa unachokizungumzia Tanzania ni program iliyoletwa na kampuni ya kitanzania ya TMT ambayo inafanya shughuli zake kwa kujishirikisha na JPMarkets ambayo ni Broker company iliyopo South Africa

Zipo nyingi tu kama JP Morgans pia hivyo zisikuchanganye na majina yake

Nenda www.jpmarkets.co.za na ujiridhishe ama kuuliza maswali yako huko

Pia ukiwa na shaka na jambo ungefika hata ofisi za TMT Jangid Plaza Oysterbay ukapate maelezo zaidi

Kujianzishia thread yenye lengo kama la kupinga au kutahadharisha kabla hujawa na taarifa kamili si jambo jema kwani inaweza kuwafikia wavivu wa kufuatilia mambo wengine kama wewe na wakaishia kuamini taarifa potofu ulizowaletea.

Wazungj wanasema "No Research No Right to Speak"

Mwisho
Ni vema ukijiridhisha na taarifa au informations nilizokupa basi urudi tena kwenye thread yako uwaombe JF Mods wakufanyie Updates uelezee ulichojifunza kwa usahihi
Na pia ubadilishe na heading ya Thread yako

Wasalaam
 
Katika maelezo yangu mengi niliyoelezea faida nilizopata katika futures trading, kuna sehemu nimeelezea nilivyoanza kwa kula hasara na jinsi gani "strategic trading" ya ku hedge my trades ilivyonisaidia sio tu ku recover kutoka hasara niliyoanza nayo, bali pia nilivyo bounce back.

Nilianza na $1700, nika poteza initial trades ikashuka mpaka around $800, nikageuza gia angani na ku engage stop loss/ reverse some positions etc, in 2 weeks hiyo $800 ikaenda mpaka kufika just shy of $10,000.

Nikatoa hela kwa sababu nilifikia lengo langu.

Sasa narudia pattern ile ile.
 
Kwenye suala la pesa unaweza kucontrol zaidi ya hao 300
 
Wewe ni mjinga. Na hujui lolote kuhusu forex. Yaani hujui fxtm ni broker kama broker wengine alafu Unasema ni mmiliki wa forex??

Siku nyingine acha kukurupuka.
Mbona watu wa mlojiunga na Forex huwa mna majibu ya ovyo kiais hiki?
 
Toka nachangia sijamshambulia mtu, sasa tulinganishe wewe na mimi nani ana wivu, changia thread acha kushambulia mtu!
Kumbuka "Small Mind Talk About People and NOT Issues"!

Dude you must be hardwired for idiocy! Your brain has got no difference with what you daily take to toilet to get rid off.

Your empty skull hardly construed my response to you that's why you can't answer any of my questions instead you driveled back irrelevantly.

Sasa kati yangu mimi na wewe niliokuuliza maswali rahisi tu ukashindwa kujibu hata moja ni nani ambae ni SMALL MIND anaeonekana ni mpuuzi, mjinga na hana elimu!?

Ku discuss hii thread tu tayari umesha discuss mtu halafu unajisemelesha eti " small minds talk about people" sasa wanaofanya hiyo forex trade ni akina nani kama sio hao people mnao washwa washwa kuwajadili humu?

Unaniambia nichangie thread kivipi!? Kwanini kukujibu wewe sijachangia!?

Nikwambia wewe hapo ulipo hujijui kama ni chizi ntakuwa nimekosea?
 
Nchi hii INA wachawi wengi sana ndio maana hatuwezi kuendelea, nachelea kusema kuwa MTU masikini ndio kiumbe hatari zaidi duniani kama mleta mada
 
Don't argue with a ..... people might not know the difference! πŸ™πŸ˜±
 
Siwez kubishana na watu mlojaa hasira na ego kiasi hicho...kwaheri.
Unaenda kulala au unaenda kuchukua ungo na kaniki uanze kuruka angani uchawie watu, maana si kwa roho mbaya hiyo mliyonayo nyie anti-Forex
 
Naona watu wengine wanasema Kuna watu wanajiunga forex, hii sio forever living au Alliance in global. Hii ni biashara kama biashara nyingine ya kuuza na kununua.. Sasa ikitokea mtu unasema sijui mliojiunga na forex kauli za hivyo zinatia ukakasi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…