ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
we kama mimi
forex ni nzuri na mbaya na vyote vinategemea uelewa wa mhusika
itakuwa nzuri pale utakapo elewa na kama mambo yataenda upande wako......
itakuwa mbaya kama hujaelewa na mambo yasiwe upande wako...
usilazimishe watu waamini ni mbaya wakati hujawahi jaribu......
watu wanatofautiana akili, mfano mimi sijagusa forex hata kidogo maana sina muda wa kusoma[/QUO
we kama mimi aiseeeee naona uvivu sana kusoma hayo mavitabu yao kwanza sina muda kabisaaaa