Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,361
- 2,378
Mkuu nikusaidie tu kidogo
Forex is owned by Over the Counter Financial Markets zilizo decentralised globally
Masoko yake yapo Sydney-Australia,London-Uingereza,Tokyo-Japan na New York Marekani na yanaweza kufikiwa na taasisi hadi individuals duniani kote kupitia mifumo iliyowekwa na internet connectivity
Jambo la msingi ambalo nadhani limekuchanganya ni jina.
Wateja wote wa kuuza ama kununua forex currencies hufanya hivyo kupitia kwa licenced & approved brokers kufanya kazi hiyo kwenye Financial Markets
Wengi majina yao yatahusisha neno Forex, Markets au abbreviations kama FX nk
Ni kama kama kampuni za uwakala wa forodha nchini nyingi zitakuwa na majina yanayofanana kama IMPEX,Import Export,Freight au Clearing & Forwarding
Na mteja yupo na hiari kutumia dalali yeyote kulifikia soko
Huyo FXFM uliyemtaja ni Broker pia wa Forex aliyepo London na nafikiri kuna hadi timu za EPL anafanya udhamini lakini sijawahi kusikia ana activities zozote Tanzania
Kwa unachokizungumzia Tanzania ni program iliyoletwa na kampuni ya kitanzania ya TMT ambayo inafanya shughuli zake kwa kujishirikisha na JPMarkets ambayo ni Broker company iliyopo South Africa
Zipo nyingi tu kama JP Morgans pia hivyo zisikuchanganye na majina yake
Nenda www.jpmarkets.co.za na ujiridhishe ama kuuliza maswali yako huko
Pia ukiwa na shaka na jambo ungefika hata ofisi za TMT Jangid Plaza Oysterbay ukapate maelezo zaidi
Kujianzishia thread yenye lengo kama la kupinga au kutahadharisha kabla hujawa na taarifa kamili si jambo jema kwani inaweza kuwafikia wavivu wa kufuatilia mambo wengine kama wewe na wakaishia kuamini taarifa potofu ulizowaletea.
Wazungj wanasema "No Research No Right to Speak"
Mwisho
Ni vema ukijiridhisha na taarifa au informations nilizokupa basi urudi tena kwenye thread yako uwaombe JF Mods wakufanyie Updates uelezee ulichojifunza kwa usahihi
Na pia ubadilishe na heading ya Thread yako
Wasalaam