FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Watu hawachoki, wameliwa DECI, wameliwa D9 na wataendelea kuliwa tu.Ni muhimu kufahamu hakuna pesa rahisi rahisi hivyo.
Wanadai Nigeria kuna chuo kinafundisha "UTAPELI"! Maendeleo yaleta mengi...
FOREX Trading Platform Scam Ends In Guilty Plea via forbes FOREX Trading Platform Scam Ends In Guilty Plea
Beware the New Predators – A New Breed of Forex Con Artist is in town Beware the New Predators – A New Breed of Forex Con Artist is in town
Forex Pro's and Con's Forex Pro's and Con's
Top 5 Forex Risks Traders Should Consider Top 5 Forex Risks Traders Should Consider
Is Currency Trading Worth the Risk? Is Currency Trading Worth the Risk? via @WSJ
Risk and Reward Ratio of Currency Trading - Is Forex Trading Worth The Risk? Risk and Reward Ratio of Currency Trading - Is Forex Trading Worth The Risk? | HuffPost via @HuffPostBiz

Michael Bolduc has seen his account wiped out three times since he started trading currencies. Yet he still keeps returning to the high-risk, high-reward foreign-exchange market for more.

Many people call it gambling—and he agrees. Is Currency Trading Worth the Risk?
 
Lol..! Tanzania yangu. Ndio nishakuwa mtanzania. Sina jinsi. Nitaishi nao hivyo hivyo tu.
 
Kuna biashara ambayo haina hasara? na hiyo regulation unayoongelea ni ipi? je unajua bank nazo zina kitengo cha forex? je unajua pesa unayoiweka kwenye fixed account bank inaenda wapi?
Kwenye bank anayechezesha na manager, wahasibu ama ma taller? na fedha za walipa kodi zikiungulia huko kwenye taarifa za ukaguzi watasema zimekwenda wapi?
 
ONYO ipo kwenye form zake za kijiunga.. Kwenye darasa napo mnaambiwa na mnajengewa sykolojia ya endapo utapoteza pesa..

Any way unasubiri mawazo ya watu walio ferry kwa hii business? Mimi naam ni vigumu kukontrol mind za watu zaidi ya 300 tena kwenye suala la hela na uzuri ni kuwa wakienda huwa hawatumii ID zao za JF bali hutumia majina yao harisi hivyo ni rahisi sana mtu kama kapoteza hela nyingi kuja kuyamwaga hapa. Wanachokifanya TMT ni kuhakikisha haupati hasara muda wote unapotrade ndo maana wana mentorship ya throughout life
 
Ferry [emoji15] [emoji15]
Harisi[emoji15] [emoji15]
Endelea kudownload hela
 
1. Hawa waelimishaji wanapata faida gani je ni ada tu ya wanafunzi wanaohudharia semina?
Tundu lissu alinavyopigania haki za wanyonge anapata faida gani? magufuli anavyopigania madini anapata faida gani?

Sio kila mtu anataka faida ya pesa mkuu wengine kuona vijana wananufaika na kujikwamua kutoka kwenye umaskini ndio faida yao hiyo!!
2. Je! wanamahusiano na wamiliki wa hii forex ili jinsi wanavyoshawishi watu kujiunga ndivto wapate gawio?
Unaijua forex? ivi forex ina mmiliki kumbe??
3.Je! hao waalimu na wao ni wachezaji? na kama ni wachezaji na wanavyijinadi kuwa ni fedha za bure za " ku download" wamenufaika vipi wao?
Wachezaji wa nini mpira, muziki au nini?? forex sio mchezo useme wacheze, forex ni biashara kama biashara nyingine!!

Kwa kukujibu tu, hao jamaa ikiwemo ontario mwenye ni traders na sio wachezaji kama ulivyosema, so wanachotrade ndio wanawapa wanafunzi nao wana trade, incase waki poteza basi wanapoteza wote na wakipata basi wanapata wote!!

. Hao wanaoitwa ma " mentor" kutoka afrika ya kusini wana nafasi gani katika hii biashara?
Wao ni traders wakawaida tu a.k.a retail traders tofauti na mabenki au taasisi kubwa kama JP morgan, baclays na wengine kama hao!
5. Kama hii biashara ni sawa sawa na bureau de change ambayo huwezi kupoteza fedha yako yote mbona nawasikia wajamaa kuwa " wameunguza akaunti" hi si zaidi ya kamari?
Forex inafundishwa hadi vyuoni, na kama ulisoma au unasoma accountancy/economics au finance basi utakua umekutana nayo kwenye international finance! sasa je kuna chuo kikuu gani duniani kinachofundisha kamari??
 
Me naona kila mtu abaki na kile anachoona kitamtoa kimaisha , km ww ukiona kilimo haifai acha kufanya the same applies to forex, maisha ni uchaguzi watu wote hatuwezi tegemea upande mmoja, na kila mtu ana mbinu yake ya kupata pesa.
 
Very good response nahuzunika watu wanapopotosha vitu ambavyo ni simple kuelewa.

Kweku Adoboli - Wikipedia

Hii link huyu jamaa ni mghana ...ni forex trader. Alikuwa anafanya kazi kitengo cha forex kwenye hiyo bank tajwa. Though alifanya fraud na kuisababishia bank hasara kubwa sana.

But this should tell you kuwa hata banks zinafanya forex.
 
nafurahi kuwa mtanzania..but nauchukia utanzania..mleta mda una majungu
 
mnajifanya kuhamisha magoli. NARUDIA MNAJUA TOFAUTI YA FOREX(FOREIGN EXCHANGE) NA PYRAMIDS IN FOREX? Zipo forex halali na zinazojulikana. Hakuna upatu wa kugawana hela kupitia mafunzo.

Forex ya kweli sio MLM (Multi Level marketing), unanunua hela km bidhaa,na wanakupa trends za nchi bali mbali na taafira za habari zitakazokusaidia kujua thamani ya hela itakwenda vipi. Kwa hiyo unanunua hela na kuua wakati husika,au unanunua na kuuza kupitia km hela za nchi 3 hivi ili upate difference.

Ni km unavyonunua nyanya,na vitunguu ambavyo vinaweza kudodea sokoni. Kwa hiyo taarifa za habari na data nyingine zinaweza kuambia ununue hela gani na kiasi gani na uuze lini kabla tukio gani halijatokea. Km unavyouza nyanya za Morogogoro kabla ya za iringa kufunwa na kujaa sokoni. Ndio maana mitandao km bloomberg huwezi acha kuangalia km kweli unafanya forex.

Mkicheza mkifika ktk mkooa nina connection na fanya maarifa muwekwe ndani.Kisha uende mahakamani kwa gharama yangu na huko tutathibitisha nyie ni wahujumu uchumi tupu mnagawana hela za watz na wahuni wa kimataifa.kwa kuzibadilisha kuwa na dola na kuzitorosha kwenda nje kwa hawa wahuni. net effect kwa taifa ni tunapoteza.Km ilivyo net effect kwa familia mnapokuwa na mwizi km hawa.Km referal mnatoa 125,000 kwa kichwa mhuni wenu anapewa 20,000/ najisifu ni uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…