FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Offcourse angalizo linatakiwa kutolewa. Forex trading INA risk ya kupoteza tena sana tu. Ila kibiashara trainers nadhani wao hawatakuwa tayari kuweka warning especially katika haya mazingira ambayo nadhani hawako regulated na chombo chochote cha serikali kama vile BOT, capital market and securities authority au wizara ya viwanda na biashara.
I guess ( sina hakika) watakuwa wame register tu kampuni BRELA, leseni ya kawaida kutoka manispaa na TIN number then wanaingia sokoni kuanza Ku train watu.
Na mimi sitaki nijute mkuu! Bora nipeleke mboga za majani Kariakoo nikizitoa Dodoma/Ihumwa
endeleeni kuuza mboga wakuu,hii kitu waachieni vijana talented
 
Kichoongelewa humu ndani ni ONYO na REGULATIONS, basi, zaidi huwezi mpangia mtu atumiaje hela yake, iwe kama sigara, pombe na vingine vya hatari...
Kuna biashara ambayo haina hasara? na hiyo regulation unayoongelea ni ipi? je unajua bank nazo zina kitengo cha forex? je unajua pesa unayoiweka kwenye fixed account bank inaenda wapi?
 
Mkuu, umesema umepitia post nyingi za humu ndani unasema hujaona loss?! Kwanini usijiongeze ukaingia google halafu uje na mrejesho?! Forex haifanywi na Watu wa JF pekee.
 
Kuna biashara ambayo haina hasara? na hiyo regulation unayoongelea ni ipi? je unajua bank nazo zina kitengo cha forex? je unajua pesa unayoiweka kwenye fixed account bank inaenda wapi?
Naona unakimbilia kutaka kubishana kaka, siko tayari, nimesema langu, wewe nawe sema lako la either kuwa convince watu wajiunge au kuwapa tahadhari, hiyo juu yako..
 
Naona unakimbilia kutaka kubishana kaka, siko tayari, nimesema langu, wewe nawe sema lako la either kuwa convince watu wajiunge au kuwapa tahadhari, hiyo juu yako..
Siko hapa kwa ajili ya ko convise mtu mkuu, niko hapa kupinga huu upotoshwaji na ujinga ulioletwa hapa!!
 
Mimi nadhan ni ujinga tu umetawala akili zao!! yaani wanaumia sana kuona jamaa anatusua!! sijui watanzania nani katuloga!
Hata jamaa wa DECI walitusua kwa kuwapiga wengine.Hata matapeli wakifanikisha wanatusua. Akili kichwani.
 
prophet bushiri 98% ya utajiri kaupatia forex,nyie mnakaa kupiga majungu eti freemason..mtakufa masikini
Moja Ya Majina Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Katika Historia Ya Malawi Ni Nabii Wa Afrika Kusini Na Mjasiriamali, Aliyezaliwa Malawi Shepherd Bushiri Anamiliki Mali Zenye Makadirio Ya Shilingi Dola Milioni 200. Bushiri Na Mkewe, Mary, Wana Wafuasi Katika Mitandao Ya Kijamii Wanaofikia Zaidi Ya Milioni 2.5, Na Kuwafanya Kuwa Mojawapo Ya Wanandoa Wenye Ushawishi Mkubwa Zaidi Katika Bara. Pia Wana Kampuni Ya Madini, Kampuni Ya Mawasiliano Ya Simu Inayoitwa PSB, Na Kituo Cha Televisheni Kinachotangaza Kote Bara Na Pia Chuo Kikuu Cha SB, Ambacho Kina Matawi Yake Huko Sudan Kusini Na Kusini Mwa Afrika.
 
Mimi hapa mmoja wa waliofeli forex business... Ila sikomi... Nitarudi tena.
40b1e846796812c9813368a28dc724bf.jpg
 
Mimi kwa upande wangu nashukuru Mungu sikupata Elimu kubwa sana ya Darasani lakini huwezi leo hii ukaniongopea kuhusu dunia na mambo yake yanavyoenda. Kama nimeweza kulogin JF kwanini nishindwe kuusaka ukweli toka source mbalimbali?!! Wenzangu waliosoma course za biashara hii Forex washakutana nayo japo juu juu. Sasa ni juu binafsi kuamini, je tunafundishwa utapeli au kamari huko vyuoni?!

Kitu kingine narudia, kama hatuwaamini hawa wanaofanya Forex wa humu JF basi tujiongeze wenyewe kwenye google tutapata ukweli wote.
 
1. Hawa waelimishaji wanapata faida gani je ni ada tu ya wanafunzi wanaohudharia semina?

2. Je! wanamahusiano na wamiliki wa hii forex ili jinsi wanavyoshawishi watu kujiunga ndivto wapate gawio?

3.Je! hao waalimu na wao ni wachezaji? na kama ni wachezaji na wanavyijinadi kuwa ni fedha za bure za " ku download" wamenufaika vipi wao?

4. Hao wanaoitwa ma " mentor" kutoka afrika ya kusini wana nafasi gani katika hii biashara? je! ni watu ambao walianza long sasa wameshafaidika na wanataka kusaidia watu kupata fedha ama ni maafisa masoko wa kampuni?

5. Kama hii biashara ni sawa sawa na bureau de change ambayo huwezi kupoteza fedha yako yote mbona nawasikia wajamaa kuwa " wameunguza akaunti" hi si zaidi ya kamari?

6. CAVEAT EMPTUR
 
Back
Top Bottom