FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

View attachment 604927 View attachment 604924
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums

Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu🙂🙂, Najiuliza sana maana naona sample za kula tu watu wakivuta tu pesa, je kati ya watu 300 waliokula training na wanatrade hakuna aliyepoteza, Kuna post imeanzishwa ya ushuhuda wa mafanikio ya wiki chache tangu walipoanza kufundishwa forex na nimegundua shuhuda ni za wale waliopiga pesa tu, Je hakuna waliopunwa , kwanini zisiwekwe picha za ushuhuda kula hasara ili tujifunze kwamba forex sio kula tu.

- Kama wapo kwanini tusitumie mifano yao pia kama lessons ili tumfukuze pepo kuliwa katika injili hii ya Forex?☺
hawa waliofeli huwa wanachelewa sana kujitambua kwa vile wanakuwa wamefungwa sana akili na kukingwa wasisanuliwe kwa kuambiwa usiongee na negative people watakumaliza dreams zao.

Waache wabaki masikni hivyo hivyo.Km wafuasi wa ccm wanavyodanganya kuwa kuwa sana ccm,kujipendekeza sana wote kutwapa raia wote fursa. Km serikali imeshindwa tunza watu watu ikachagua wachache wa kudanganyia wengine,nchi nzima ikienda jipendekeza ikulu si itakuwa bora serikali ihudumie raia kwa taratibu kwa vile kujipendekeza kutakua na ushindani kuliko ajira halali.?

wacheza upatu wengi ni unreachable km wafuasi wa wasabato masalia, wafuasi wa alqaeda wanaonyimwa elimu ya dunia,kisha wanaaambiwa watu wengine wasio fikra zao wako wrong.Ni ngumu kujitokeza.wengine wanaambia wapambane hadi kieleweke.Wanapewa hesabu za kuchanganya ili wasijue wapi ipo shida kiahesabu.

Kama zile hesabu za muhongo za madini ili kumyimba mengi mlango wa kuingia ktk gas. Zilikuwa damna wrong ila wahuni walikuwa wakismhangilia hadi kufunika sauti nyingine.Na kusoma number bila kumpa mtu copy ningumu kukeep track.

Utaanza kuwasikia numbe inapofikia pagumu haua mtu mpya, na wanaoendesha upatu wakibanwa na fbi au nchi nyingine napo pakianza kufikia mwisho.Utaanza sikia kilio.hapo ujue ngoma imeshakata au ndio inakata.
 
Sirjeff ni kijana mdogo sana kiumri ukilinganisha na wanachama wengi wa jamii forumu hapa, lakini upeo,mafanikio na ushawishi alionao umemfanya kuwa na maadui wengi hapa jamvini tena wengi wao wakiwa na wazee.

Wazee hao wameshindwa kabisa kuficha chuki na wivu walionao kwa kijana huyu mdogo aliyewazidi vingi kiasi kwamba hawapati usingizi mpaka wanathubutu kufungua nyuzi kwa staili tofauti tofauti hili kupunguza frustrations zao.

Jf old men you may either join him in movement or keep hating and aging hopelessly.
 
View attachment 604927 View attachment 604924
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums

Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu🙂🙂, Najiuliza sana maana naona sample za kula tu watu wakivuta tu pesa, je kati ya watu 300 waliokula training na wanatrade hakuna aliyepoteza, Kuna post imeanzishwa ya ushuhuda wa mafanikio ya wiki chache tangu walipoanza kufundishwa forex na nimegundua shuhuda ni za wale waliopiga pesa tu, Je hakuna waliopunwa , kwanini zisiwekwe picha za ushuhuda kula hasara ili tujifunze kwamba forex sio kula tu.

- Kama wapo kwanini tusitumie mifano yao pia kama lessons ili tumfukuze pepo kuliwa katika injili hii ya Forex?[emoji5]

Kwa hiyo kumbe unafahamu kabisa kwenye forex kuna kupoteza isipokuwa tu shida yako ni kuona picha za watu waliokula hasara sio?

Sasa unataka ujifunze nini wakati tayari hicho unachokiulizia unakifahamu?

Haya hizi screenshots zangu za mimi niliokula hasara.
6b7657fac5f69c45a585510e4aff8603.jpg
e2f2d5e262f78b053204eb84575cebb8.jpg


Naamini mpaka hapa dhima kuu ya hii thread yako itakuwa imetimia kakojoe ulale.
 
Kenge kabisa mnajifanya kuhamisha magoli.NARUDIA MNAJUA TOFAUTI YA FOREX(FOREIGN EXCHANGE) NA PYRAMIDS IN FOREX? Zipo forex halali na zinazojulikana.Hakuna upatu wa kugawana hela kupitia mafunzo.Forex ya kweli sio MLM (Multi Level marketing), unanunua hela km bidhaa,na wanakupa trends za nchi bali mbali na taafir za habari zitakazokusaidia kujua thamani ya hela itakwenda vipi.Kwa hiyo unanunua hela na kuua wakati husika,au unanunua na kuuza kupitia km hela za nchi 3 hivi ili upate difference. Ni km unavyonunua nyanya,na vitunguu ambavyo vinaweza kudodea sokoni.Kwa hiyo taarifa za habari na data nyingine zinaweza kuambia ununue hela gani na kiasi gani na uuze lini kabla tukio gani halijatokea. Km unavyouza nyanya za Morogogoro kabla ya za iringa kufunwa na kujaa sokoni.Ndio maana mitandao km bloomberg huwezi acha kuangalia km kweli unafanya forex.

Mkicheza mkifika ktk mkooa nina connection na fanya maarifa muwekwe ndani.Kisha uende mahakamani kwa gharama yangu na huko tutathibitisha nyie ni wahujumu uchumi tupu mnagawana hela za watz na wahuni wa kimataifa.kwa kuzibadilisha kuwa na dola na kuzitorosha kwenda nje kwa hawa wahuni. net effect kwa taifa ni tunapoteza.Km ilivyo net effect kwa familia mnapokuwa na mwizi km hawa.Km referal mnatoa 125,000 kwa kichwa mhuni wenu anapewa 20,000/ najisifu ni uchumi.
Umepaniki mpaka unatia huruma
 
endelea kuuza mboga ihumwa mkuu.fanya maisha yako
Nyinyi mko stubborn sana kutetea vitu msivyojua. Nyinyi vijana wa kibongo wajuzinuzi mnajifanya mnajuua! Kwa taarifa yenu, nyinyi wote hamjui forex trading, mko empty kanisa,! Mnatakiwa mtandikwe viboko barabara mpaka mkome. Dawa yenu ipo jikoni inachemka
Kuna biashara ambayo haina hasara? na hiyo regulation unayoongelea ni ipi? je unajua bank nazo zina kitengo cha forex? je unajua pesa unayoiweka kwenye fixed account bank inaenda wapi?

endeleeni kuuza mboga wakuu,hii kitu waachieni vijana talented
 
Ngozi nyeusi bado sana.chuki na wivu ndio asili ya afrika
Kwahiyo ngozi yako nyeusi ndiyo imeendelea katika forex trading? Wewe husitukane watanzania kiwa tuna wivu, kwa sababu ya kutotaka kushabikia wezi katika forex yenu husiyoijua.
 
Nani amekwambia forex ni rahisi? for your information hamna biashara ngumu kama forex!!
Forex ni rahisi kuibiwa na kutafunwa. Subiri wakutafune ndiyo utaona ugumu wake...utalowa kama panya kamwagiwa mafuta anasubiri kuchomwa moto!
 
Hivi nyie watu hela zetu zinawauma kipi hasa?? Mnahangaika na kipi hasa kama hutaki kufanya forex funga mdomo wako tulia nenda kalime ila pesa za mwanaume unazitolea jasho.
 
Forex ni rahisi kuibiwa na kutafunwa. Subiri wakutafune ndiyo utaona ugumu wake...utalowa kama panya kamwagiwa mafuta anasubiri kuchomwa moto!
Hiyo avatar yako nikiiona nakumbuka movie ya tom and jerry...

Ila kwenye ile movie tom (yule paka) alikua mjinga kweli kweli
 
forex ni nzuri na mbaya na vyote vinategemea uelewa wa mhusika
itakuwa nzuri pale utakapo elewa na kama mambo yataenda upande wako......
itakuwa mbaya kama hujaelewa na mambo yasiwe upande wako...
usilazimishe watu waamini ni mbaya wakati hujawahi jaribu......

watu wanatofautiana akili, mfano mimi sijagusa forex hata kidogo maana sina muda wa kusoma
 
Na wewe pia endelea na wakati wako kiongozi!! ila jitahidi walau ku google kabla hujaandika kitu usichokijua sawa?
Kwahiyo kila unacho google ni sahihi? Kuna wapuuzi wengi wameweka information zao mitandaoni, wewe kazi yako ku feed your brain with all kind of garbage from the internet unatupa humu kama jalalani! Sasa nenda peleka google yako kwenu kwa mjomba wako!
 
Ukiona wanapost sana BLUE(Profit) na sio RED(Loss) wanawapumbaza watu waone FOREX TRADING ni rahisi ili waingie kwenye mikono yao ili wapate pesa kutoka kwao. Ukweli ni kwamba FOREX TRADING ni silent killer kama huta afford kupoteza pesa zako online. Watu wanaofundisha FOREX TRADING bila kutoa WARNING kuhusu biashara hiyo hao hawana tofauti na FREEMASON wanakutamanisha mali ila mwisho wake ni kwenye TANURU LA MOTO. Ova

We Learn From Failure, Not From Success! ~ Bram Stoker
Kekundu na keusi, karata ya pesa!
Ukijaribu unakula, ukiweka kiukweli kweli unaliwa teh teh tehhhhh.
 
Back
Top Bottom