kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Offcourse angalizo linatakiwa kutolewa. Forex trading INA risk ya kupoteza tena sana tu. Ila kibiashara trainers nadhani wao hawatakuwa tayari kuweka warning especially katika haya mazingira ambayo nadhani hawako regulated na chombo chochote cha serikali kama vile BOT, capital market and securities authority au wizara ya viwanda na biashara.
I guess ( sina hakika) watakuwa wame register tu kampuni BRELA, leseni ya kawaida kutoka manispaa na TIN number then wanaingia sokoni kuanza Ku train watu.
endeleeni kuuza mboga wakuu,hii kitu waachieni vijana talentedNa mimi sitaki nijute mkuu! Bora nipeleke mboga za majani Kariakoo nikizitoa Dodoma/Ihumwa