FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

hawa waliofeli huwa wanachelewa sana kujitambua kwa vile wanakuwa wamefungwa sana akili na kukingwa wasisanuliwe kwa kuambiwa usiongee na negative people watakumaliza dreams zao.

Waache wabaki masikni hivyo hivyo.Km wafuasi wa ccm wanavyodanganya kuwa kuwa sana ccm,kujipendekeza sana wote kutwapa raia wote fursa. Km serikali imeshindwa tunza watu watu ikachagua wachache wa kudanganyia wengine,nchi nzima ikienda jipendekeza ikulu si itakuwa bora serikali ihudumie raia kwa taratibu kwa vile kujipendekeza kutakua na ushindani kuliko ajira halali.?

wacheza upatu wengi ni unreachable km wafuasi wa wasabato masalia, wafuasi wa alqaeda wanaonyimwa elimu ya dunia,kisha wanaaambiwa watu wengine wasio fikra zao wako wrong.Ni ngumu kujitokeza.wengine wanaambia wapambane hadi kieleweke.Wanapewa hesabu za kuchanganya ili wasijue wapi ipo shida kiahesabu.

Kama zile hesabu za muhongo za madini ili kumyimba mengi mlango wa kuingia ktk gas. Zilikuwa damna wrong ila wahuni walikuwa wakismhangilia hadi kufunika sauti nyingine.Na kusoma number bila kumpa mtu copy ningumu kukeep track.

Utaanza kuwasikia numbe inapofikia pagumu haua mtu mpya, na wanaoendesha upatu wakibanwa na fbi au nchi nyingine napo pakianza kufikia mwisho.Utaanza sikia kilio.hapo ujue ngoma imeshakata au ndio inakata.
 
Sirjeff ni kijana mdogo sana kiumri ukilinganisha na wanachama wengi wa jamii forumu hapa, lakini upeo,mafanikio na ushawishi alionao umemfanya kuwa na maadui wengi hapa jamvini tena wengi wao wakiwa na wazee.

Wazee hao wameshindwa kabisa kuficha chuki na wivu walionao kwa kijana huyu mdogo aliyewazidi vingi kiasi kwamba hawapati usingizi mpaka wanathubutu kufungua nyuzi kwa staili tofauti tofauti hili kupunguza frustrations zao.

Jf old men you may either join him in movement or keep hating and aging hopelessly.
 

Kwa hiyo kumbe unafahamu kabisa kwenye forex kuna kupoteza isipokuwa tu shida yako ni kuona picha za watu waliokula hasara sio?

Sasa unataka ujifunze nini wakati tayari hicho unachokiulizia unakifahamu?

Haya hizi screenshots zangu za mimi niliokula hasara.

Naamini mpaka hapa dhima kuu ya hii thread yako itakuwa imetimia kakojoe ulale.
 
Umepaniki mpaka unatia huruma
 
endelea kuuza mboga ihumwa mkuu.fanya maisha yako
Nyinyi mko stubborn sana kutetea vitu msivyojua. Nyinyi vijana wa kibongo wajuzinuzi mnajifanya mnajuua! Kwa taarifa yenu, nyinyi wote hamjui forex trading, mko empty kanisa,! Mnatakiwa mtandikwe viboko barabara mpaka mkome. Dawa yenu ipo jikoni inachemka
Kuna biashara ambayo haina hasara? na hiyo regulation unayoongelea ni ipi? je unajua bank nazo zina kitengo cha forex? je unajua pesa unayoiweka kwenye fixed account bank inaenda wapi?

endeleeni kuuza mboga wakuu,hii kitu waachieni vijana talented
 
Ngozi nyeusi bado sana.chuki na wivu ndio asili ya afrika
Kwahiyo ngozi yako nyeusi ndiyo imeendelea katika forex trading? Wewe husitukane watanzania kiwa tuna wivu, kwa sababu ya kutotaka kushabikia wezi katika forex yenu husiyoijua.
 
Nani amekwambia forex ni rahisi? for your information hamna biashara ngumu kama forex!!
Forex ni rahisi kuibiwa na kutafunwa. Subiri wakutafune ndiyo utaona ugumu wake...utalowa kama panya kamwagiwa mafuta anasubiri kuchomwa moto!
 
Hivi nyie watu hela zetu zinawauma kipi hasa?? Mnahangaika na kipi hasa kama hutaki kufanya forex funga mdomo wako tulia nenda kalime ila pesa za mwanaume unazitolea jasho.
 
Forex ni rahisi kuibiwa na kutafunwa. Subiri wakutafune ndiyo utaona ugumu wake...utalowa kama panya kamwagiwa mafuta anasubiri kuchomwa moto!
Hiyo avatar yako nikiiona nakumbuka movie ya tom and jerry...

Ila kwenye ile movie tom (yule paka) alikua mjinga kweli kweli
 
forex ni nzuri na mbaya na vyote vinategemea uelewa wa mhusika
itakuwa nzuri pale utakapo elewa na kama mambo yataenda upande wako......
itakuwa mbaya kama hujaelewa na mambo yasiwe upande wako...
usilazimishe watu waamini ni mbaya wakati hujawahi jaribu......

watu wanatofautiana akili, mfano mimi sijagusa forex hata kidogo maana sina muda wa kusoma
 
Na wewe pia endelea na wakati wako kiongozi!! ila jitahidi walau ku google kabla hujaandika kitu usichokijua sawa?
Kwahiyo kila unacho google ni sahihi? Kuna wapuuzi wengi wameweka information zao mitandaoni, wewe kazi yako ku feed your brain with all kind of garbage from the internet unatupa humu kama jalalani! Sasa nenda peleka google yako kwenu kwa mjomba wako!
 
Kekundu na keusi, karata ya pesa!
Ukijaribu unakula, ukiweka kiukweli kweli unaliwa teh teh tehhhhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…