FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Duuhh wewe jamaa unatia huruma, ni sawa niulize kampuni ya simu ya Uingereza kuhusiana na JAZA UJAZWE ya Tigo, sijui unaona ulivyo chaka??

FXTM ni brocker kama walivyo broker wengine sasa unawauliza nini kuhusu broker aliepo hapa

k.i.laza
 
Sijawahi kuona biashara ambayo haina Risk kama ipo nijulisheni hiyo biashara na mimi nikaifanye, Mfanya biashara yoyote haogopi risk kama yupo huyo hakuwa tayari kufanya biashara...

Kwenye bandiko la kwanza la Ontario kuna sehemu alisema "Kabla hajaiva kwenye hii biashara ya forex alipoteza hela nyingi sana lakini hakukata tamaa, aliendelea kujifunza ku trade hadi alipo iva akaanza kuingiza $ kwenye a/c....

Hii forex siyo rahisi kama wengi wanavyo dhani, kama hujaistudy vya kutosha achana nayo kwanza, utapigwa hela,

Tatizo moja la wabongo ni kutaka kutrade siku moja na kuingiza hela nyingi ya kumwezesha kununu benz la milion 600 na kujenga nyumba kali au kununua mjengo Masaki, biashara hiyo haipo hivyo wakuu...

Hakuna bishara yenye hela kama kusafirisha madawa ya kulevya kuyaingiza China na Marekani ila hii biashara ina risk kubwa sana haina tofauti na ku betting kwa Mhindi, kufanikiwa kuyaingiza China au kudakwa airport, so hakuna biashara isiyo na Risk
 



Forex scams

The following forex scams list documents the scam type that have been involved in forex frauds in some form in the past.

Signal sellers

The signal seller scam is a scam which works by a person or a company selling information on which trades to make and claiming that this information is based on professional forecasts which are guaranteed to make the inexperienced trader money. They usually charge either a daily/weekly or monthly fee for this service but do not offer any information that helps the trader make money. They will usually have a slew of testimonials from allegedly legitimate sources in order to gain the trader’s confidence yet in reality do nothing to forecast profitable trades.

High yield investment programs

High Yield Investment Programs (HYIP) are (a lot of the time) a form of Ponzi scheme in which a high level of return is promised for a small initial investment into a forex fund. However in reality the initial investors are only being paid back by the money generated by the current investors and once there are no more investors in the scheme the owners usually close it down and take all money remaining.

Manipulation of bid/ask spreads

These types of scams have decreased over the years yet they are still around. This is why it is important to choose a forex broker who is registered with a regulatory agency, for example the CFTC and the NFA if in the USA. These type of scams would normally involve having spreads of around 7-8 pips instead of between 2-3 pips which is the norm.

Scams through software

Forex robot scammers lure novices with the promise of big gains from little effort or knowledge. They may use of fake or misleading figures to convince customers to buy their product. Their promises are flawed as no robot can adapt and thrive in all environments and markets. Software is generally used by professionals only to analyse past performance and to identify trends. All software should be formally and independently tested but caution is required when trusting the reviews themselves as these can be paid for. If their product did exactly what they claimed then they would not be selling it but instead using it exclusively themselves.
 
Mkuu, umesema umepitia post nyingi za humu ndani unasema hujaona loss?! Kwanini usijiongeze ukaingia google halafu uje na mrejesho?! Forex haifanywi na Watu wa JF pekee.
Jibu zuri sana hili mkuu,tatizo bongo tupo tupo tu...mtu hajui kuwa kuna watu wengi sana wanafanya this busness...na wanaliwa kama kawaida
 
What is a Forex Trading?
Forex
, also known as foreign exchange, FX or currency trading, is a decentralized global market where all the world's currencies trade.

Is Forex Trading for real?
Forex
is not a scam, but there are plenty of scams associated with forex. ... Forex trading is a real business that can be profitable, but it must be treated as such. It is not a get rich overnight business, no matter what you may read elsewhere. However, it is possible to have a profitable legitimate forex business.

Is day trading the same as gambling?
Gambling
has a fixed odds system for all major games, while trading in the markets is truly unpredictable. The “house” or market does not have any unfair advantage as with casino style games. If you are able to exercise extreme discipline and laser focus on your trading strategy, you can profit in the market.

Is Forex like Gambling?
Forex, the foreign currency exchange market, is available for online trading 24 hours a day, 5 and a half days a week. Using a broker service, you can perform your own trade almost any time of day and even from mobile platforms. The pace is fast and there appears to be little governing the boundaries of behavior, so does this make Forex more similar to casinos than like other investment opportunities? Yes and no. Trading is what you make it. It can be a risk filled hobby as dangerous and luck driven as a casino game, or it can be a complex and highly orchestrated investment business with a minimum risk element and a high potential for profit.

Is investing in stocks a gamble?
Investing in Stocks
Is Just Like Gambling. This reasoning causes many people to shy away from the stock market. To understand why investing in stocks is inherently different from gambling, we need to review what it means to buy stocks. A share of common stock is ownership in a company

Speculation and gambling are two different actions used to increase wealth. ...Gambling refers to wagering money in an event that has an uncertain outcome in hopes of winning more money, whereas speculation involves taking calculated risk in an uncertain outcome.

Is stock market halal?
It is also Haram, that is, against the Islamic law, to invest in companies that derive their profits mainly from interest or interest (lending money for profit), Casinos and gambling, pork, hedging in silver and gold, ordinary insurance and financial services that generate their income from interest.

Remember, stock ownership is an ownership in the underlying company, if it receives or pays interest income, you're practicing riba. ... Shorting stocks is also sin, since shorting involves borrowing stock and paying interest on its value. Therefore, I say trading stocks is not halal, and you should avoid it

Riba is a concept in Islamic banking that refers to charged interest. ... Depending on the interpretation, riba may only refer to excessive interest; however to others, the whole concept of interest is riba, and thus is unlawful. Also known as "usury".

is forex betting or not? - Google Search
 
Majibu mazuri . Kama hao watu ni Brokers Ontario yeye yupo chini ya nani , maana nyepesi Ontario anafanya haya kutoka source ipi ?
Kama hakuna na biashara hii kwa tafsiri imekaa bila kua na source maalamu basi sawa, coz ni hapo tutaongelea issue ya imani tu ya mtu mmoja mmoja ..either kujoin or not .
 
Thank you for Being honest.Tunapenda sana mambo ya GET RICH QUICK
I have always believed it takes time to build wealth
 
Ukiwa agent mbona poa sana, ila kama ndiyo mwekezaji kazi unayo, kifupi hii ni gambling, haina tofauti na ku-bet, kama wapenda kubet basi fanya hii kazi, ukiiwezea italipa, ukiikosea utajuta...
Yani kama upo kichwani kwangu vile,hii ni betting tu.sio nzuri
 
Forex is not for everyone.

Forex is for talented people .

Forex is not for"walugaluga"

Forex needs your ability to analyze the ongoing current events of the world of economies.

Forex need skills and knowledge from books and else where.

Forex is not a ponzi scheme or pyaramid scheme .

In forex you can loose your money If and only u don't know what ur doin' .

Forex isn't a betting games.

Uvivu wa watanzania kufikiri ndio chanzo cha umasikini wao na uvivu was kutopenda kujisomea ndio chanzo cha kukosa maarifa .

Watanzania watu wa ajabu sana sana sana habari wanazopenda kusikia ni Magufuli sijui kafanyaje? Chadema sijui imefanyaje?

Hawapendi kufuatilia habari za kiuchumi za kidunia kwa undani zaidi .

Na ndo maana ukiwaambia tu hata maana ya forex hawakuelewi wanadhani unazungumzia "forever living" kwa sababu zote zinaanza na capital "F" basi zote ni sawa tu[emoji2]

Watanzanian Tumelogwa!!!![emoji20]
 
Wazee wq humu hawataki vijana wafanikiwe ni wa kupuuza tu .
 
May 2017 ndiyo mwezi ambao Ontario aliweka uzi wake hapa JF kwa mara ya kwanza, kakini kabla yake uzi unaohusu Forex ulikuwepo na uliwekwa jukwaani na Mr Delmonte.

Hawa watu wawili walioweka uzi kuhusu Forex wanatofauti kubwa mno, kimsingi Delmonte yeye aliweka uzi wa Forex na kuuacha bila juhudi fungamanishi na biashara hiyo.

Ontario yeye amekwenda mbali zaidi kwa kufanya vitu sahihi kwa kuitoa biashara hii mafichoni na kuileta mbele ya macho ya watu wengi.

Matokeo ya juhudi zake yamepokelewa kwa mtizamo tofauti sana, wapo watu walitaka na wanaendelea kutaka huyu ndugu ashindwe ili wao wapate pa kusemea, mimi nawashukuru wote wanaomuunga mkono kijana Ontario haiyumkini hata kwenye familia ya watoto 10 matatizo kama haya hayakosekani.

Tuliojiunga kusoma na kuhudhuria kozi wala hatuna neno na kwa taarifa tu leo tarehe 09/10/2017 wako Mwanza wakimaliza wanaenda Arusha wakitoka huko wanaenda Mbeya.

Mleta mada hii nafikiri kwenu ni Sengerema kwa hiyo wewe ni Msengerema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…