FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara


Sasa ndio umeonyesha wazi sababu ya wewe kutema nyongo zote ulizonazo tangu mwanzo wa huu Uzi.

Kumbe kinachokusumbua kichwani mwako ni wivu!???

Yaani unaona wanaotoa mafunzo (ambao kwa majibu wako wewe unawaita "agents" )wanapata sana pesa ambazo wewe zinakuuma sio??

Unaposema "wengi wetu tutaliwa" utaliwa wewe na nani!? na wewe ni mmoja wa wanaofanya forex chini ya hao unaowaita "agents"?

Kama jibu ni hapana kwanini unakuwa na kiherehere na kujifanya unaumia sana kwa pesa ambazo hazikuhusu?

Kwako wewe ukweli kuhusu forex ni upi na uongo ni upi? Na ni kipi ambacho hakijawekwa wazi tangu awali?

Wewe una akili timamu kweli??
 
Wewe ni mjinga. Na hujui lolote kuhusu forex. Yaani hujui fxtm ni broker kama broker wengine alafu Unasema ni mmiliki wa forex??

Siku nyingine acha kukurupuka.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
Dont take it serious ...Wote tumeijua forex baada ya Ontario kutushirikisha .
Calm down na enedelea kijifunza kama mm nnavyojifunza .
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
Dont take it serious ...Wote tumeijua forex baada ya Ontario kutushirikisha .
Calm down na enedelea kijifunza kama mm nnavyojifunza .
Unaposema wote una maanisha nini??

Acha kuwa mpuuzi kabla hujapost ujinga jitahidi hata kugoogle basi!!
 
Naona kuna kampeni zimeanza kupigwa humu kwa lengo la kuwatia watu uoga wa kutrade kwenye forex. Kwa wale mlioanza kutrade na mlioanza kujifunza Forex msikatishwe tamaa na maneno ya watu ambao wanapenda kuona vijana wakiteseka na maisha magumu mitaani wakati wanaelimu ya kutosha.

NOTE: Forex ina faida kwa walioielewa.
 
Yaani wewe ulianza process za kujisajili FXTM kabla ya kusoma vitabu na kuelewa FOREX ni kitu gan na inaendeshwa vipi..kama kweli ungekuwa umesoma vitabu usingearisha upupu wako na kuanza kuuliza mmiliki wa FOREX ni nani
 
Toka nachangia sijamshambulia mtu, sasa tulinganishe wewe na mimi nani ana wivu, changia thread acha kushambulia mtu!
Kumbuka "Small Mind Talk About People and NOT Issues"!
 
Google ni shamba la bibi ambalo si kila habari iliyopo huko ni ya kweli , Habari nyingi ni za magumashi na zinawekwa na mtu yoyote!! kama msomi unaweka source za taarifa zako kuwa ni google nitakushangaa, acha watu wajadili na mjibu maswali kwa ufasaha kuhusu haya matango pori mnayotaka kuwalisha watanzania,,, na kwa kuwa mmechukua jukumu la kuelimisha watu kwa kuchukua Tshs 130,000/= zao basi mnatakiwa iwe ni wajibu kwenu kujibu maswali na kufafanua kwa kina sio kutuambia tuende google. Mada muanzishe nyie halafu majibu akajibu google?
 
Mkuu ukizeeka utakuwa mchawi kama Bado ni kijana alafu umekurupuka sana kiongozi ulitakiwa uijue vizuri forex Na sio kukurupuka kiasi hiki, apa umedhihirisha wewe ni mweupe pee kichwani.....wacha tulioelewa tuendelee Na harakati zetu Na sio huu ulozi wako unatuletea apa
 
akili yako zinafanana na avatar yako,,hahahahahahaahahahaha
 
Mada muanzishe nyie halafu majibu akajibu google?

JF-Expert Member! Mnashida gani? Google ni "search engine" inakusaidia wewe kupata taarifa , sasa inategemea wewe unatafuta taarifa wapi, kwa mfano taarifa nyingi za Wikipedia hazikamiliki sasa ukichukua taarifa kutoka hapo ukaja nazo huku tutakuangalia tu na kukuacha maana itakuwa haina maana!!

Zipo sources zingine very reliable ndo maana unaelekezwa fanya Googling ili ujue na si kutujaza story za kijiweni huwa wengine hatuna time nazo.
 
huyu jamaa ndio role model wangu,nafunga mwaka na kitabu chake kimoja kuhusu forex
 
Kwahiyo ngozi yako nyeusi ndiyo imeendelea katika forex trading? Wewe husitukane watanzania kiwa tuna wivu, kwa sababu ya kutotaka kushabikia wezi katika forex yenu husiyoijua.
ww jamaa una roho mbaya,ndio maana uliamua kutuchonjea.nipe miezi 3,lzm nikuajiri ww.
 
Kwahiyo ngozi yako nyeusi ndiyo imeendelea katika forex trading? Wewe husitukane watanzania kiwa tuna wivu, kwa sababu ya kutotaka kushabikia wezi katika forex yenu husiyoijua.
ww jamaa una roho mbaya,ndio maana uliamua kutuchonjea.pole sana
 
haki nilivyosoma bandiko hili nimecheka kimoyomoyo!. mkuu, fxtm ni broker kama brokers wengine sidhani kama ungepata taarifa sahihi kuhusu swari lako juu kinachoendelea tz. cha kukusaidia wafate jpmarket kwenye website yao hawa broker nadhani watakupa taarifa sahihi nini kinaendelea tz. fx haina mmiliki mkuu ni wewe na broker wako mwaminifu akuwezeshae kuingia sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…