forex ni nzuri na mbaya na vyote vinategemea uelewa wa mhusika
itakuwa nzuri pale utakapo elewa na kama mambo yataenda upande wako......
itakuwa mbaya kama hujaelewa na mambo yasiwe upande wako...
usilazimishe watu waamini ni mbaya wakati hujawahi jaribu......
watu wanatofautiana akili, mfano mimi sijagusa forex hata kidogo maana sina muda wa kusoma[/QUO
we kama mimi aiseeeee naona uvivu sana kusoma hayo mavitabu yao kwanza sina muda kabisaaaa
Sijataka kila mtu afanye biashara ya mahindi ndo maana hujaonna naanzisha semina.
Yaani mtu badala ajibu hoja kishawish anakuja na Povu as Long anatetea alichojiunga nacho...Ningewashauri tu nyie mliopo kwnye biashara hiyo hakuna haja ya kujibu hoja hii ya (kipuuzi) kama mnavyodai kwa hasira ...Tumieni advantage hii kuelezea na kukosoa upotoshaji kama upo.
Wewe kichaa akibeba nguo zako utamkimbiza ama ? . Mm nawashangaa inakuaje challenge ndogo kama hiinaproovoke vip mkifika stage ya kuanza kupata Risk kwnye Bussines si mtataga
Kuna haters dawa inawaingia kwa speed ya ajabuAisee mbona leo nakutana na threads za kuipinga Forex kuna nini kinaendelea wakuu..!!!
Sasa wakilia wewe inakuhusu nin?? Au umewapa pesa??shida kina ontario kuna vitu vingi wanavijua hila hawaelezi ukweli sababu itaharibu mbinu yao ya kupiga hela zetu.. ukiuliza kitu wanajificha kwa kusingizia usome vitabuuu..
mchezo wanaoufanya hawa walimu wetu kutotuambia ukweli
"You pack people into a class and ask them to pay R25,000 for two days, promise them riches but less than 1% of them will make a little money ," says Forex Academy's Ernest Klokow. "These people are overpromising because quick returns are largely not possible."
"What they don't tell you is that all beginner traders have a 99 percent chance of failing," warns Real Trader's Chrizette Rossouw. Rossouw had her accounts completely wiped out when she started trading and it took her years before she made any real money out of forex trading.
Don't Be Fooled By The Likes of Sandile Mantsoe And Fake Forex Traders Who Flex on Social Media
Why Forex Trading Is Becoming Such A Big Deal In SA
akili yangu inaniambia mwishoni watu watalia
Sasa wakilia wewe inakuhusu nin?? Au umewapa pesa??
Kaka umechelewa sana..... Tulishaanza safari zamani sana!!!!!!!
Soviet Union umejiunga JF Sept 2, 2017 masuala ya Forex na "Threads" zake zilikuwepo kabla haujajoin wewe hapa JF je umejisumbua hata kufukua makaburi kidogo?
Very unfortunate!!
Kila thread mapimbi mnavamia kutetea wizi wa forex. Shame on you!Huyu jamaa ana id ingine inaitwa MURUSI... Yaan ni wale wale...
Na wewe unajua nini? ID maana yake nini? Au unaleta upimbi hapa?Njoo na ID yako ya siku zote.
Na wewe unajua nini? ID maana yake nini? Au unaleta upimbi hapa?
Kwa hiyo baada ya wewe kutokujua ONTARIO yuko chini ya nani ndio ukaamua umpachike awe chini ya FXTM??Majibu mazuri . Kama hao watu ni Brokers Ontario yeye yupo chini ya nani , maana nyepesi Ontario anafanya haya kutoka source ipi ?
Kama hakuna na biashara hii kwa tafsiri imekaa bila kua na source maalamu basi sawa, coz ni hapo tutaongelea issue ya imani tu ya mtu mmoja mmoja ..either kujoin or not .
[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
Dont take it serious ...Wote tumeijua forex baada ya Ontario kutushirikisha .
Calm down na enedelea kijifunza kama mm nnavyojifunza .
duuh kazi ipoUnajifunza huku roho yako ikiwa ya korosho ndo maana HUELEWI.