FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
677
WolvesInSheepClothing.jpg
View attachment 604924
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums

Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu🙂🙂, Najiuliza sana maana naona sample za kula tu watu wakivuta tu pesa, je kati ya watu 300 waliokula training na wanatrade hakuna aliyepoteza, Kuna post imeanzishwa ya ushuhuda wa mafanikio ya wiki chache tangu walipoanza kufundishwa forex na nimegundua shuhuda ni za wale waliopiga pesa tu, Je hakuna waliopunwa , kwanini zisiwekwe picha za ushuhuda kula hasara ili tujifunze kwamba forex sio kula tu.

- Kama wapo kwanini tusitumie mifano yao pia kama lessons ili tumfukuze pepo kuliwa katika injili hii ya Forex?☺

KILA KITU UNACHOWEKEZA PESA KINA HASARA IWE BIASHARA, KUBETI HATA FOREX
 
Pole kaka, hutapata mtu, ndio maana hawa kina manyau nyau/Babu wa Loliondo/Maji Marefu/Wagangawa kienyeji wanapata soko! Amini usiamini!
Na ndio maana Albino na vibibi vizee bado wanauliwa!
Biashara kama hizi, upatu, utapeli wa kutangaza utajiri wa haraka haraka una market sana kwetu kaka, umaskini mbaya...
 
Ukiona wanapost sana BLUE(Profit) na sio RED(Loss) wanawapumbaza watu waone FOREX TRADING ni rahisi ili waingie kwenye mikono yao ili wapate pesa kutoka kwao. Ukweli ni kwamba FOREX TRADING ni silent killer kama huta afford kupoteza pesa zako online.

Watu wanaofundisha FOREX TRADING bila kutoa WARNING kuhusu biashara hiyo hao hawana tofauti na FREEMASON wanakutamanisha mali ila mwisho wake ni kwenye TANURU LA MOTO. Ova

We Learn From Failure, Not From Success! ~ Bram Stoker
 
Pole kaka, hutapata mtu, ndio maana hawa kina manyau nyau/Babu wa Loliondo/Maji Marefu/Wagangawa kienyeji wanapata soko! Amini usiamini!
Na ndio maana Albino na vibibi vizee bado wanauliwa!
Biashara kama hizi, upatu, utapeli wa kutangaza utajiri wa haraka haraka una market sana kwetu kaka, umaskini mbaya...

Kuna sehemu yoyote ulisikia wakisema FX ni get rich quick scheme?
 
Offcourse angalizo linatakiwa kutolewa. Forex trading INA risk ya kupoteza tena sana tu. Ila kibiashara trainers nadhani wao hawatakuwa tayari kuweka warning especially katika haya mazingira ambayo nadhani hawako regulated na chombo chochote cha serikali kama vile BOT, capital market and securities authority au wizara ya viwanda na biashara.
I guess ( sina hakika) watakuwa wame register tu kampuni BRELA, leseni ya kawaida kutoka manispaa na TIN number then wanaingia sokoni kuanza Ku train watu.
 
Absolutely right, hii biashara inatakiwa ibebe tangazo la ONYO, kwa wanaocheza na madhara yake, kama BETTING...
Pia yatakiwa iwe REGULATED, wanasemaga wahusika hupita humu, lets hope wataona hii thread, swala kuwe na ONYO na REGULATIONS, zaidi, wanaotaka kucheza huu mchezo kwa wakati wao kwa kweli..
 
Naona mnaumia kweli kweli hahaha!!

Sishangai maana hata rais anataman watu wauishi kama mashetan yani hiyo ndio raha yake...
 
Naona mnaumia kweli kweli hahaha!! Sishangai maana hata rais anataman watu wauishi kama mashetan yani hiyo ndio raha yake...
Hapana, kabisa kabisa, tukiumia kwa hili basi tutaumia kwa mengi kaka, maana kuna swala la betting, lottery, casinos n.k. n.k.
Kinachoongelewa humu ndani ni ONYO na REGULATIONS, basi, zaidi huwezi mpangia mtu atumiaje hela yake, iwe kama sigara, pombe na vingine vya hatari...
 
Ukiona wanapost sana BLUE(Profit) na sio RED(Loss) wanawapumbaza watu waone FOREX TRADING ni rahisi ili waingie kwenye mikono yao ili wapate pesa kutoka kwao. Ukweli ni kwamba FOREX TRADING ni silent killer kama huta afford kupoteza pesa zako online. Watu wanaofundisha FOREX TRADING bila kutoa WARNING kuhusu biashara hiyo hao hawana tofauti na FREEMASON wanakutamanisha mali ila mwisho wake ni kwenye TANURU LA MOTO. Ova

We Learn From Failure, Not From Success! ~ Bram Stoker
prophet bushiri 98% ya utajiri kaupatia forex,nyie mnakaa kupiga majungu eti freemason..mtakufa masikini
 
Pole kaka, hutapata mtu, ndio maana hawa kina manyau nyau/Babu wa Loliondo/Maji Marefu/Wagangawa kienyeji wanapata soko! Amini usiamini!
Na ndio maana Albino na vibibi vizee bado wanauliwa!
Biashara kama hizi, upatu, utapeli wa kutangaza utajiri wa haraka haraka una market sana kwetu kaka, umaskini mbaya...
Wachache sana watakuelewa[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom