Forex ilivyofilisi maduka yangu mawili ya nguo

vanlizer_fx

Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
50
Reaction score
95
Daaaaah

"Asie sikia la mkuu huvunjika guu" na "kusikia kwa kenge mpaka masikio yatoke damu"

"Ulafi ulimponza mzee fisi"[emoji24][emoji24]

Thread in a nutshell[emoji993]
____________________________

OK ngoja tuanze thread [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nijambo la kufurahisha sana kuona jinsi wazungu, wa south Africa wanavyopata mamilioni ya pesa kila siku kupitia biashara hii ya kudownload pesa [emoji23][emoji848]

Vijana wadogo wanaendesha magari ya kifahari very fu" ng expensive car, nyumba Kali Kali aisee nikashawishika sana na ukizingatia mda huo X wangu aliniambia sina mbele wala nyuma

Nikasema hapa kwenye forex ndio pa kutobolea maana tundu nimeliona nikawasa nitaendesha magari makali BMW i8, Cadillac escalade, Mercedes Benz, Lamborghini, Ferrari mtaa mzima Mimi ndio nitakua tajiri

Ukoo mzima utanitambua Mimi vizazi vingi kwenye ukoo wetu vitanijua mtaa mzima utajua kuna tajiri kijana mdogo under 20 age aisee

Nitakula bata[emoji485][emoji512][emoji513] na wasanii maarufu dunia akiana Drake, Rihanna, Chris brown na wengine Nita pop champagne[emoji898][emoji898][emoji898] na mawaziri na wafanyabiashara wakubwa kama upcoming young billionaire in Tanzania

Isee nitakua mtu maarufu sana hapa Tanzania na nchi nyingi zitanijua kama kijana tajiri zaidi duniania under 20's age

[emoji24][emoji24][emoji24]zikaanza nyakati za kutaka mafanikio kwa pupa ukawa ndio mwaka wa kupigwa na vitu vizito mfululizo, ni marungu na mawe jua na mvua zote zangu vumbi na matope vyote vyangu kwenye forex lakini naambulia kichapo kikali nakosa hata hela ya mswaki[emoji23][emoji23] kila nikipata hela akili inasema weka kwenye forex kijana hela nje nje[emoji23][emoji23] nikiweka ni marungu mfululizo kila siku ni heart attack disese[emoji848]

Nikasema au hii forex niya wa south Africa tu

Ukaafika mda wa kula maziwa na asali katika nchi ya ahadi [emoji898][emoji485]unajua kilifata nini?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
No pain no gain,
Lazima upigike ili mambo yanyooke, yakinyooka ndo utakula kuku Kwa mrija
 
Kweli kabisa
IMG_0916.jpg
 
Daaaaah

"Asie sikia la mkuu huvunjika guu",
na "kusikia kwa kenge mpaka masikio yatoke damu"

"Ulafi ulimponza mzee fisi"[emoji24][emoji24]

Thread in a nutshell[emoji993]
____________________________

OK ngoja tuanze thread [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nijambo la kufurahisha sana kuona jinsi wazungu, wa south Africa wanavyopata mamilioni ya pesa kila siku kupitia biashara hii ya kudownload pesa [emoji23][emoji848]

Vijana wadogo wanaendesha magari ya kifahari very fu""" ng expensive car ,nyumba Kali Kali aisee nikashawishika sana na ukizingatia mda huo X wangu aliniambia sina mbele wala nyuma

Nikasema hapa kwenye forex ndio pa kutobolea maana tundu nimeliona nikawasa nitaendesha magari makali BMW i8,Cadillac escalade,Mercedes Benz,Lamborghini, Ferrari mtaa mzima Mimi ndio nitakua tajiri

Ukoo mzima utanitambua Mimi vizazi vingi kwenye ukoo wetu vitanijua mtaa mzima utajua kuna tajiri kijana mdogo under 20 age aisee

Nitakula bata[emoji485][emoji512][emoji513] na wasanii maarufu dunia akiana Drake,rihanna, Chris brown na wengine Nita pop champagne[emoji898][emoji898][emoji898] na mawaziri na wafanyabiashara wakubwa kama upcoming young billionaire in Tanzania

Isee nitakua mtu maarufu sana hapa Tanzania na nchi nyingi zitanijua kama kijana tajiri zaidi duniania under 20's age

[emoji24][emoji24][emoji24]zikaanza nyakati za kutaka mafanikio kwa pupa ukawa ndio mwaka wa kupigwa na vitu vizito mfululizo, ni marungu na mawe jua na mvua zote zangu vumbi na matope vyote vyangu kwenye forex lakini naambulia kichapo kikali nakosa hata hela ya mswaki[emoji23][emoji23] kila nikipata hela akili inasema weka kwenye forex kijana hela nje nje[emoji23][emoji23] nikiweka ni marungu mfululizo kila siku ni heart attack disese[emoji848]

Nikasema au hii forex niya wa south Africa tu

Ukaafika mda wa kula maziwa na asali katika nchi ya ahadi [emoji898][emoji485]unajua kilifata nini

nimechoka kuandika itaendelea......
Forex ni betting. Stock market ni betting. Cryptocurrency investments ni betting. Kwa hizo investments, Watu wanaweka millions of dollars ambayo hata ikipotea hawajali. Sasa ww unaweka hela yako pekee kwenye kamari? Lazima ulie tu
 
Sio kuwa ivyo tu ndivyo betting mkuu. Bali maisha yetu yote huwa ni kamari Mana huwa hauna uhakika na kinachotokea even a picosecond ahead.

Unaifungua duka hujui Kama utauza urudishe initial costs,unalima hujui Kama utavuna,unaoa/kuolewa hujui Kama utazalishwa ama utazaliwa pia humjui atakavyokuwa huko mbeleni,unasoma hujui Kama utamaliza masomo yako upate ajira yako,unasafiri hauna uhakika kwa chombo kitawafikisha salama.
So usiogope betting mkuu.

Yaani unaweza ukanunua mzigo afu ghafula Bei ikashuka so itakukata.

Je wanaonunua mipunga magunia hata ya 500M afu mchele haupandi.

Ujue tu Kuna watu walinunua mpunga mwaka juzi mwaka huu ndo wamekobia Mana mwaka Jana mchele haujapanda Sana Bei.

Tell me what isn't betting in life mkuu labda mie ndo siyajui maisha.

Usiogope najua ulitaka kutajirika ndani ya mwaka mmoja.

Nikuambie tu ukiwa na mtaji like 5K USD ni rahisi Sana kuzipata dola 20-100 kwa siku kulingana na upepo wa soko ulivyo.

Mana hata kwa biashara Kuna siku unachanganya unauza Sana smt unatamani hata wa kukuulizia Bei anakosa.

Ila umefungua biashara yako unasubiria mtu ambaye hamjapeana ahadi kuwa anakuja.
 
Kila kitu sio betting. Unatakiwa ufanye risk analysis kabla ya kujiingiza kwa project ya investment. Risks ni kubwa sana kwa investor mdogo katika hizo investments nimekuambia. Binafsi nawekeza in real estate na haijawahi niangusha. Faida inaweza isiwepo kubwa, lakini hasara hakuna.. na majengo ni yangu. Kwa hio unavyosema kila kitu kwenye maisha ni kamari.. sio kweli. Binafsi hata chuo nilichagua course ambayo ina ajira. Na KUOA SIJAOA NA SITAKI KUOA sababu kweli siku hizi ndoa ni kamari tu.
 
Back
Top Bottom