Kwa hio watu ambao mnaishi maisha kwa Kamari Poleni sana. Mimi SIISHI MAISHA YANGU NAMNA HIO. Na kweli mafanikio nimeyaona sana kila mwaka baada ya mwaka. Sirudi nyuma kamwe. Na nilizaliwa kwa familia maskini sana
Sasa kila kitu si unakifanya kwa kutafuta ama kuchanganua Mambo mkuu kuwa one outcome is possible to occur than one
Yaani unatafuta odds ziwe nyingi za kui favour outcome Fulani.
Kumbuka hapa naongea mathematically labda hutonielewa.kasome probability labda twaweza elewana
Mfano unatafuta kazi kampuni fulani lazima kwanza uichunguze ikoje inavyolipa.
Hata investors kabla hawajaja kwa nchi fulani lazima wachanganue Mambo ya kisiasa,kiuchumi.
Kabla hujafungua biashara mahali fulani ni lazima utafute uwezekano wa mbegu yako kuota.
Hebu niambie kimojawapo katika maisha yako unachokifanya bila kupiga hesabu.
Mwenyewe kuzaliwa ni probability Mana ingeweza kutokea miscarriage ama ukashikwa na magonjwa ya utotoni ama around billions of sperms alizotoa babaako yako ilikuwa na probability kubwa ya kuogelea na kuwahi kulifikia yai.
Niambie unachofanya ambacho una uhakikaa nacho. Mfano hujui Kama kesho utaiona
Kila kitu sio betting. Unatakiwa ufanye risk analysis kabla ya kujiingiza kwa project ya investment. Risks ni kubwa sana kwa investor mdogo katika hizo investments nimekuambia. Binafsi nawekeza in real estate na haijawahi niangusha. Faida inaweza isiwepo kubwa, lakini hasara hakuna.. na majengo ni yangu. Kwa hio unavyosema kila kitu kwenye maisha ni kamari.. sio kweli. Binafsi hata chuo nilichagua course ambayo ina ajira. Na KUOA SIJAOA NA SITAKI KUOA sababu kweli siku hizi ndoa ni kamari tu.
Sijakataaa unavyodai biashara ya real estate Haina risk unakumbuka Kuna miaka Japan waliwekeza kwa majengo USA baadaye iyo biashara iliporomoka Sana wakapata hasara. Tafuta house bubble mkuu.
Pia unapojenga kumbuka pia nyumba yako yaweza kuungua ama any natural calamity ikaikumbuka investment.
Hapo uliposema kuwa unacheki risk ni kweli Ila pia penye high risk Kuna high return.
So ukiogopa risk utakaa bila kufanya kitu
Kuna risk kila sekta mkuu. Hata mkeo unajua kuwa anachapwa na anaweza akaleta magonjwa sema Nini hujaiogopa iyo risk umeamua kuzama ndoani ili umeki family uitwe baba ama mama.
Sio kuwa nakuombea Bali nakuonyeshea everything is risk hata kukaa bila kuteki risk ni risk pia.
Ina Mana mfano unapojenga hela unayojengea ungeamua kununulia Kosta ndani ya kila mwaka na nusu Kosta inakujengea na unaweza dumu nayo above five years.
Ila umeamua ku diversify your capital.
Pia kumbuka unapo diversify it means you don't know what are you doing na pia hauna uhakika na ukifanyacho.
Ni sawa hauna uhakika kuwa mbinguni hakuna Mungu